Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Baada ya kutoka mishe mishale ya saa 4 za usiku, nikapita mgahawani kupata mkate wa usiku, nimenunua vitu vya kupika kesho asubuhi, Sasa hivi nipo na glass yangu ya wine na kaweed pembeni.

Niko jf Sasa hivi.
Inapendeza sana, enjoy maisha kiongozi!
 
Jamii iliyokosa muelekeo ikijadili masuala ya faragha mitandaoni huku umaskini ukiwatandika na maradhi yakiwamaliza. Mnatabasamu kwenye status na mitandaoni huku mioyo ikitoa machozi, jasho na damu
 
Kiukweli huyu bibie anapenda kuimba, kila muda anataka mic aniimbie nyimbo tamu za mapenzi
 
Bado mko kwenye level za kubebana?,mkipata majukumu kuna muda ndio mtajua nyie ni kaka na dada au ni wapenzi......ada,ujenzi,michango ya harusi,service ya gari,wazazi,shambani weeeee mbona mtakaa wewe na huyo bby muumbe tenzi number 116

Nimetafuta tenzi namba 116 ni ile nyimbo Bwana U sehemu yangu 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…