LGE2024 Vipi, mtaani kwako muamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mr Geniuz Km

Member
Joined
Aug 27, 2017
Posts
16
Reaction score
15
Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
 
ni wazi CCM itashinda mitaa na vijiji vyote nchini, hamasa na shauku ya wapiga kura wa CCM na wanainchi wote huku nilipo ni kubwa mno..

wamejiandikisha kwa wingi mno kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27, 2024, na wameboresha taarifa zao kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oct.2025,

na kila moja anatamani na ana shauku ya kuweka historia ya kuchagua Rais mwanamke Tanzania 🐒

Hamasa ni kubwa sana kwakweli...

Mungu Ibariki Tanzania
 
Tumbo halina adabu
 
CCM itashinda kwa kura kibao
  • Rais ni CCM
  • Wabunge watatoka CCM
  • Madiwani CCM
  • Serikali za mitaa CCM
 
CCM itashinda kwa kura kibao
  • Rais ni CCM
  • Wabunge watatoka CCM
  • Madiwani CCM
  • Serikali za mitaa CCM
Kama ni mzee kiumri ndiyo umeandika haya, tunakusamehe maana unakaribia kufa. Lkn kama ni kijana, basi nakutahdharisha bangi siyo nzuri.
 
ni wazi CCM itashinda mitaa na vijiji vyote nchini, hamasa na shauku ya wapiga kura wa CCM na wanainchi wote huku nilipo ni kubwa mno..

wamejiandikisha kwa wingi mno kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27, 2024, na wameboresha taarifa zao kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oct.2025,

na kila moja anatamani na ana shauku ya kuweka historia ya kuchagua Rais mwanamke Tanzania 🐒

Hamasa ni kubwa sana kwakweli...

Mungu Ibariki Tanzania
You are a graduate fool
 
Wapi huko ambako tayari wamejiandikisha Kwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa !!?? Wakati linaanza kuandikishwa tarehe 11!?? Uchawa umezidi kiwango Sasa .... Vitu vya wazi hivi unadanganya eti huku wamejiandikisha na wapo tayari..... Asee we ni kiazi mbatata
 
Acha utoto, wamejiandikisha lini wakati zoezi hilo bado hadi tarehe 11? Nikusaidie tu, watu hawako tayari tena kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi. Kitendo cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti kimefanya watu kudharau box la kura. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.
 
Huku kwetu ninaona upinzani wanajiandisha mnooo.
2. Vijana ni kama wote wanajiandikisha sana.
3. Yule bibi kundi lake linajiandikishwa kwa uchache sana, na kwa shingo upande! Bibi hauziki
 
Wapi huko ambako tayari wamejiandikisha Kwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa !!?? Wakati linaanza kuandikishwa tarehe 11!?? Uchawa umezidi kiwango Sasa .... Vitu vya wazi hivi unadanganya eti huku wamejiandikisha na wapo tayari..... Asee we ni kiazi mbatata
Ogopa wajinga wakiwa wengi wanaweza kuchagua Rais
 
Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
Ni kama uchaguzi huo utafanyika huko uwanja wa Benjamin Willium Mkapa kwani mtaani hatujui kama kuna mambo hayo.
 
Wala hakuna mwamko
Huu uchaguzi utadoda

Ova
 
Back
Top Bottom