Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

We kipusa upo
 
Ila jamani mipira hii haieleweki. Tusishangae kuna timu ilikua mbele goli tatu mechi ya kwanza alafu ikatolewa. Tambueni kunatimu zenyewe mtu flani asipokua na mood ya kufunga lazma zifungwe tu. Miujiza miujiza Inatokeaga mda mwingine.
Utabiri umetokea kwa As Roma
 
manina mtu kapigwa nje ndani. barca nae kuongoza nne kajisahau akadhani ile ni psg
 
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich


Wewe Jamaa Huwa Ninakuona Kwenye Threads Nyinyi Unavyojikanyaga! Kiufupi Huwezi Kuchambua Hata Karanga achiliambali Soccer. Poor!

Haya Wewe endelea Kumpeleka Barcelona Nusu Fainali
 
Madrid anapiga wote waliobaki isipokuwa Barcelona ni mgumu..... So liverpool atapigwa za kutosha akikutana na Madrid fainal


Kweli Umepatia Kuwa Madrid Hamfungi Barca Manake Hawakutani CL Msimu huu
 


Sasa Wewe Mcheza Singeli Na Mpira Wapi Na Wapi!!!
Kujifanya Mjuaji Kumbe Mpaka Rangi Kucha..
Haya Twambie Man City Nusu Fainali arakutana na Nani?
 
Liverfools nao wameanza kelele kama mashabiki wa Manure Fc na Chelshits

Inabidi wapangwa na Fc Barcelona ili kuwapa mnyooosho kama wenzao


Mkuu Ratiba Ya Nusu iliyotoka Jana Usiku Ni Kwa LIVERPOOL vs BARCELONA na Barcelona wataanza Ugenini! Sisi Washabiki Wa Liverpool Tushaanza Kuogopa Kuwa Barcelona atatunyoosha Nyingi.
 
Kwa team zilizobaki UEFA, team pekee inayoweza kuwazuia Madrid kushinda kombe ni Barcelona tu!


Haya Tumeshakufahamu Kuwa Barcelona ndiye Bingwa Wa [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Msimu huu.
 
Jazaakallah sheikh. Barca wanabeba mapema tu,, waliobakia wote ni wachumba tunasubiri kuowa tu...ingawa defence yetu inasuasua kidogo but naamini mambo yataenda sawia.


Umepatia Kusema Kuwa Barcelona Watabeba Kombe Mapema Coz Jana emeshakabidhiwa Kombe Lake Kule Mjini Rome
 
Huu uzi umekuwa wa moto kwa baadhi ya watu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…