Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na hazina? Je, huu mfumo ilikuwepo zamani? Na kama ilikuwepo wazoefu naomba kujua awali na sasa kuna mabadiliko yoyote ya madeni?
Deni walilo nalo ni tofauti na deni lililopo kwenye salary slip,na den walilo nalo ndo wamelibadilisha wakakata value retention fee na penalty kias walikuwa wanasubir wanufaika wamalize kulipa deni la kwenye slip halafu waanze tena kulipa den walilo nalo wao,na hawataki ili deni liishe