Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You have to do something kwa kweli!Ya Zantel inaniboa hapa. Mwanzoni ilikuwa na speed bab kubwa (one year ago). Lakini sasa inazorota na kudorora kama foleni za Dar. Nadhani watumiaji tumekuwa lukuki. They need to do something kwakweli!!
hakuna tofauti mkuu Mbps ni sawa na Mb/s so as Kbps na Kb/s
hiyo p ina simama badala ya (per) mathematically ni sawa na kuiwakilisha kwa alama ya ( / )
vp unachakachuaje modem ya tigo tujuzeni na sie basi tupate maujanja.
Mkuu, nilichokuwa na kimaanisha kama ukipewa Bandwdith ya Speed ya 312Kbps ambayo ni sawa na (39kb/s)
Samahani mkuu sijaelewa swali lako vizuri... Naomba ufafanue vizurimganyizi hii inapatikana vipi? 312Kbps= 39kb/s?
Mkuu, nilichokuwa na kimaanisha kama ukipewa Bandwdith ya Speed ya 312Kbps ambayo ni sawa na (39kb/s)
View attachment 23992
nilipita leo katika costumer care zao nilipo wauliza walisema wana charge kwa amount uliyo weka na siyo size ya MB or GB ndiyo maana waka ziweka kwenye three type ambayo ni light,standard,max ambayo light ni kwa ajili ya browes tuu ambayo huwezi kudownload,kwenye standard inauwezo mkubwa zaidi ya light lkn max ipo sawa unaweza kufanya kila kitu ambayo kwa mwezi ni 25,000.Sema mimi ya zantel nimeikubali sana kuliko hata ya airtel na tigo
Name:
Number: 100
Content:
You have reached your package usage threshold of 204800Kbytes. Your speed will be changed now.
Time: 27/02/2011 19:26:53
Tigo wako kwa watumiaji wa Dar-es-salaam ila kwa sisi wa mikoani jamani tusiangaike nayo kwa sababu bado hawajaanza huduma mikoani. TTCL, VODA, ZANTEL & AIRTEL are the Upcountry saviors jamani. Go for TTCL wana Unlimited Bundles and wako fast connected to Optic Fibre Cable yani inakuwa hakuna Network Interference kama wanaotumia Satellites.
So far, net ya airtel ni nzuri. Modem 65,000 na ukiweka buku 3, unaeza kutumia kwa mwezi mzima (kila siku). It appears to be too good to be true, huenda wanafanya promotion, so usijeshangaa baada ya muda wanapandisha bei au inakuwa na spidi ndogo kwa kadiri watu wengi wanavyojiunga.
mkuu, nimenunua modem ya tigo leo, nimeitumia kwa saa kadhaa hivi, speed ambayo nilikuwa napata ni 600kps ambayo ni sawa na 60kb/s ambayo kwangu ni kubwa kwa kweli...
nimeichakachua nikaweka line ya voda, voda speed yake ni ndogo kulinganisha na niliyoipata kwenye tigo,
airtel nimeweka line yake imekubali, kwa kuwa sijaisajili sikuweza kuinganisha kwenye net, hivyo siwezi jua speed yao...
Imegoma kivipi? ebu nieleze uliichakachua kupitia application ipi Na inakupa error msg gani?inachakachulika? Yangu imegoma nipe ma ujanja basi