Vipi kama enzi za Mfalme Sulemani kungekuwa na mitandao ya kijamii angekuwa anapata comments 1000 za wake zake

Vipi kama enzi za Mfalme Sulemani kungekuwa na mitandao ya kijamii angekuwa anapata comments 1000 za wake zake

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ongezea pia comments za watoto, ndugu wa upande wa wake na masulia pamoja na majirani.

Jamaa angeupiga mwingi sana. Mtandao X wangempa blue ticks mpaka wakome.

Halafu anatokea mtu katika zama hizi anawadanganya watu waoe mke mmoja!

Aaah! Mfalme Sulemani wewe! Yaani jamaa angeishi zama hizi basi, angekuwa anatembea na sinia la mihigo mibichi, vipande vya nazi, karanga mbichi na thermos ya alikasusu. Maana kila siku alikuwa na ratiba ya kuona wake zake.

Hata hivyo angechapiwa sana mazee!
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

KONGOLE KWAKE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Point hasa ni nini?
Apost sababu ya wake wengi
Ale mihogo na Katanga mbichi
Anywe alkasusu
Angechapiwa sana
Angepata ukimwi?
 
wake mia saba na michepuko mia tatu

angetumia milioni mia tano kuwanunulia simu za laki tano tano kila mmoja, angefilisika

salio la buku buku kila siku, milioni moja kwa siku.

vijora vya aftano tano, inaenda milioni tano

Daah kuoa wake wengi ni gharama.
 
Point hasa ni nini?
Apost sababu ya wake wengi
Ale mihogo na Katanga mbichi
Anywe alkasusu
Angechapiwa sana
Angepata ukimwi?
Zote ni point. Kila mtu achague anayoipenda
 
Acha hiyo.
Yani ilikua hivi akiamka asubuhi akapoga mswaki akimaliza, kabla ya kunywa chai anawaza ngoja nikaowe kwanza, Kabla ya cha mchana Anaowa mke mwingine tena.. 😂😂
 
Back
Top Bottom