Vipi Msuva wazee... sababu Samatta Samatta

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Oya wazee vp kijana wetu happygod huko benfica.. Sababu kila kukicha ni samatta tu... Tupeni updates za role model wetu anayekiwasha sana stars.
 
Sibishi kwamba Msuva yupo S.L Benfica, ila tu nakupa angalizo kwamba usiamini sana Wikipedia Pages with editable options kwa sababu yeyote, provided anayo Wikipedia Account, anaweza ku-edit na kuandika anachojisikia. Kwa mfano, ingawaje page ilikuwa inasema yupo Benfica, mimi nimeweza kui-edit na kuandika yupo Ndondo Cup FC, Buguruni!!!

Anyway, nitairudisha kama ilivyokuwa awali!!

 
Hiyo page ya wikipedia mwezi uliopita iliweka msuva kashawahi cheza mamelod na pia azam. Usiamini sana wikipedia.
 
Hiyo page ya wikipedia mwezi uliopita iliweka msuva kashawahi cheza mamelod na pia azam. Usiamini sana wikipedia.
Duh... Ila kuna mshikaji wangu kanambia hivyohivyo sasa sijui yeye katoa wap hiyo taarifa
 
Duh... Ila kuna mshikaji wangu kanambia hivyohivyo sasa sijui yeye katoa wap hiyo taarifa
Taarifa za msuva zina mikanganyo.

Ukiangalia wachezaji benfica ambao wamesajiliwa au kutolewa kwa mkopo dirisha dogo hili msuva hayupo.

Hata panathaoikos ya ugiriki, ambapo ilidaiwa msuva kapelekwa kwa mkopo hayupo pia.

Ni kama hii taarifa ilikuwa ni hoax.
 
Ooh shukrani mkuu ntafuatilia
 
➖Iran 🇮🇷
➖ [ Foolod - Shahr khodrou ]
💣 [ X fulltime ]
➖❤️- VIP Information Don't Share out ‼️👍👍

➖Rwanda 🇷🇼
➖ [ Kagera sugar - Mwadui ]
💣 [ 1 : 0 fulltime ]
➖❤️- VIP Information Don't Share out ‼️👍👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…