Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

  1. Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu?

  2. Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani?

  3. Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha?
Huyu wangu mbali na kunifanya nirushe maji sana :uwotWater: anapenda kunibeba mgongoni na kunimasaji miguu na kiuno.

View attachment 3436971
anakufanyaje hadi unarusha maji mama?๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Back
Top Bottom