C chewe92 New Member Joined May 24, 2015 Posts 1 Reaction score 0 May 30, 2015 #1 Naomba kujua hivi kidato cha sita wasioona majina yao kwenye kambi yoyote ndio awamu ya pili au majina yote yatatoka kwa maana hakuna awamu mwaka huu? Tusaidiane jameni
Naomba kujua hivi kidato cha sita wasioona majina yao kwenye kambi yoyote ndio awamu ya pili au majina yote yatatoka kwa maana hakuna awamu mwaka huu? Tusaidiane jameni
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 May 30, 2015 #2 We form six, wasiliana na JKT au mkuu wa shule yako atakupa maelezo sahihi
choconorma JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 210 Reaction score 51 May 30, 2015 #3 Hapon m2 mwaka huu awam ya Pili ipooo
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 May 31, 2015 #4 we shukura Mungu endelea na mambo mengine. . . awamu ya pili sijui kama itakuwepo hasa nikifikiria mambo ya uchaguzi.
we shukura Mungu endelea na mambo mengine. . . awamu ya pili sijui kama itakuwepo hasa nikifikiria mambo ya uchaguzi.