ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Kauli ya kiume sana hii,.unajua mkuuOgopa wajinga wakiwa wengi wanaweza kuchagua Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya kiume sana hii,.unajua mkuuOgopa wajinga wakiwa wengi wanaweza kuchagua Rais
Plato, katika kazi yake "The Republic," alikuwa na mtazamo hasi kuhusu demokrasia. Aliona demokrasia kama mfumo ambapo watu wengi, ambao wanaweza kukosa elimu au hekima ya kutosha, wanapewa mamlaka ya kuchagua viongozi. Alisema kuwa katika demokrasia, kuna uwezekano mkubwa wa watu wasio na ujuzi, maarifa, au maadili bora kushinda uchaguzi kwa sababu wanavutia kwa hotuba nzuri na ahadi za kuvutia.Kauli ya kiume sana hii,.unajua mkuu
Siku hizi umeme na maji mgao, upatikanaji ni changamoto nyingine Hali kadhalika gharama za umeme nazo zinapaa sababu ya kumuongezea Kodi ya huduma mlaji licha ya ahadi tamu kuwa Bwawa likikamilika gharama ya umeme itashuka na ziada tutauza nje.Mtaani kugumu Maji hakuna wala umeme..duh
Hapo kwenye kuuza nje, ndo pagumuSiku hizi umeme na maji mgao, upatikanaji ni changamoto nyingine Hali kadhalika gharama za umeme nazo zinapaa sababu ya kumuongezea Kodi ya huduma mlaji licha ya ahadi tamu kuwa Bwawa likikamilika gharama ya umeme itashuka na ziada tutauza nje.
Ogopa wajinga wakiwa wengi, wanaweza kuchagua Rais
Madhara aliyofanya dhalimu magu kwenye chaguzi zetu, yatafanya chaguzi zetu kuwa na wapiga kura wachache sana. Na viongozi watazidi kuwa na mbali na wananchi kwani hawatakuwa na ridhaa ya umma.Wala hakuna mwamko
Huu uchaguzi utadoda
Ova
Ulianza kuandika vizuri halafu ulipoitaja CCM ukawa umeharibu kila kitu,yaani wananchi wamegoma kabisa kama hamna kinachoendeleawanainchi wakishaamua bana,
hata ufanye ushirikina wa aina gani au ufanye matambiko sijui ya kuchoma vitenge au kuchukua vijana misukule,
hawabadiliki, ni CCM tu kila kona ya nchi dah 🐒
Kitufe cha ku ignore huyu mpuuzi pleaseni wazi CCM itashinda mitaa na vijiji vyote nchini, hamasa na shauku ya wapiga kura wa CCM na wanainchi wote huku nilipo ni kubwa mno..
wamejiandikisha kwa wingi mno kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27, 2024, na wameboresha taarifa zao kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oct.2025,
na kila moja anatamani na ana shauku ya kuweka historia ya kuchagua Rais mwanamke Tanzania 🐒
Hamasa ni kubwa sana kwakweli...
Mungu Ibariki Tanzania
rest silence in peace gentleman,Kitufe cha ku ignore huyu mpuuzi please

wamegoma maandamano haramu yaliyochochewa na mlevi kwa usaliti wa kiwango cha juu sana cha uzalendo,Ulianza kuandika vizuri halafu ulipoitaja CCM ukawa umeharibu kila kitu,yaani wananchi wamegoma kabisa kama hamna kinachoendelea
