Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Qur'an 29:48
"Na hukuwa mwenye kusoma kitabu chochote kabla ya hiki,wala hukukiandika kwa mkono wako wa kuime,ingekuwa hivyo wangefanya shaka wale wanaotaka kubadilisha (haki)."
 
Qur'an 29:48
"Na hukuwa mwenye kusoma kitabu chochote kabla ya hiki,wala hukukiandika kwa mkono wako wa kuime,ingekuwa hivyo wangefanya shaka wale wanaotaka kubadilisha (haki)."

Hayo maneno anayasema nani sasa?
 
Hayo maneno anayasema nani sasa?
Kumbe hujaelewa kama Mtume Muhammad,maneno ya Qur'an sio yake.Allah ndiye anayesema hayo.
Qur'an 32:2-3
Uteremsho wa kitabu hiki hauna shaka kuwa umetoka kwa Muumba wa ulimwengu .Je wanasema:"Amekitunga mwenyewe ".Sivyo hivyo bali hicho ni haki itokayo kwa Mola wako ili uwaonye watu wasiojiwa na muonyaji kabla yako.Huenda wakaongoka."
 
Quran 16.68-69] And your Lord (Allah) revealed to the bees: Build your hives in mountains, trees and in what they build. Then eat (for females) from every fruit and follow (for females) your Lord's enslaved paths, from their bellies (for females) exits drink of different colors, in it healing for man. These are signs for those who contemplate.

68.Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu.
69. Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri.

Kuna nyuki hadi milimani wanatoboa kutengeneza mizinga. sie tuna jua kwenye miti tuh na jamii za nyuki zinaanza kuppotea yani wako kwenye hali hatarishi kupotea kama kina john faru.
 

Attachments

  • sandstone-bee-nests.jpg
    10.5 KB · Views: 39
  • honeybee.jpg
    8.2 KB · Views: 33
  • carpenter-bees.jpg
    10.9 KB · Views: 35

Wewe pekeyako ndio ulikuwa unajua Nyuki wanaweka asali zao kwenye miti tu,
hiyo aya uliyoiweka mbona unaweka na Mabano (kwenye neno Demale), unajua maana yake? maana yake hayo ni maneno yasiyokuwepo na ni maneno ya mtafsiri, , maana kwenye hiyo Aya ya Kiswahili sijaona Nyuki jike
 
Soma hizo article kwa upole utaelewa tu

Lete swali lingine
Mkuu hawa jamaa ni shida kusoma between the lines! hivyo utakesha. ukimletea huo ushahidi. tatizo siyo lake ni mfumo wa kukariri ndio unamsumbua/unawasumbua wote.

kamata hii utajua kama kweli wanaelewa au wanakariri kama kasuku.

Watakwambia/wanasema Injili tuliyonayo siyo kweli imechezewa kutoka ile origional.
=>Swali umejuaje, ama ikowapi hiyo origional?
Watakwambia quran imesema, kuwa Yesu hakufa wala kufufuka ila ilifanywa kiini macho tu na allah, ionekane hivyo ila hakuna kitu kama hicho.
=>Swali , umejuaje kama qurani inasema kweli kuwa kufa na kufufuka kwa Yesu ni fix tu?
Watakwambia, Muhammad anasema quran ni sahii na ni kweli.
=>Swali, Unaamini kama Muhammad ni mtume wa allah?
Watakujibu kwasabu quran imesema hivyo.
=>Swali tunaamini vipi kuwa quran inasema kweli?
Watakujibu kwasababu hujui kusoma/kuongea KIARABU(wanaongezea tena classi Arabic - yaani lugha ya kabila la Muhammad) soma kwanza kiarabu utaona ukweli uliopo ndani ya quran.

mpaka hapo nadhani umepata mwanga unapo deal na hawa jamaa.
 
Ulisha jibiwa hapo mwanzo kuhusu lugha bwana, unajua ila unazunguruka mbona una shambulia saana tupe basi mstari mmoja kwenye bible ukielezea nyuki au hata sisimizi 😀 tuh. tufanye umeshinda ila ujashinda kwa tarifa yako. tafsir elizabeth will you marry me said john asa tasfir kwa kiswahili kama ilivyo yani elizabeth unaweza kunioa akisema john kwa kiswahili inaingia akilini.

