Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kitabu kisicho cha Qur'an,mwaka 1892,ndio kitabu cha kwanza mwaka huo kuandika kuhusu fingerprint .Kiliandikwa na Sir Fransis Galton,British Anthropologist .
 
Lete swali lingine, hilo peleka kwa maalim wako mwambie hicho alichokiqndika Muhammad kumbe kilikuwepo tangunkipindi cha nyuma?
Hili umeshindwa kujibu,utaweza makubwa,lete kitabu kilichoandika kuhusu fingerprint kabla Qur'an
 
Hili umeshindwa kujibu,utaweza makubwa,lete kitabu kilichoandika kuhusu fingerprint kabla Qur'an

Acha hizo basi,
Angalia hiyo picha ina maelezo ya kichina hapo soma utoe ujinga

image.jpg
 
Nakupa jina la kitabu kuandikwa baada ya Qur'an,sio kabla
1892,Galton
Fingerprint
Macmillan,London

Ndo unamaanisha nini? Kwa hiyo kama kitabu kimeandikwa 1892 ina maana hiyo practice ya fingerprint haikuwepo kabla ya Muhammad?

Kaka swali ni kuwa hiyo Technolojia ilikuwa haijulikani na haijawahi kutumika kabla ya Muhammad?
 
Ushahidi wa kitu kama kilikuwapo,miaka ambayo tulikuwa hatupo ni kitabu cha miaka hiyo,sio kama tunavyodanganywa,binadamu alianza kama nyani,ukiuliza mbona nyani bado wapo,hawakwisha wakawa binadamu nyani wote,hakuna jibu.
Jana nyani Mzee kuliko wote duniani kafariki,hakugeuka kuwa binadamu miaka yote hayo.
 
Ushahidi wa kitu kama kilikuwapo,miaka ambayo tulikuwa hatupo ni kitabu cha miaka hiyo,sio kama tunavyodanganywa,binadamu alianza kama nyani,uliuliza mbona nyani bado wapo,hawabakwisha wakawa binadamu,hakuna jibu.

Kaka ushahidi si nimekuwekea picha hapo?

Angali hii picha hapa chini, hao ni Wamisri wanatairiwa, japokuwa hakuna maandishi, lakini kwa hiyo picha waliyoichora wakifanya tohara, tunajiridhisha kabisa kuwa kuna utamaduni wa kupeana tohara kwa wanaume
Hivyo hivyo hizo picha na maelezo yake yanaonyesha kabisa kuwa Wachina na WaBabiloni walitumia finger print

View attachment 461500
Katika kutahiriwa,Qur'an imetaja hii ilianza toka wakati wa Ibrahim,waislamu Ibrahim ndio mafunzo mengi yamepitia kwake,na ndio katika uislamu anahesabika ni Nabii Ibrahim,yaani ni Nabii miongoni mwa Manabii wa kiislamu.
 
Lete
Katika kutahiriwa,Qur'an imetaja hii ilianza toka wakati wa Ibrahim,waislamu Ibrahim ndio mafunzo mengi yamepitia kwako,na ndio katika uislamu anahesabika ni Nabii Ibrahim,yaani ni Nabii miongoni mwa Manabii wa kiislamu.

Lete hoja nyingine
 
Zip
Zilizopita zimekushinda,utaweza kubwa,Chukuwa ya Orbits
Qur'an 21:33
" (God is) the one who created the night,the day,the sun and moon.Each one is travelling in an orbit with its own motion."

Zipi zilizonishinda?, ok ngoja tuzame kwenye issue ya orbit sasa
 
Zilizopita zimekushinda,utaweza kubwa,Chukuwa ya Orbits
Qur'an 21:33
" (God is) the one who created the night,the day,the sun and moon.Each one is travelling in an orbit with its own motion."

