Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
500mb, speed si nzuri
Mkuu, nimenunua modem ya tiGO leo, nimeitumia kwa saa kadhaa hivi, speed ambayo nilikuwa napata ni 600kps ambayo ni sawa na 60kb/s ambayo kwangu ni kubwa kwa kweli...
Nimeichakachua nikaweka line ya voda, voda speed yake ni ndogo kulinganisha na niliyoipata kwenye tiGO,
Airtel nimeweka line yake imekubali, kwa kuwa sijaisajili sikuweza kuinganisha kwenye net, hivyo siwezi jua speed yao...
Ya Airtel sehemu yenye 3G iinafika hadi 1.4Mbps
Vipi haiwezekani mkuu? kama natumia 600kbps kwenyye WCDMA tigo, kwa nini isiwezekane kwenye 3G 1.4 ambayo ni sawa na 104KB/S1.4 mbps?
Aisee! Mkuu 3G sina huakika kama nitaipata hapa kwangu, niko mbezi beach na nilipoweka line ya Airtel network status yake ilikuwa WCDMA kama ilivyo kwa tiGO.
Mkuu hiyo ndo 3G yenyewe..............ile nyingine ya 2G itaandika EDGE
W-CDMA (Wideband Code Division Multiple Access), UMTS-FDD, UTRA-FDD, or IMT-2000 CDMA Direct Spread is an air interface standard found in 3G mobile telecommunications networks. It is the basis of Japan's NTT DoCoMo's FOMA service and the most-commonly used member of the UMTS family and sometimes used as a synonym for UMTS.[1] It utilizes the DS-CDMA channel access method and the FDD duplexing method to achieve higher speeds and support more users compared to most time division multiple access (TDMA) schemes used today.
Mkuu hiyo ndo 3G yenyewe..............ile nyingine ya 2G itaandika EDGE
Vipi haiwezekani mkuu? kama natumia 600kbps kwenyye WCDMA tigo, kwa nini isiwezekane kwenye 3G 1.4 ambayo ni sawa na 104KB/S
Mkuu, unajua tofauti ya Mbps na Mb/s, Kbps na Kb/s?Mbps Stands for "Megabits Per Second." One megabit is equal to one million bits or 1,000 kilobits.
so 1.4Mbps is equal to 1400Kbps
Nafikiri ni ghari sana, kama sikuelewa vizuri MB 1 ni shilingi 362, Ni zaidi ya gharama.Nimepata sms kutoka Tigo wakinitaka ninunue kifurushi cha wiki kwa shilingi 4500, lakini sijui wanatoa bundle ya MB ngapi, pia kwa anaefahamu vizuri tarrif za internet ya tigo na MB wanazotoa anijuvye tafadhali.