Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Umeshindwa kujibu hoja ulizoletewa za kisayansi ndani ya Qur'an,unaruka ruka.Jibu hizo aya za kisayansi,ni kitabu gani kilitaja hiyo sayansi kabla ya Qur'an
 
Hivi science mnayoiongelea kwenye quran kwamba ndiyo inatumika leo ndio hii anajibu Muhammad alipoulizwa swali na mmoja wa wajanja kwa kiyahudi kuhusu mtoto anapatikanaje ili kumpima kama kweli yeye ni mtume?
Na Muhammad anamjibu kuwa mtoto anatengenezwa baada ya kukutana kwa manii nyeupe za kiume na za njao za kike. na ikiwa hizo za njano(za kike) zikizidi za nyeupe(kiume) anazaliwa mtoto wa kike na kinyume chake ni wakiume anazaliwa.
 
Acha uongo.
Nani ameprove Bible ina makosa?
KISODA UNA ZEEKA VIBAYA, wewe ndo nakurekebisha kama ulikua ujui.

Usimfananishe Yesu na Muhammad wala binadamu yeyote yule unayemjua wewe. wewe ndo usi mfananishe Muhammad na yesu na wala mtu yoyote kila mtume na watu wake na kwa wakati wake.

Yesu kazalia na BIKIRA, Muhammad no. ina maana yesu hana baba na Adam binadamu wa kwanza kumbwa kaumbwa yeye kama yeye hakua na baba na mama uoni miracle hio sembuse yesu kazaliwa na bikira. na kama ulikua una kubali binadamu wa kwanza Adam hakua na baba asa ana tofauti gani na yesu kama wote si ni kwa Mungu.hio ni miujiza Mungu hana mwana,baba,wala mshirika hapo ndo mnapokesea saana mnapo kufuru na yesu mwenyewe hakirudi atawaruka na kuwakana kabisa.

Yesu ni NENO la MUNGU, Muhammad no. wote kwa tarifa yako ni mitume wale na walikua awatamki chochote isipokua wakielekezwa clear instructions kutoka kwa Muugu kwahio wote neno la Mungu sio yesu tuh na Muhammad kwanzia mitume yote kwa tarifa yako.

Yesu ni ROHO wa MUNGU, Muhammad no. Hakuna kitu kama hicho.

Yesu hakufanya DHAMBI, Muhammad alifanya sanaa,( quran yake mwenye inasema tumekusamehe zambi zako ulifanya na utakazofanya baadae)

Hayo yote hapo juu quran ya Muhammad inathibitisha. kwa tarifa yako kama sie binadamu tusinge kua tuna tenda dhambi kabisa basi Mungu ange wipe existence yetu yote na kuleta viumbe vingine ili vitende dhambi na ili vitubu na wa samehe. Mungu anapenda watu wanao tenda dhambi na kutubu. yesu mwenywe katenda dhambi ndo maana alikua anaomba au ana sali tena aki nyeyekea hakiomba.
Ebwana sikuwezi nime choka kubishana na wewe . wewe ni nouma sikuwezi endelea hivyo hivyo.
 
Wewe utaimiza kichwa bure kuhusu Mtume Muhammad,huyo ni level nyingine.Kuja kwa mtume Muhammad na Science ndani ya Qur'an ni jambo lialowashangaza wana sayansi wengi sana duniani.
Yesu aliomba kwa Mungu
Eloi Eloi Lamasabakhtani
Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?
Alikuwa na dhambi zipi mpaka akaachwa na Mungu wake,na alimlilia,na akaomba tena kikombe cha umauti kimuepuke lakini hakikumuepuka.Hatuko hapa kumkashifu Yesu,dini ya kiislamu inamheshimu Yesu.Na huwezi kuwa muislamu kamili bila kumuamini Yesu kama ni Nabii wa Mungu.Usitutoe kwenye mada.
Ni wapi imetaja katika kitabu, hizo sayansi ulizotumiwa kwenye Uzi huu,kabla Qur'an kutaja.
 
