Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Swali je hizo sura zipo ama hazipo kwenye quran leo?
 
Kuna nyingine mmesahau, Allah aliona jua likizama kwenye tope na hii Pia wanasayansi wamethibitisha.
Quran is not a book of science mjombaa, mbona bible una makosa kibao umbwaji wadunia mungu kampa wanyama mala mimea alfu juaa kutakuaje na mimea bila jua? a simple science hata photosynthesis imewashinda.
 
Swali je hizo sura zipo ama hazipo kwenye quran leo?
Suratul Al jinn hipo. tatizo nini? hao viumbe tu kama viumbe vingine walikuwepo na wana serekali zao, wanafamilia kuna warifu na wema na kadhalika mbona mzungu akisema alien mnakubali ila muislam akisema jini basi ni shida.
 
Mimi sio Kondoo wa kuchungwa na kamwe siwezi potea.
Mwambie jamaa huyo, asa cha ajabu mitume yote walikua wafugaji kwa sababu hi mijamaa wabishi na wagumu kuelewa kama kondoo wenywe wanambiwa huku chui ila wanangangana.
 
Nafikir tunashindwa kutofautisha... muslim sio wote wana itikadi kali... wapo ambao wameenda darasani tena abroad kupata elimu na elimu hiyo ndio imewafungua na hivyo basi kuwa na gunduzi mbali mbali... waislamu wanaofuata kila jambo mpaka sunna za mtume na ambao wanaamini kwenye quranic law (itikadi kali), hawa wangeendelea kuishi kwenye ujima tu... hawa hata hawashirikishi bongo zao kwenye masuala ya kisayansi.
 
Suratul Al jinn hipo. tatizo nini? hao viumbe tu kama viumbe vingine walikuwepo na wana serekali zao, wanafamilia kuna warifu na wema na kadhalika mbona mzungu akisema alien mnakubali ila muislam akisema jini basi ni shida.
Tatizo lako unakuwa makaalii, elewa swali, kisha toa jibu. NDIYO au HAPANA. sijataka hayo maelezo maana nayajua.
Swali. Unaposema quran imekamilika, wewe na Aisha Abu bakar aka mama wa uislam nani mkweli? na je, wewe muislam wa leo na bwanm Uthman nani mkweli??
 
ili
Na wewe tumia akili japo kidogo, kama sayansi ilikuwa duni pyramids zilijengajwe? hivi umepewa ubongo unajuwa kazi ya ubongo?
zilijengwa kwa nguvu za watumwa.... kwani las vegas si wamejenga mfano wa pyramid. Huwezi kukataa kuwa sayansi kipindi icho ilikuwa duni kweli, huwezi kuifananisha na hii ilokuwepo leo.
 
Wewe huyo Aisha Abubakar na Uthman,ulikutana nao wapi wakakuambia maneno hayo.Wakati hao wamekufa miaka 1400 iliyopita.
Inachotakiwa utoe aya ndani ya Qur'an inayosema Qur'an haikukamilika.Wakati tayari Qur'an inazo aya zinashoonyesha haina shaka,imekamilika.
 
Jibu Swali hizo mbili, acha blaa blaa hapa?
 
kisoda sijawa mkali una soma sms kwa picha ya ukali, nisamehe kama i sound ukali simply nilikua nataka kukuelewesha maana nimekutana na watu wa design hio anauliza ili anakua anapotezaidi mfano kuuhusu majini mtu anauliza anajua waislam watu wamajini na kadhalika kumbe sio. kuna uislam na muislam usijaji dini ya mtu kwa kua yeye yuko vile au hivi. hio anakua mtu na tabia zake. okay kama unataka ndiyo na hapana basi ndiyo.
 
isoda sijawa mkali una soma sms kwa picha ya ukali, nisamehe kama i sound ukali simply nilikua nataka kukuelewesha maana nimekutana na watu wa design hio anauliza ili anakua anapotezaidi mfano kuuhusu majini mtu anauliza anajua waislam watu wamajini na kadhalika kumbe sio. kuna uislam na muislam usijaji dini ya mtu kwa kua yeye yuko vile au hivi. hio anakua mtu na tabia zake. okay kama unataka ndiyo na hapana basi ndiyo kua kuna surat al jinn.
 
Msingi wa swali ulilalia kwenye Quaran kuwa imekamilika, hakuna hata nukta moja imeondolewa.
Je, Stonning verse (sura/Ayat ya kupiga mawe) ipo? Aisha Ibin Abu bakar anasema ililwa na MBUZI. unasemaje juu ya ukamilifu huo?
 
Ndio imekamilika. haipo na kisa unakijua umekisema mwenywe inasemekana kwa kutoka kwa kwenye hadithi kua imeliwa na mbuzi na mpaka kutokea hivyo Mungu ana kusudi yake. mbona kuna aya zinaelezea kwa wazinzi kupigwa mawe mpaka kufa kama umetoka kwa ndoa.
 
