vipi issue ya TICTS imeishia wapi?

vipi issue ya TICTS imeishia wapi?

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
78
Tanzania International Container Services (TICTS) ilipewa mkataba tata imeishia wapi?? wenye taarifa leteni mezani maana ina kila harufu kuwa kuna ufiasadi namna ilivyopewa/kuongezewa mkataba kabla ya wa kwanza haujaisha
 
Back
Top Bottom