Madaktari wanaokuja ni waarabu,waislamu kutoka Saudis,hakuna Mhindi hata mmoja.
Wanakuja hospitali gani?
mbona sijawahi sikia mgonjwa wa moyo amepelekwa Saudia kutibiwa toka TZ. zaidi ya wale wanaokwenda kumpiga shetani kwa jiwe kana kwamba shetani yeye chizi akae miaka yote hapo anasubiri kupigwa mawe na mkwere kutoka rufiji. shetani alianza kupigwa mawe akiwa kama kiguzo chembamba, mara hii amenenepa/amevimba amekuwa sawa na gate la kuingia uwanja wa taifa? ili ukitupa jiwe usimkose.
hii ndiyo science yenyewe kwenye quran?
 
Toa aya ndani ya Qur'an iliyoandika hivyo,mnashindwa kujibu,aya mlizotumiwa za kisayansi zenye aya ndani ya Qur'an na ushahidi wa modern science.Maruka ruka bila ushahidi.
 
Wewe kama huna mawasiliano na vyombo vya habari pumzika.Walishakuja May 1915 na wanakuja tena mwezi huu,watakuwa Muhimbili hospital
 
Sasa hap[a unabishana na mimi au Muhammad na quran yake?
 
Toa aya ndani ya Qur'an iliyoandika hivyo,mnashindwa kujibu,aya mlizotumiwa za kisayansi zenye aya ndani ya Qur'an na ushahidi wa modern science.Maruka ruka bila ushahidi.
unataka Aya ya nini wakati hiyo quran imekuja kila kitu kinafanyika?
unaambiwa huyo kafanya C&P hamtaki.
vitu vyote vilivyofanyika kabla ya kuja mzee wa C&P ni science tosha. sasa ili akuaminishe kuwa anachokisema ni kweli akakuandikia kwenye hiyo quran yake kwmba quran imekuja na science.

nimuliza PIRAMIDI zilijendwa wakati wa Muhammad au kabla yake, huna jibu.
 
Piramidi itakusaidia nini wewe,zaidi ya kuwasaidia wa misri kwa kuja watalii na wao kupata ajira.
 
Bado unazidi kutoa ushahidi kama Muhammad kichwa,ndiye mwanzilishi wa utalii duniani.Watu wanakenda Maka,kila mwaka.wazungu nao wakaiga utalii,na nchi mbalimbali duniani.
 
Nyinyi mna muamini Isa Ibn Mariam dadake na Haruni. Siyo Yesu (Al-Masih)
 
Piramidi itakusaidia nini wewe,zaidi ya kuwasaidia wa misri kwa kuja watalii na wao kupata ajira.
tunaongea uwepo wa science au faida ya kilichotengenzwa kutokana na science? maana naweza kuwa naongea kwa kiyunani na wewe kwa classic Arabic.
 
Bado unazidi kutoa ushahidi kama Muhammad kichwa,ndiye mwanzilishi wa utalii duniani.Watu wanakenda Maka,kila mwaka.wazungu nao wakaiga utalii,na nchi mbalimbali duniani.

He!! imegeuka utalii na si ibada tena?
 
Sasa kama unakubali mshikaji wako Muhammad ni mzambi na alifanya zambi sasa unamini vipi kwamba ayasemayo ni kweli na siyo anajitungia tu kuhalalisha tamaa zake?
Hii inaweza kuwa ngumu kuijibu nikaelewa mpaka nijue kiarab.


  • O People of the Book! Commit no excesses in your religion: nor say of God aught but the truth. Christ Jesus the son of Mary was (no more than) an apostle of God, and His Word, which he bestowed on Mary, and a Spirit proceeding from him: so believe in God and His apostles. Say not "Trinity": desist: it will be better for you: for God is One God: Glory be to Him: (Far exalted is He) above having a son. To him belong all things in the heavens and on earth. And enough is God as a Disposer of affairs. Surah 4.171

  • Innamaal-Masiihu Iisaabnu Maryama rasuulullaahi wa kalimatuhuu al-qaahaa ilaa Maryama wa ruuhum-minhu.

  • Hi inamtaja nani?

 
Watu wengine ama kweli Kanisani hakuna kitu.
Yesu ni MTU kama Mimi na wewe.Iweje Leo aitwe Mungu.
Acheni kufuru hizo.
Mungu ana Miguu miwili?
Nauliza?
 

Kwanza utueleze hayo maneno unayasoma gani na je unakiamini?

Muhammad kweli ni level nyingine. Maana ameweza kuwakaririsha ukilaza wake mpaka leo mnauamini. na hamtaki kufikiria nje ya box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…