Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kitabu kisicho cha Qur'an,mwaka 1892,ndio kitabu cha kwanza mwaka huo kuandika kuhusu fingerprint .Kiliandikwa na Sir Fransis Galton,British Anthropologist .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili umeshindwa kujibu,utaweza makubwa,lete kitabu kilichoandika kuhusu fingerprint kabla Qur'anLete swali lingine, hilo peleka kwa maalim wako mwambie hicho alichokiqndika Muhammad kumbe kilikuwepo tangunkipindi cha nyuma?
Hili umeshindwa kujibu,utaweza makubwa,lete kitabu kilichoandika kuhusu fingerprint kabla Qur'an
Nakupa jina la kitabu kuandikwa baada ya Qur'an,sio kablaAcha hizo basi,
Angalia hiyo picha ina maelezo ya kichina hapo soma utoe ujinga
View attachment 461496
Nakupa jina la kitabu kuandikwa baada ya Qur'an,sio kabla
1892,Galton
Fingerprint
Macmillan,London
Ushahidi wa kitu kama kilikuwapo,miaka ambayo tulikuwa hatupo ni kitabu cha miaka hiyo,sio kama tunavyodanganywa,binadamu alianza kama nyani,ukiuliza mbona nyani bado wapo,hawakwisha wakawa binadamu nyani wote,hakuna jibu.Ndo unamaanisha nini? Kwa hiyo kama kitabu kimeandikwa 1892 ina maana hiyo practice ya fingerprint haikuwepo kabla ya Muhammad?
Kaka swali ni kuwa hiyo Technolojia ilikuwa haijulikani na haijawahi kutumika kabla ya Muhammad?
Ushahidi wa kitu kama kilikuwapo,miaka ambayo tulikuwa hatupo ni kitabu cha miaka hiyo,sio kama tunavyodanganywa,binadamu alianza kama nyani,uliuliza mbona nyani bado wapo,hawabakwisha wakawa binadamu,hakuna jibu.
Katika kutahiriwa,Qur'an imetaja hii ilianza toka wakati wa Ibrahim,waislamu Ibrahim ndio mafunzo mengi yamepitia kwake,na ndio katika uislamu anahesabika ni Nabii Ibrahim,yaani ni Nabii miongoni mwa Manabii wa kiislamu.Kaka ushahidi si nimekuwekea picha hapo?
Angali hii picha hapa chini, hao ni Wamisri wanatairiwa, japokuwa hakuna maandishi, lakini kwa hiyo picha waliyoichora wakifanya tohara, tunajiridhisha kabisa kuwa kuna utamaduni wa kupeana tohara kwa wanaume
Hivyo hivyo hizo picha na maelezo yake yanaonyesha kabisa kuwa Wachina na WaBabiloni walitumia finger print
View attachment 461500
Katika kutahiriwa,Qur'an imetaja hii ilianza toka wakati wa Ibrahim,waislamu Ibrahim ndio mafunzo mengi yamepitia kwako,na ndio katika uislamu anahesabika ni Nabii Ibrahim,yaani ni Nabii miongoni mwa Manabii wa kiislamu.
Zilizopita zimekushinda,utaweza kubwa,Chukuwa ya OrbitsLete
Lete hoja nyingine
Zilizopita zimekushinda,utaweza kubwa,Chukuwa ya Orbits
Qur'an 21:33
" (God is) the one who created the night,the day,the sun and moon.Each one is travelling in an orbit with its own motion."
Zilizopita zimekushinda,utaweza kubwa,Chukuwa ya Orbits
Qur'an 21:33
" (God is) the one who created the night,the day,the sun and moon.Each one is travelling in an orbit with its own motion."