Kaka hii issue imeelezwa sana, yaani naona mpaka shida kuweka humu, nakuomba nenda kagoogle
Ancient Chinese Astronony, ancient Indian Astronomy, Ancient Egyptian Astronomy, na hata Ancient Arabian Astronomy (before Islam) utaona na kujifunza mengi

Hizo ni baadhi ya picha zenye zaidi ya miaka 4000 zikionyesha jinsi Dunia inavyozunguka jua na vipi tunapata usiku na mchana
image.jpg

image.jpg
 
Zip

Zipi zilizonishinda?, ok ngoja tuzame kwenye issue ya orbit sasa
Elewa Mtume Muhammad,hakujuwa kusoma wala kuandika,kwa hiyo si rahisi mtu ambaye hajapitia kusoma na kuandika,ukiueezea kitu cha kisomi akiweke kichwani,halafu aje akiseme kwa watu kama ulivyomuelezea.Huo ni ushahidi tosha kama Qur'an imetoka kwa Muumbaji wa Dunia na vilivyomo,na ndiye huo Muimbaji akimuelezea Mtume Muhammad kuhusu hivyo alivyoviumba.Na Allah kumchaguwa Mtume Muhammad kuwa mtume,mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika,ni ili watu kama wewe,wasije wakasema amesoma Muhammad ndio akayajuwa yote haya.
 
Kwanza sikubaliani na wewe kuwa Muhammad mfanyabiashara mkubwa na Mtunzi wa Mshairi kuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika

Pili kama ninavyokueleza haya mambo aliyoyaandika Muhammad yalikuwepo miaka na miaka kabla hata hajazaliwa, hivyo aliyasikia na mengine aliyasoma
 
Kaka hii issue imeelezwa sana, yaani naona mpaka shida kuweka humu, nakuomba nenda kagoogle
Ancient Chinese Astronony, ancient Indian Astronomy, Ancient Egyptian Astronomy, na hata Ancient Arabian Astronomy (before Islam) utaona na kujifunza mengi

Hizo ni baadhi ya picha zenye zaidi ya miaka 4000 zikionyesha jinsi Dunia inavyozunguka jua na vipi tunapata usiku na mchana
View attachment 461537

View attachment 461540
Nafikiri wewe hujanielewa,unapoleta hoja,taja kitabu,tujuwe hicho kitabu kimeandikwa mwaka gani.Mtu anaposema hii ni ya miaka 4000 iliyopita,bila hicho kitabu kukijuwa ni kipi,Nani mwandishi,mwaka gani kaandika.
 
asante kwa hii ilmu adhimu.niambie kitu kuhusu black holes na singularity,mtume aliyaongeleaje haya? natanguliza shukran
Blackholes nini? tuanzie hapo kwa ufupi

wana science wamegundua tabia za blackhole ni hizi hapo. ambazo kwenye Quran nazo zimetajwa.
81 - SURAH AT TAKWIR
AYA
15. Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,
(1)They are running stars.(that what science says)
16. Zinazo kwenda, kisha zikajificha,
(2)They are veiled or receded. (science says they were stars that receded or veiled as light can't escape their gravitation)
Sote tuna fahamu kua mwanga una speed hatari ila mwanga na speed yake yote hauwezi kukatiza kwenye black hole mwanga unavutwa hauwezi ku escape blackhole pamoja na kasi yake.

(3)They are sweeping stars .(They suck or sweep any matter and that what science says about these stars)
Black hole zina tabia ya kusomba kila kitu mbele yake au pembeni yake hata nyota kubwa zina mezwa mfano: blackhole kubwa zaidi yani supermassive black holes zina patikana center ya kila galaxy zipo asa pata picha jua lilvyo kubwa lina vyonzwa mpaka kuisha kwenye kitundu kidogo.

17. Na kwa usiku unapo pungua,
18. Na kwa asubuhi inapo pambazuka,
19. Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu,

OKAY:
Nyota unaifahamu kwambali inaoneka ndogo vinawaka waka kama tumawe vile ehe?
ila nyota ni jua kama hili jua letu sema jua liko karibu na dunia au kwenye mfumo wetu wajua, ndo maana linaonekana kubwa na kuna nyota/jua kubwa mara ma milllion zaidi ya jua letu/nyota yetu,

Yani ukichukua jua letu na jua la jua kwenye galaxy nyingine, la kwetu lina mwezwa mara millioni na ushee Mungu ndo anajua zaidi.

