Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

barcelona wanaomba wakutane na madrid nusu maana hio ndio mechi peeke rahisi kwao...liver kabahatisha tu kwa mancity hizo counter zake labda kwa munich ila barca na madrid hawez coz cku hizi na wao wanakaa nyuma flan hv mbele wanaenda kwa hesabu sana, liver watasumbua tu ila mwsho wao umeshafika
Yan wewe ndo hewa kabisaaa hujui mpira
 
Kwanini umeitaja madrid ukaiacha Barca? Unaamini Madrid ndio atafika final?


Kama ikitokea wakapangwa hivi

  • Barca ×Madrid=Barca
  • Germany machine × Liverpoor=Germany Machine
Final....Barca × Bayern=BARCA
barca kwa wajerumani ni kimeo
 
Hakuna timu ya Uingereza ambayo inaweza kuitambia Real Madrid, kwa vyovyote vile wakikutana Real Madrid lazma abebe ndoo
 
Defence mbovu kiaje ikiwa game ya mwisho barca alimpiga Madrid 3-0

Barca ni unbeaten mpaka sasa in Europe sasa huo ubovu wa beki unatoka wapi?

Huwa wanajisahau sana,, hawakumbuki record za nyuma tulimfanya nini madrinyonyo
 
Back
Top Bottom