kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Alishindwa kuwafunga Roma????acha upuuzi huo aiseeeMkuu usiifananishe Barcelona ya Messi na vitu vya kijinga..watakucheka watu.
Wekeni akiba ya maneno...
Alishindwa kuwafunga Roma????acha upuuzi huo aiseee
Unasema timu kubwa wakati ameshindwa kuwafunga Roma juzi pamoja na kuparangana kote
Roma kitu gani wewe 😀😀😀!! Mbona hushangai kazifunga timu kubwa zaidi ya Roma!!!
Chelsea.. Man city..Arsenal..Man u..Juve..Bayern...Bayern leverkusen...Psg...Atletico madrid N.K. kwahiyo ROMA ndio umeona tim ngumu sana kwake sio??? Messi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kutokea Asipofunga anatengeneza au kutoa assist kwa wenzie.
MESSI NDIO INJINI YA BARCA
Unasema timu kubwa wakati ameshindwa kuwafunga Roma juzi pamoja na kuparangana kote
Sasa ndo itatokea kwa timu zingine usiwe unajipa matumaini makubwa naye ni binadamuHiyo inatokea tu. Anaweza akakutana hata na Yanga na asifunge. Ila akikutana na matim makubwa anayanyanyasa sana na ndio kawaida yake Mungu kamjaalia.kama unakumbuka 2008 kama sikosei akiwa na umri wa miaka 20, freekick ya kwanza kabisa kawapiga REAL MADRID + freeckick zingine kibao
Defence mbovu kiaje ikiwa game ya mwisho barca alimpiga Madrid 3-0
Barca ni unbeaten mpaka sasa in Europe sasa huo ubovu wa beki unatoka wapi?
Laliga na UCLUnbeaten kwenye rede au?!View attachment 736892
Game ya mwisho kukutana barca na Madrid nani alimukojoza mwenzake handcap?Kwani kabla ya hiyo game ya tatu bila ilikuwaje mkuu.au kipimo chako wewe ni hiyo game pekee...
Liver atachezea, kombe ni la CR7 wengine wasindikizaji tu.
usifananishe uefa na vitu vya kijingaKwani hyo defence haikuwepo walivyokutana kwenye ligi?
Sure kabisa, barcelona timu anayoweza kuifunga ni madrid tu. Kwa mpira wao ulivyowakifala hawezikumfunga liver au bayernbarcelona wanaomba wakutane na madrid nusu maana hio ndio mechi peeke rahisi kwao...liver kabahatisha tu kwa mancity hizo counter zake labda kwa munich ila barca na madrid hawez coz cku hizi na wao wanakaa nyuma flan hv mbele wanaenda kwa hesabu sana, liver watasumbua tu ila mwsho wao umeshafika