konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,594
- 41,138
Keep on dreaming...kesho mida kama hii utakuwa umejificha hutaki kuibuka kwenye huu uzi
Kesha kimbia huyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep on dreaming...kesho mida kama hii utakuwa umejificha hutaki kuibuka kwenye huu uzi
We kipusa upoYaani wasiojua soka tayari mmemtoa Man city?? Ninaona dalili za Liverpool kutolewa na Man city licha ya kuwa mbele 3-0 soka ni kitu cha ajabu sana.
Team zingine zote zilizotangulia kwa ushibdi mechi za kwanza zinachance kubwa ya kufuzu isipokuwa huyo Liverpool
Utabiri umetokea kwa As RomaIla jamani mipira hii haieleweki. Tusishangae kuna timu ilikua mbele goli tatu mechi ya kwanza alafu ikatolewa. Tambueni kunatimu zenyewe mtu flani asipokua na mood ya kufunga lazma zifungwe tu. Miujiza miujiza Inatokeaga mda mwingine.
tunza maneno mkuuKama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hovyooooo!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]We kipusa upo
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
Madrid anapiga wote waliobaki isipokuwa Barcelona ni mgumu..... So liverpool atapigwa za kutosha akikutana na Madrid fainal
Yaani wasiojua soka tayari mmemtoa Man city?? Ninaona dalili za Liverpool kutolewa na Man city licha ya kuwa mbele 3-0 soka ni kitu cha ajabu sana.
Team zingine zote zilizotangulia kwa ushibdi mechi za kwanza zinachance kubwa ya kufuzu isipokuwa huyo Liverpool
Liverfools nao wameanza kelele kama mashabiki wa Manure Fc na Chelshits
Inabidi wapangwa na Fc Barcelona ili kuwapa mnyooosho kama wenzao
Kwa team zilizobaki UEFA, team pekee inayoweza kuwazuia Madrid kushinda kombe ni Barcelona tu!
Jazaakallah sheikh. Barca wanabeba mapema tu,, waliobakia wote ni wachumba tunasubiri kuowa tu...ingawa defence yetu inasuasua kidogo but naamini mambo yataenda sawia.
Ndugu washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya, jana tumeshuhudia kiwango bora kabisa cha timu ya Liverpool ikiitafuna man city bao 3 kwa nunge, hebu tuchangie maoni yetu, Liverpool ikikutana na Realmadrid, je nani atabeba kombe?
Soma: Klabu Bingwa Ulaya: Liverpool yaiadabisha Manchester City! Barcelona mwendo mdundo
View attachment 736226
Mdiyo hivyo mkuuKwa team zilizobaki UEFA, team pekee inayoweza kuwazuia Madrid kushinda kombe ni Barcelona tu!