Asa jua/nyota ina umri wake wakuishi yani litawaka mpaka itafika muda wake litakufaa, hakuna kilichokua na mwanzo kika kosa mwisho hata nyota inakufa.

Quran 28:88
Wala usimwombe pamoja na Mwenyezi Mungu mungu mwenginewe. Hapana mungu ila Yeye. Kila kitu kitaangamia isipo kuwa Yeye. Hukumu iko kwake, na kwake mtarejezwa.

yani nishati yake itaisha kabisa nakuanza kujitafuna na mpaka kufa kabisa hi ina chukua muda mrefu saana miaka ma millioni na ma millioni ila ku muda huo mrefu itafika mwisho itakufa umeona hekima ya Mungu hapo kila kitu must come to an end. kwahio nyota inapokufa kutokana kwa kujitafuna enyewe baada yakuishiwa nyishati ya kuifanya iwe hai inafanya mlipuko mkubwa saana a.k.a SUPERNOVA.

the death of stars because of the exhaustion of its fuel " When the stars are extinguished "
(Qur'an, 77:8).
8. Wakati nyota zitakapo futwa,

among the endpoints of stars is the black hole ndo inazaliwa hapo blackhole.
HOPE NIMEKUELEWESHA. hi backhole ni pana saana hapo kwa ufupi nimejitaidi kuifupisha.
 
Attachments

  • bhstar_chandra.jpg
    bhstar_chandra.jpg
    12.9 KB · Views: 31
Kwanza sikubaliani na wewe kuwa Muhammad mfanyabiashara mkubwa na Mtunzi wa Mshairi kuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika

Pili kama ninavyokueleza haya mambo aliyoyaandika Muhammad yalikuwepo miaka na miaka kabla hata hajazaliwa, hivyo aliyasikia na mengine aliyasoma
Kwanza hakuandika Quran acha kuzusha vitu ujui fanya research yako acha kukurupuka hakua mtunzi! yeye ni mjumbe wa mwezi Mungu yeye alikua anteremshewa Quran kutoka kwa roho mtakatifu yani Malaika jibriel, na kazi kubwa ya malaika huyu ilikua kuwapelekea ujumbe kutoka kwa mungu kwa mitume yeye ndo alienda kwa mariam kumuambia kua uta pata mtoto, yeye pia alienda kwa lut, Jibriel alikua ana msome kisha anaifadhi kifuani mwake yani moyoni mwake alafu akija kuwasomea watu na watu ndo walikua wanaiandika ila sio yeye.
 
Qur'an imeandika Qur'an 7:158 kwamba Muhammad hajui kusoma wala kuandika.
 
Kwanza hakuandika Quran acha kuzusha vitu ujui fanya research yako acha kukurupuka hakua mtunzi! yeye ni mjumbe wa mwezi Mungu yeye alikua anteremshewa Quran kutoka kwa roho mtakatifu yani Malaika jibriel, na kazi kubwa ya malaika huyu ilikua kuwapelekea ujumbe kutoka kwa mungu kwa mitume yeye ndo alienda kwa mariam kumuambia kua uta pata mtoto, yeye pia alienda kwa lut, Jibriel alikua ana msome kisha anaifadhi kifuani mwake yani moyoni mwake alafu akija kuwasomea watu na watu ndo walikua wanaiandika ila sio yeye.

Kama aliweza kuweka kifuani hayo, alishindwaje kuweka kifuani hizo elimu za kale za Kiyunani, Kigiriki, Kichina na Kihindi?

Muhammad alikuwa anajua kusoma na kuandika, na alikuwa mtunzi na msomaji mzuri wa mashairi
 
Back
Top Bottom