Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Lesso ni kifaa maalum cha kukauhia ute ute wa puani.Mtu mzima mwenzangu, hebu fafanua vizuri lesso ni nini?
Lesso ni kifaa maalum cha kukauhia ute ute wa puani.Mtu mzima mwenzangu, hebu fafanua vizuri lesso ni nini?
Naheshimu maoni yako kaka.Maoni yangu huu ni utoto tu.
Kuna saa maisha yakifika kilele cha majukumu hayo yote yanakuwa si ujinga na utoto tu bali ni upumbavu.

Na mzigo huo akubebe mgongoni 😃Huyu wangu mbali na kunifanya nirushe maji sana
- Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu?
- Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani?
- Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha?
anapenda kunibeba mgongoni na kunimasaji miguu na kiuno.
View attachment 3436971
Mapenzi hayana baunsa sio poa ukipenda utafanya mengi zingatia neno ukipenda,
Ya 2025 na Pedro Pascal?Kuna movie nimeitazima ya mwaka huu inaitwa materialist, kama sijasahau jina, umeitizama?
Kwangu mapenzi hisia, sina shida na hela.nina milioni moja hapa njoo nikuone
nimekuambia nikuone sio tufanye mapenzi.sawa bibi?Kwangu mapenzi hisia, sina shida na hela.
Basi tuelekeze, mama la mama huwa anaikaliaje hiyo lesso 😅 !Lesso ni kifaa maalum cha kukauhia ute ute wa puani.
Unione kwa shughuli au sababu gani sasa?nimekuambia nikuone sio tufanye mapenzi.sawa bibi?
tunaonana tu kufahamiana.Unione kwa shughuli au sababu gani sasa?
Pole sana, mbona unateseka hivyo 😅 😂Kunilaumu na kunitafutia makosa
Limeisha hilo nitasema, japo najua haiwezi kutokea, hayo siyo mambo yangu!Na siku ukiliwa kiboga uje kusema
Haaa haaaa, mtaka cha uvunguni sharti achutame 😂Na mzigo huo akubebe mgongoni 😃
Kila la heri.Naheshimu maoni yako kaka.
Wewe endelea kupambana na majukumu yako na mimi nitaendelea kupewa raha zangu![]()
![]()
![]()
Acheni ulimbukeni na ushambaHuyu wangu mbali na kunifanya nirushe maji sana
- Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu?
- Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani?
- Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha?
anapenda kunibeba mgongoni na kunimasaji miguu na kiuno.
View attachment 3436971
Yani baada ya kuniuliza huwa nakojozwtunaonana tu kufahamiana.
vipi, na kusema unataka kunipa milioni kumbe unataka tukutane ili tufahamiane tu? 😂😂Ndio ndio, uliposema hilo neno matchmaker nikakumbuka hio movie..Ya 2025 na Pedro Pascal?