Elewa Mtume Muhammad,hakujuwa kusoma wala kuandika,kwa hiyo si rahisi mtu ambaye hajapitia kusoma na kuandika,ukiueezea kitu cha kisomi akiweke kichwani,halafu aje akiseme kwa watu kama ulivyomuelezea.Huo ni ushahidi tosha kama Qur'an imetoka kwa Muumbaji wa Dunia na vilivyomo,na ndiye huo Muimbaji akimuelezea Mtume Muhammad kuhusu hivyo alivyoviumba.Na Allah kumchaguwa Mtume Muhammad kuwa mtume,mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika,ni ili watu kama wewe,wasije wakasema amesoma Muhammad ndio akayajuwa yote haya.Zip
Zipi zilizonishinda?, ok ngoja tuzame kwenye issue ya orbit sasa
Elewa Mtume Muhammad,hakujuwa kusoma wala kuandika,kwa hiyo si rahisi mtu ambaye hajapitia kusoma na kuandika,ukiueezea kitu cha kisomi akiweke kichwani,halafu aje akiseme kwa watu kama ulivyomuelezea.Huo ni ushahidi tosha kama Qur'an imetoka kwa Muumbaji wa Dunia na vilivyomo,na ndiye huo Muimbaji akimuelezea Mtume Muhammad kuhusu hivyo alivyoviumba.Na Allah kumchaguwa Mtume Muhammad kuwa mtume,mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika,ni ili watu kama wewe,wasije wakasema amesoma Muhammad ndio akayajuwa yote haya.
Nafikiri wewe hujanielewa,unapoleta hoja,taja kitabu,tujuwe hicho kitabu kimeandikwa mwaka gani.Mtu anaposema hii ni ya miaka 4000 iliyopita,bila hicho kitabu kukijuwa ni kipi,Nani mwandishi,mwaka gani kaandika.Kaka hii issue imeelezwa sana, yaani naona mpaka shida kuweka humu, nakuomba nenda kagoogle
Ancient Chinese Astronony, ancient Indian Astronomy, Ancient Egyptian Astronomy, na hata Ancient Arabian Astronomy (before Islam) utaona na kujifunza mengi
Hizo ni baadhi ya picha zenye zaidi ya miaka 4000 zikionyesha jinsi Dunia inavyozunguka jua na vipi tunapata usiku na mchana
View attachment 461537
View attachment 461540
Blackholes nini? tuanzie hapo kwa ufupiasante kwa hii ilmu adhimu.niambie kitu kuhusu black holes na singularity,mtume aliyaongeleaje haya? natanguliza shukran
Kwanza hakuandika Quran acha kuzusha vitu ujui fanya research yako acha kukurupuka hakua mtunzi! yeye ni mjumbe wa mwezi Mungu yeye alikua anteremshewa Quran kutoka kwa roho mtakatifu yani Malaika jibriel, na kazi kubwa ya malaika huyu ilikua kuwapelekea ujumbe kutoka kwa mungu kwa mitume yeye ndo alienda kwa mariam kumuambia kua uta pata mtoto, yeye pia alienda kwa lut, Jibriel alikua ana msome kisha anaifadhi kifuani mwake yani moyoni mwake alafu akija kuwasomea watu na watu ndo walikua wanaiandika ila sio yeye.Kwanza sikubaliani na wewe kuwa Muhammad mfanyabiashara mkubwa na Mtunzi wa Mshairi kuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika
Pili kama ninavyokueleza haya mambo aliyoyaandika Muhammad yalikuwepo miaka na miaka kabla hata hajazaliwa, hivyo aliyasikia na mengine aliyasoma
Qur'an imeandika Qur'an 7:158 kwamba Muhammad hajui kusoma wala kuandika.Kwanza sikubaliani na wewe kuwa Muhammad mfanyabiashara mkubwa na Mtunzi wa Mshairi kuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika
Pili kama ninavyokueleza haya mambo aliyoyaandika Muhammad yalikuwepo miaka na miaka kabla hata hajazaliwa, hivyo aliyasikia na mengine aliyasoma
Kwanza hakuandika Quran acha kuzusha vitu ujui fanya research yako acha kukurupuka hakua mtunzi! yeye ni mjumbe wa mwezi Mungu yeye alikua anteremshewa Quran kutoka kwa roho mtakatifu yani Malaika jibriel, na kazi kubwa ya malaika huyu ilikua kuwapelekea ujumbe kutoka kwa mungu kwa mitume yeye ndo alienda kwa mariam kumuambia kua uta pata mtoto, yeye pia alienda kwa lut, Jibriel alikua ana msome kisha anaifadhi kifuani mwake yani moyoni mwake alafu akija kuwasomea watu na watu ndo walikua wanaiandika ila sio yeye.
Qur'an imeandika Qur'an 7:158 kwamba Muhammad hajui kusoma wala kuandika.