DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Wakurugenzi walikula hela yetu bureDodoma hakuna kitu chochote zaidi walisafisha eneo tu
Afcon kwa tz itafanyika DAR, ZNZ na AR pekee, DOM haipo kwenye orodha.Habari Wadau, naomba niulizie kwa Wadau wengine kuwa, tuliambiwa kuwa kutokana na AFCON kufanyika East Africa kutajengwa viwanja viwili cha Arusha na Dodoma ila cha Dodoma naona kimya, vipi naomba niulizie kimefikia wapi?