vipi kuhusu internet ya tigo?

vipi kuhusu internet ya tigo?

ambili

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
243
Reaction score
15
Nimepata sms kutoka Tigo wakinitaka ninunue kifurushi cha wiki kwa shilingi 4500, lakini sijui wanatoa bundle ya MB ngapi, pia kwa anaefahamu vizuri tarrif za internet ya tigo na MB wanazotoa anijuvye tafadhali.
 
kwenye mtandao wao wanasema bundle ikiisha utatumiwa message....lakini bundle ina limit ya MB ngapi hawajataja....hehe...hao nao bwana....
 
So far, net ya airtel ni nzuri. Modem 65,000 na ukiweka buku 3, unaeza kutumia kwa mwezi mzima (kila siku). It appears to be too good to be true, huenda wanafanya promotion, so usijeshangaa baada ya muda wanapandisha bei au inakuwa na spidi ndogo kwa kadiri watu wengi wanavyojiunga.
 
Ya Zantel inaniboa hapa. Mwanzoni ilikuwa na speed bab kubwa (one year ago). Lakini sasa inazorota na kudorora kama foleni za Dar. Nadhani watumiaji tumekuwa lukuki. They need to do something kwakweli!!
 
500mb, speed si nzuri

Mkuu, nimenunua modem ya tiGO leo, nimeitumia kwa saa kadhaa hivi, speed ambayo nilikuwa napata ni 600kps ambayo ni sawa na 60kb/s ambayo kwangu ni kubwa kwa kweli...

Nimeichakachua nikaweka line ya voda, voda speed yake ni ndogo kulinganisha na niliyoipata kwenye tiGO,

Airtel nimeweka line yake imekubali, kwa kuwa sijaisajili sikuweza kuinganisha kwenye net, hivyo siwezi jua speed yao...
 
Ya Airtel sehemu yenye 3G iinafika hadi 1.4Mbps
 
Ya Airtel sehemu yenye 3G iinafika hadi 1.4Mbps

Aisee! Mkuu 3G sina huakika kama nitaipata hapa kwangu, niko mbezi beach na nilipoweka line ya Airtel network status yake ilikuwa WCDMA kama ilivyo kwa tiGO.
 
zantel hapa speed 3.1 mb/ps natamani upaa nikibofya tu nimepata
 
Aisee! Mkuu 3G sina huakika kama nitaipata hapa kwangu, niko mbezi beach na nilipoweka line ya Airtel network status yake ilikuwa WCDMA kama ilivyo kwa tiGO.

Mkuu hiyo ndo 3G yenyewe..............ile nyingine ya 2G itaandika EDGE
 
Mkuu hiyo ndo 3G yenyewe..............ile nyingine ya 2G itaandika EDGE

Duh! ushamba mwingine huu kaazi kweli kweli..

W-CDMA (Wideband Code Division Multiple Access), UMTS-FDD, UTRA-FDD, or IMT-2000 CDMA Direct Spread is an air interface standard found in 3G mobile telecommunications networks. It is the basis of Japan's NTT DoCoMo's FOMA service and the most-commonly used member of the UMTS family and sometimes used as a synonym for UMTS.[1] It utilizes the DS-CDMA channel access method and the FDD duplexing method to achieve higher speeds and support more users compared to most time division multiple access (TDMA) schemes used today.
 
Vipi haiwezekani mkuu? kama natumia 600kbps kwenyye WCDMA tigo, kwa nini isiwezekane kwenye 3G 1.4 ambayo ni sawa na 104KB/S

Mbps Stands for "Megabits Per Second." One megabit is equal to one million bits or 1,000 kilobits.
so 1.4Mbps is equal to 1400Kbps
 
Mbps Stands for "Megabits Per Second." One megabit is equal to one million bits or 1,000 kilobits.
so 1.4Mbps is equal to 1400Kbps
Mkuu, unajua tofauti ya Mbps na Mb/s, Kbps na Kb/s?
 
Nimepata sms kutoka Tigo wakinitaka ninunue kifurushi cha wiki kwa shilingi 4500, lakini sijui wanatoa bundle ya MB ngapi, pia kwa anaefahamu vizuri tarrif za internet ya tigo na MB wanazotoa anijuvye tafadhali.
Nafikiri ni ghari sana, kama sikuelewa vizuri MB 1 ni shilingi 362, Ni zaidi ya gharama.
 
hapo ni kununua line ya tigo naweka kwnye modem ya voda naendelea kula mzgo kama kawa!!@mganyizi,modem yangu ya zantel EC122 ina sehem ya kueka SIM/UIM haichakachulik hyo?
 
Back
Top Bottom