Msingi wa swali ulilalia kwenye Quaran kuwa imekamilika, hakuna hata nukta moja imeondolewa.
Je, Stonning verse (sura/Ayat ya kupiga mawe) ipo? Aisha Ibin Abu bakar anasema ililwa na MBUZI. unasemaje juu ya ukamilifu huo?
Iloyoliwa na mbuzi ni ile aliyokuwa nayo yeye,nyingine zilikuwapo.Na pia watu walihifadhi kichwani.
Ni sawa uambie shule imeingia maji,na vitabu vimeharibika,katika akili yako unafikiri vitabu kama hivyo vilivyoharibika,itakuwa havipo shule nyingine.Tumia akili.
 
Saheeh Muslim

Book 017, Number 4194:
'Abdullah b. 'Abbas reported that 'Umar b. Khattab sat on the pulpit of Allah's Messenger (may peace be upon him) and said: Verily Allah sent Muhammad (may peace be upon him) with truth and He sent down the Book upon him, and the verse of stoning was included in what was sent down to him. We recited it, retained it in our memory and understood it. Allah's Messenger (may peace be upon him) awarded the punishment of stoning to death (to the married adulterer and adulteress) and, after him, we also awarded the punishment of stoning, I am afraid that with the lapse of time, the people (may forget it) and may say: We do not find the punishment of stoning in the Book of Allah, and thus go astray by abandoning this duty prescribed by Allah. Stoning is a duty laid down in Allah's Book for married men and women who commit adultery when proof is established, or it there is pregnancy, or a confession.
Christian missionaries tend to argue that this verse was removed from the Quran and they claim that this is proof that Muslims corrupted the Quran.
 
Huu Mchezo mbona hausomeki vema.
kumbe Kuna Aya/Sura zikionekana siyo zinafanywa zisahaulike au kufanyiwa merekebisho kwa kuleta same AYA or something better than it???? Huyu Allah kiboko.

In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful



Assalaamu `alaykum waRahmatullahi Wabarakatoh



At the outset, I would like to explain the aspect of naskh (نسخ) in Shariah.



The Jews believe that naskh cannot take place. They say that if naskh is accepted, then it will prove that Allah Ta’ala is prone to mistakes (May Allah forbid). Their understanding of naskh is that Allah Ta’ala made a certain ruling, thinking it was appropriate, and later found out that he had made a mistake, so he changed the ruling (May Allah forbid).



The correct belief is that naskh can take place; and the correct understanding of naskh is that Allah Ta’ala, who is all-knowing, issues his rulings according to the requirements of that time and era. This does not prove that the former ruling was wrong, but it proves that the former ruling was more appropriate for that time and the new ruling is more appropriate for the present time.



Uloomul Quran – Mufti Taqi Uthmani Saheb Pg:160 (Maktabah Darul Uloom Krachi)



A very good example of naskh is the ruling on alcohol. Initially, alcohol was not totally prohibited, because theSahabah (Radiyallahu Anhum) had just accepted Islam and it would have been difficult for them to abandon something they loved. Therefore, the Quran gradually prohibited alcohol by saying that its harms outweigh its benefits; then it said that it is not permissible to perform salaah in the state of intoxication; and after Islam had settled in firmly in the hearts of the Sahabah (Radiyallahu Anhum), alcohol was totally prohibited.



In this example, the prohibition of alcohol in the end does not prove that its permissibility initially was a mistake, but it proves that permissibility was more appropriate in the initial stages and prohibition was more appropriate in the end.



The aspect of naskh is also explained in the Quran in the following verse:



ما ننسخ من آية أو ننسها نأت بخير منها أو مثلها



Whenever we cancel a verse or cause it to be forgotten, We bring something better or equal to it. (Verse 1:106)



Secondly, Allah Ta’ala has taken the responsibility of safeguarding the Quran. Allah Ta’ala says in the Quran:



إنا نحن نزلنا الذكر وإنا له لحافظون



Verily We have revealed the Reminder (Quran) and We shall certainly be its protectors. (Verse 15:9)



Therefore, any text that proves otherwise will not be accepted.
 
kisoda umekazana kutafuta kasoro dah wewe hatari na kasoro hautoiona kwa sababu hakuna kasoro.
 
Mbona tukisoma sehemu nyingi na kutoka kwa nguli wa uislam hawasemi Muhammad hajui kusoma na kuandika? ni wapi unatoa hiyo tafsir kwamba huyo mtume hajui kusoma wala kuandika?
Kama hakujua kusoma wa kuandika, aliwezaje kujua kwamba vitabu walivyopewa Jews and Christian vimevurugwa pasipo yeye kuvisoma?
Mbona Quran haisemi kuwa Muhammad hajui kusoma wa kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…