Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu?
- Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani?
- Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha?
anapenda kunibeba mgongoni na kunimasaji miguu na kiuno.