DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jul 21, 2025 #1 Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Jul 21, 2025 #2 😆😆😆😆 Hiyo Taarifa mbona haina QR CODE?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jul 21, 2025 #3 Mnatakiwa mtuambie mmeuana wangapi?Bila hivyo ni maigizo tu.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 6,610 Reaction score 13,270 Jul 21, 2025 #4 Hao sio ssm mnawasingizia bwanaa😂😂😂
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jul 21, 2025 #5 😁😁😁😁
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,891 Jul 21, 2025 #6 Huu ni uvunjifu wa amani,wako wapi polis?
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,275 Reaction score 80,330 Jul 21, 2025 #7 😹😹😹 Huyo mwenye mwiko anayepopolewa humo ndani ndo mjumbe mwenye maamuzi ya mwisho ??
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 Jul 21, 2025 #8 Huu uchaguzi watapasuana
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Jul 21, 2025 #9 Acha wauwane tu Wamekaza kuishi na laana?? Yule mkubwa wao yeye anasemaje
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Jul 21, 2025 #10 DuaZaMama said: Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 View attachment 3413310 Click to expand... Sie kwetu tupo mtaani tunakunywa Konyagi. Hali muswano kabisa!
DuaZaMama said: Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 View attachment 3413310 Click to expand... Sie kwetu tupo mtaani tunakunywa Konyagi. Hali muswano kabisa!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 13, 2025 #11 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw