Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 Dec 15, 2008 #1 Tanzania International Container Services (TICTS) ilipewa mkataba tata imeishia wapi?? wenye taarifa leteni mezani maana ina kila harufu kuwa kuna ufiasadi namna ilivyopewa/kuongezewa mkataba kabla ya wa kwanza haujaisha
Tanzania International Container Services (TICTS) ilipewa mkataba tata imeishia wapi?? wenye taarifa leteni mezani maana ina kila harufu kuwa kuna ufiasadi namna ilivyopewa/kuongezewa mkataba kabla ya wa kwanza haujaisha