Vipi jeshi lipo kwa wahitimu wa kidato cha 6?

Vipi jeshi lipo kwa wahitimu wa kidato cha 6?

Edo nyanda

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
46
Reaction score
5
Wadau naomba mnisaidie kunitaarifu kama wahitimu wa kidato cha 6 wataenda jeshi baada ya mtihani wa mwisho
 
kurutu watarajiwa kafundishweni maisha siyo usharobaro, usisterduu,bali ni uzalishaji mali ukakamavu na ulinzi wa taifa
 
Hutaki kwenda?? Kama ndivyo anza kutafuta sababu ya ugonjwa fastaa
 
kule hata wagonjwa wanaenya tu coz huwa wanapewa kazi nyepesi ya kufagia eneo ambalo huku uraiani hata kama mzima lazima uchoke
 
Back
Top Bottom