  • For the word "eat": "Kuli" is for females; "Kul" is for males. The Quran used "Kuli" (females).
  • For the word "follow a path": "Usluki" is for females; "Usluk" is for males. The Quran used "Usluki" (females).
  • For the word "their bellies": "butuniha" is for females; "butunihim" is for males. The Quran used "butuniha" (females).
 

Kaka nawafahamu sana hawa jamaa, yaani anaweza kubisha kitu na ukakiona kabisa shida ni upungufu wa kutafakari na pia kukosa upeo wa kusoma historia na pia kuziangalia dini zingine zinasemaje
 

Kwa nini unangangania nikupe kwenye Biblia?, we unaiamini Biblia? Kwa nini kila mtu anayepingana na uongo wako na wa Mtuzi mzuri wa Mashairi unakimbilia kwenye Biblia?
 
sio kosa lako na mungu amewataja watu kama nyie hata muangaike vipi utoelewa.
 
sio kosa lako na mungu amewataja watu kama nyie hata muangaike vipi utoelewa.
Hicho nilichoandika umeelewa aua ndio unaendelea kukariri na umekosa cha kukariri. maana msumari ni wamoto huo haumezeki!
mungu yupi huyo aliyesema hayo? allah au
 
The universe has been expanding ever since the Big Bang.
Astronomers just confirmed the existence of "Dark Energy", a mysterious repulsive force that acts in opposite to gravity. As the distance increases, the attractive gravitational force decreases but this mysterious repulsive force increases. This repulsive force is pushing galaxies apart; the greater the distance the greater the repulsion. Scientists today do not know what this "Dark Energy" is, but they know that it is causing the entire universe to expand at an increasing rate.

[Quran 51.47] And the heaven, We built it with craftsmanship and We are still expanding.

Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua.

The Quran told us about this expansion 1400 years before it was discovered.

Do you remember how a rose opens up? That is, the outer petals move outwards more than the inner petals? Imagine that those petals have galaxies on them and that we are at the center of the rose. Now imagine this rose opening up; the farther out the petals are the faster their recession away from the center (where we are). Well this is exactly how the universe expands around us; the farther out galaxies are from us the faster their recession away from us.

[Quran 55.37] If the heaven ripped and it were a rose like paint...
Here God assures skeptics about Paradise: if the heaven ripped open like a rose then Paradise will as surely contain so and so... Today we know for sure that the universe is expanding around us like a rose.

Do you remember how an ambulance siren sounds like when it approaches you? And how it sounds like when it recedes from you? The sound pitch changes, right? Similarly when a light source approaches you or recedes from you its color changes. If it is approaching you the color shifts towards the blue, and if it is receding from you its color shifts towards the red; the faster it recedes the redder it appears. Today we know that galaxies are rushing away from us from redshifting of their light. The more distant galaxies are the more reddish their colors appear to us. When you apply paint the colors' intensity is not even but rather it changes with distance:



Similarly the more distant galaxies are the more reddish their colors appear to us, that is, there redness is a function of distance. This is because the farther galaxies are the faster they are receding from us (like a rose). The Quran describes it as: "Rose like paint", that is, it's color varies with distance...Learn More

(The Christian Bible says that the sky is "hard as a mirror of cast bronze" Job 37:18. So the Bible insists on a static universe. Actually Albert Einstein's famous blunder, the cosmological constant, was to explain the static universe. Although at that time no scientific evidence existed to support that claim, Einstein gave the Bible the benefit of the doubt and went for a static universe, non-expanding non-contracting. Later, when Edwin Hubble discovered the expansion of the universe, Einstein retracted this cosmological constant and called it the biggest blunder of his career. By trusting the Bible Einstein got it wrong by the order of 10120).
 
The universe was created from the cosmic singularity by a Big Bang.
The Christian Bible says that in the beginning God said "Let there be light" Genesis 1:3. However this turned out to be false. The universe was opaque to visible light (non-transparent) and photons couldn't travel at all. After the Big Bang the universe was primarily Hydrogen, Helium and a tiny bit of Lithium. However when a gas is too hot it becomes ionized (loses the electrons) and becomes opaque (like today's smoke). In the beginning the universe was opaque to visible light (non-transparent). After 380,000 years the universe cooled enough and it became transparent to visible light. For other wavelengths it was opaque for a billion years. So "Let there be light" turned out to be false. However the Quran correctly said that at the beginning it was SMOKE, that is, a hot non-transparent gas:

[Quran 41.11] Then He directed himself to the Heaven when it was SMOKE, and then said to it and to Earth: "Come willingly or by force" they said "We do come willingly"

11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.



