Vipi kuna watu wa equivalent waliochaguliwa udom?

Vipi kuna watu wa equivalent waliochaguliwa udom?

kuna tetesi wapo walioenda direct ofisi za Nacte kujua hatima zao mojawapo ya majibu waliyopewa ni kua Nacte wana release post kuanzia j3 ya next week


OVa
 
by boniface salimili kujiungana degree lazima uwe na C 3 ZA OLEVEL so unaeza soma mpaka diploma ila kama huna pass za olevel jua imekula kwako so whether kachukuliwa au lah kama hujatimiza vigezo inakula kwako[/QUOTE]

word
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna vitabu viwil vya majina mum kimoja cha direct na equivalent applicant selected so sijajua kama kuna tofaut baina yao
 
Equivalent udom wapo tena kama course ya public administration wapo kama 6
 
Back
Top Bottom