Bhaaaas makosaaaaaaa!!!!Nilisema nikiwa mkubwa namimi nitafanya kama yeye
Nadhani kwenye michakato kama hiyo,Salam.
Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini tutafanya ikiwa katiba tunayo dai ikaja na hiko kipengele?
Tutabaki na hii au tutapitisha hiyo?
Ukizingatia bungeni wako wao tu. Karibuni kwa uchangiaji.
Aman iwe nanyi nyote...
Vyema! Umewaza vyema sana mkuu Tlaatlaah! Lakin je kuna historia yeyote hapa nchini kua kuna jambo serekali ililihitaji likakwama kwasababu wananchi hawakulikubali?Nadhani kwenye michakato kama hiyo,
maoni na mapendekezo ya jumla ya walio wengi yatazingatiwa zaidi, na kupitia michakato na hatua mbalimbali za kikatiba na hatimae yatapitishwa na kua sheria rasmi Tanzania.
Mabadiliko ni jambo la kawaida ambalo hutokea kulingana na maoni ya wengi, ambayo ni lazima yazingatiwe na yale maoni ya wachache yaheshimiwe tu π
sikumbuki gentleman,Vyema! Umewaza vyema sana mkuu Tlaatlaah! Lakin je kuna historia yeyote hapa nchini kua kuna jambo serekali ililihitaji likakwama kwasababu wananchi hawakulikubali?
Nilifahamu msimamo wako, hata kabla sijajiunga rasmi jf.sikumbuki gentleman,
na sidhani kama kuna jambo kama hilo linaweza kutokea Tanzania na kwingineko ulimwenguni,
Ingawa kwa nadra sana,
imewahi kutokea hivyo UK wakati wa kujiondoa EU. Na pengine pia hapo Kenya 2022, serikali ya Uhuru Kenyatta ilipanga na kukusudia Raila Amolo Odinga ndie awe Rais wa jamuhuri ya Kenya, lakini wananchi wakakataa, na kumchagua William Samoe Ruto π
Gentleman,Nilifahamu msimamo wako, hata kabla sijajiunga rasmi jf.
Lakini mtu mwenye akili timamu kama wewe inapendeza na inafurahisha pale, kwenye nyeupe, unasema ni nyeupe na kwenye nyeusi ni nyeusi.
Sasa je utakubaliana namimi kua ikiwa leo rais wa tanzania akahitaji kubadilisha katiba na kuweka kipengele cha kuongezewa muda wa kukaa madarakani, hilo litafanyika bila kipingamizi.?!
Sio kwasababu wananchi wanamkubali ila kwasababu hakuna historia ya serekali kupingw na wananchi kufanya watakavyo!..