1. H'a Mim
2. Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
3. Hichi ni Kitabu kilicho pambanuliwa Aya zake, cha kusomwa kwa Kiarabu kwa watu wanao jua.
4. Kitoacho khabari njema, na chenye kuonya. Lakini wengi katika wao wamepuuza; kwa hivyo hawasikii.
5. Na wakasema: Nyoyo zetu zimo katika vifuniko kwa hayo unayo tuitia, na masikio yetu yana uziwi, na baina yetu na wewe lipo pazia. Basi wewe tenda, nasi tunatenda.
6. Sema: Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa kwangu ya kwamba Mungu wenu ni Mungu Mmoja tu. Basi nyookeni sawa kumwendea Yeye, na mumtake msamaha, na ole wao wanao mshirikisha,
7. Ambao hawatoi Zaka na wanaikataa Akhera.
8. Hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.
9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.
10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza.
11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.
12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.
13. Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi,
 

Attachments

  • bigbang2.png
    7 KB · Views: 31
Katika lugha ya kiarabu jina lenye sifa ya kike,linandikwa kwa kuongeza herufi maalum mbele,tofauti na kiingereza na kiswahili.Nyuki aliyeandikwa kwa Jina la kiarabu ni nyuki jike,ukija kwenye kutafsiri katika lugha ambayo haipambanui majina yenye sifa ya kike na majina yenye sifa ya kiume,inabidi uweke mabano,kwenye kiswahili nyuki ni nyuki,akiwa wa kike akiwa wa kiume,mpaka useme nyuki jike,lakini katika kiarabu nyuki jike ana jina lake na nyuki nyuki Dume ana jina lake.
 
The universe was created in a Big Bang 13.7 billion years ago, is still expanding today, and billions of years from now it might recollapse by its own gravity with a Big Crunch (or continue expanding forever, Big Chill). The Quran says that on the first day of creation, God made the heavens and the Earth meshed together, tight and compact (Big Bang), continues to expand it into the universe we know today and at the last day God will recompress it into its original state (Big Crunch). About the first day (Big Bang), Allah says:

[Quran 21.30] Do not those who disbelieve see that the heavens and the Earth were meshed together then We ripped them apart? And then We made of water everything living? Would they still not believe?
In the Quran the Heavens expanded from a single point.

Cosmologists just confirmed the existence of "Dark Energy", a mysterious repulsive force that acts in opposite to gravity. As the distance increases, the attractive gravitational force decreases but this mysterious repulsive force increases. This repulsive force is pushing galaxies apart; the greater the distance the greater the repulsion. Scientists today do not know what this "Dark Energy" is, but they know that it is causing the entire universe to expand at an increasing rate.

[Quran 51.47] And the heaven, We built it with craftsmanship and We are still expanding.
How could an illiterate man who lived 1400 years ago have known about the expansion of the universe?

There are three possibilities to how the universe could end: Big Crunch (Quran), Big Chill and the Big Rip. NASA recently ruled out the third scenario (No Big Rip; see also: Universe Today). This leaves the universe with only two possible endings: Big Chill or Big Crunch, depending on what this Dark Energy turns out to be. Learn more: Expansion of Universe in Quran. In the Quran God promises to make the Big Crunch:

[Quran 21.104] On the day when We will fold the heaven, like the folder compacts the books, and as We originated the first creation We shall return it; a promise (binding on Us); surely We will deliver.
Here God promises to make this Big Crunch however not by gravity but rather by folding the Heavens like a book, that is, by the same mechanism He controls wormholes. This means that this Big Crunch can begin and end in a fraction of a second!

Also after this Big Crunch is over, God promises to recreate those heavens and Earth once more before Judgment Day:

[Quran 14.48] On the day when Earth will be swapped by another Earth and so will be the heavens; and all (creatures) will resurrect before the One Dominant God.[Quran 36.81] Is He not, who created the heavens and the Earth, capable of creating others like them? Yes, indeed! He is the All-Knowing Creator. His command, if He wanted a thing, is that He only says to it, "BE" and it becomes! So glorified is He in whose hands is the dominion of all things, and to Him you shall be returned.
 
