Mnandi Jr
Member
- May 30, 2026
- 78
- 119
Salam.
Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini tutafanya ikiwa katiba tunayo dai ikaja na hiko kipengele?
Tutabaki na hii au tutapitisha hiyo?
Ukizingatia bungeni wako wao tu. Karibuni kwa uchangiaji.
Aman iwe nanyi nyote...