Vipi kama Gen Z wa sasa hivi ni wa kijani?

che chaunichile

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2026
Posts
682
Reaction score
1,120
Najaribu kuangalia hii tunayoiita Gen Z,lakini nahisi hii ya sasa siyo kama ile.Nahisi labda watu WA chama kile ndio sasa wanajiita GenZ.

Lengo kuzua taharuki na kujifanya wanapambana nayo,kisha ionekane imefeli.
Hii nayo ni mbinu.

Samahani wakuu,huu ni mtazamo na hisia zangu.Sina uthibitisho wowote unaohusiana na hili.
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU
 
Unadhani hilo litakuwa jepesi?
 
Back
Top Bottom