Iron CHUMA KIMETOKEA SPACE


Iron has the strongest bound nucleus among all elements.
Up until the discovery of pulsars it was thought that no atomic nucleus can survive the gravitational forces at the core of collapsed stars. It was thought that the remnants of those collapsed cores consist of some electrons, some protons but predominantly neutrons (thus the name neutron stars). However the discovery of radio waves in pulsars means that neutron stars contain rotating iron cores! This means that the iron survived! Today we know that iron has the strongest bound nucleus among all elements.

[Quran 57.25] ... and We sent down Iron, in it great might...

25. Kwa hakika tuliwatuma Mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mwenye kushinda.


Iron and most of the elements on Earth came from outer space. Iron was known and used long before the Quran however it was not the best choice for weapons because it rusted and it easily bent. The miracle is that the Quran said "in it great might" at a time when they only knew that it rusted and bent. Today we know that iron has the strongest bound nucleus among all elements.

Stars start their lives as huge spheres of hydrogen gas. But the pressure at the center of the sphere should be much greater than the pressure at the surface, right? When the pressure at the center reaches a certain level, the hydrogen gas starts fusing together forming heavier helium gas (then all the elements up to iron). This fusion process releases energy. This released energy heats up the inner core and pushes the surrounding shell of gas outwards. But just like when you on Earth throw a ball upwards it has to fall back to you, the outer shell of the star has to fall back to the core. The only difference is that the fusion in the core of the star makes the core denser; that is the same core mass will slowly occupy smaller volume. A smaller core radius and same mass leads to stronger gravitational forces. If the same thing were happening to Earth's radius then every time the ball returns to you it would feel a little bit heavier. A time comes when the ball becomes so heavy that it breaks your arm. But this is what really happens in the core of stars. A time comes when the gravitational forces in the core become so strong that they fuse the electrons with the protons and turn them into neutrons. This breaks down all atoms!

The surrounding outer shell gets ejected in a spectacular explosion called supernova: When those protons in the inner core turn into neutrons, the resulting mass at the core would occupy a fraction of the previous volume, however this time it happens in a few seconds. This sudden collapse of the old inner core and above it the surrounding shell will be brought to an abrupt halt by the new neutron core. This abrupt halt will cause the material to "bounce", producing an outgoing supersonic shock wave, which blasts the outer shell surrounding the neutron core into outer space. This process releases so much energy that it fuses part of the expelled outer shell into all elements heavier than iron. This is what you can see in spectacular supernovae explosions. This is the stuff that you are made of.

Up until the discovery of Pulsars it was thought that no atomic nucleus can survive this gravitational collapse at the core. It was thought that the remnants of those collapsed cores consist of some electrons, some protons but predominantly neutrons (thus the name neutron stars). However the discovery of radio waves in pulsars means that neutron stars contain rotating iron cores! This means that the iron survived! Today we know that iron has the strongest bound nucleus among all elements.
 
Singularity


Carries God's name in Arabic.
All stars will eventually die. They will either directly collapse on themselves and become black holes, or their remnants will merge with other stars that will eventually become black holes, or if external mass falls into those remnants they will blow up and leave black holes... So black holes are the destiny of most stars. Actually our solar system formed out of debris of a star 100 times more massive than our sun that exploded and became a black hole.

At the center of black holes (collapsed stars) lies a location called the Singularity. An observer far away from a black hole sees the events near a back hole in slow motion. If he shines a beam of light into this black hole he will have to wait forever but still this beam of light will never reach the singularity. The singularity is a location in the future of stars where gravity goes so mad that space and time become indistinguishable. From general relativity we know that this is a location where the structure of spacetime becomes singular (hence the name singularity). However singular (Ahad in Arabic) is one of God's 99 names. In the Quran God swears by the locations of stars which turned out to carry His own name:

[Quran 56.75-77] I swear by the locations of stars, it is a great swear if you knew, it is a noble Quran...
Here God swears not by the stars themselves but rather by their locations (mawakeh in Arabic). Today we know that the future of those locations is singular, that is, they carry God's own name: "Ahad".

75. Basi naapa kwa maanguko ya nyota,
76. Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua!
77. Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu,

78. Katika Kitabu kilicho hifadhiwa.
79. Hapana akigusaye ila walio takaswa.
80. Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza?
82. Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha?
83. Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo,
84. Na nyinyi wakati huo mnatazama!
85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi.
86. Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu,
87. Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli?

(Christians insist on Trinity).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…