Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Rafiki yangu unabishana bure.Huku kutokukubalika mtu na watu wa kwao ni utata mkubwa.Haizekani miaka yote aliookuwa nao Hawa watu wa kabila lake,wasimuelewe na wasimguate,uje umuelewe wewe uliyeletewa dini na mzungu
Kwanza lazima ujuwe hapo,wazungu kuchukuwa ukristo na kuutangaza wao,badala ya waisrael au watu wa mashariki ya kati,kwa sheria za kimataifa,hapo kuna kitu kinaitwa haki miliki.Kama ingekuwa waisrael wanamtambuwa,wangeshtaki kwenye vyombo vya kimataifa,walipwe fidia.
 
Wewe ni robot ? Nimekwambia Biblia ni Maktaba. Fuata ile iliyo na kitabu unachokihitaji
Kwa akili yako pungufu unafikiri kila mtu anahangaishwa na vitabu vya Biblia kama wewe ?
Muhimu kwetu wengine ni Agano jipya ambalo kila biblia inavyo vitabu vyake.
Kafir wewe najua huwa huelewi lakini kupitia wewe kuna watu wanajifunza jambo
 
Taarifa na maandishi ya kiislam yamejaa tele luonyesha uislam wa awali ulivyoenezwa. Sio huu wa kuzaliana kama sungura kafir wewe
Hatuzungimzi ule wa wqkamata wqtumwa kusilimisha misukule yetu
Ule wa Muhammad na waliomfuatia
Utakuwa mjinga ukikarishwa hivyo,kama ni vita,hata ukristo ulipigana vita vya msalaba Au hujui kama kulipiganwa vita vya msalaba?Wacha vita vya kidini vilivyopiganwa kwa miaka 30,ulaya nzima.
 
Biblia viko vutabu tofauti tofauti sana,huko kuwa na agano jipya na LA kale pia ni utata mkubwa.Chukuwa hatua,funguka akili.
 
Utakuwa mjinga ukikarishwa hivyo,kama ni vita,hata ukristo ulipigana vita vya msalaba Au hujui kama kulipiganwa vita vya msalaba?Wacha vita vya kidini vilivyopiganwa kwa miaka 30,ulaya nzima.
Nini chanzo cha vita vya Msalaba. Historia iko wazi kabisa. Vipi jemadari wa Kiislam aliyeishia Spain aliitwa nani vile ,,,?
Aliyepanga harakati za kwenda kusilimisha Ulaya.
Acha uzwazwa muhammad alieneza dini yak kwa jambia
Kafir mkubwa wewe
 
Biblia viko vutabu tofauti tofauti sana,huko kuwa na agano jipya na LA kale pia ni utata mkubwa.Chukuwa hatua,funguka akili.
Ha ha ha hii kazi ya kumfundisha mbwa kupiga mswaki imeanishinda. Unakataa agano jipya na la kale kuwpo lakini unakubali toleo jipya la Allah aliyetokana na Allah moon god
 
Ha ha ha hii kazi ya kumfundisha mbwa kupiga mswaki imeanishinda. Unakataa agano jipya na la kale kuwpo lakini unakubali toleo jipya la Allah aliyetokana na Allah moon god
Kwa mfano mimi nimeingia ukristo na nimekuta kuna Biblia
1.King James
2.New international
3.New living Bible
4.New American Bible
5.New Jerusalem Bible
Na zote zina utofauti mkubwa mfano
King James:Job 36:33
"The noise thereof .....concerning the cattle also concerning the vapor."
New international job 36:33
"His thunder announces the coming storm;even the cattle make known its approach."

Maneno tofauti kabisa.
Utanishauri nifuate biblia ipi?
Dini moja vitabu tofauti vya dini hiyo.
 
Nini chanzo cha vita vya Msalaba. Historia iko wazi kabisa. Vipi jemadari wa Kiislam aliyeishia Spain aliitwa nani vile ,,,?
Aliyepanga harakati za kwenda kusilimisha Ulaya.
Acha uzwazwa muhammad alieneza dini yak kwa jambia
Kafir mkubwa wewe
Hivyo mnavyokaririshwa ujinga wa kuwa uislamu ulienea kwa upanga,ndio mnazidi kuupa uislamu nguvu.Maana litakuja swali iweje mtu mmoja,Muhammad,aliweza kuwashinda mabilioni ya watu duniani kivita?Alikuwa na nguvu ya aina gani?Kwa hiyo itakuwa alikuws na nguvu ya Mungu.Na pia walishindwa kumkemea ka Jina LA Yesu,akashindwa na kulegea?
 
Kazi ya kumfundisha mbwa kupiga mswaki. Ukipata shida kuhusu maneno tofauti wenye akili wanarudi kwenye bible commentaries au concordance na kuangalia maneno ya Asili yalimaanisha nini ... Kwa MTU mwelewa anajua aina ulizotaja ni tafsiri ni sawa na moja ikawa imetafsiriwa kwa kiswahili cha Kenya na nyingine kiswahili cha Tz bara na nyongin kiswahili cha unguja ukiwa poyoyo kama wewe utasema tofauti lakini waelewa watajua tofauti ni lahaja au lafudhi na matumizi ya maneno
Kafir wewe hufundiahiki
 
Hapo sio tafsiri,hapo pameandikwa mambo tofauti kabisa.Hata protestant ana biblia Yake na katoliki ana yake.
 
Hebu angaliya waislamu duniani kote,ukifika wakati wa hija wote wanakwenda hija Maka,na wakati mmoja,na matendo yote yanayohusiana na hija yanafanana.
Angalia ukristo,wapo wanaokwenda Vatican,wako wanaokwenda Jerusalem,wako wanaokwenda America,wako wanaokwenda Ungereza na ni madhehebu tofauti na vitendo vya ibada tofauti.
 
Hufundishili kafir muabudu Mungu Allah Mkuu wa miungu ya Makuraish
Umeishiwa hoja,acheni Tabia ya kuletwa Uzi kuhusu uislamu halafu,mnaleta maneno ya ovyo.Mkibanwa sana,mwaanza kutukana.
 
Matendo yote kuanzia hijja na hata mtendayo Mkiwa hijja kamq vile kubusu jiwe jeusi,kuzunguka uchi Alkaaba Mara saba. Kumpopoa mawe shetani na hata kupiga maogoti ndani ya Alakaaba na Alkaaba yenyewe mmeyachukuwa toka kwa wale Mliowapora Allah moon god wao Mkuu wa Miungu ya Alkaaba.
Kwa akili yako pungufu unafanya pasipo kujiuliza Asili yake
Kafir mkubwa wewe
Hata aibu huna

Toauti za kimtazamo bain ya madhehebu ya Kikrsto ni taarifa kiwa unaruhusiwa kuhoji na kutoa sababu .
Kuwa kitu kimoja kunatokana na kukarirshwa pasip kuhoji chochote alichosema mtoto wa AbdiAllah
Kama misukule vile
 
Afadhali ubgeficha ujinga,hayo yote uliyoandika ni uongo mwingi,hija inaonyeshwa live dunia nzima,watu wanaona kwenye TV,
1.Waislamu wamevaa Nguo
2.Ikiwa waislamu wanabusu jiwe jieusi,ni kuonyesha uislamu sio dini ya ubaguzi wa rangi,mtu mweupe kubusu kitu cheusi
3.Hakuna kupiga magoti
Wacha kukaririshwa,ndio ujinga wa kukaririshwa.Ukikaririshwa utumie akili.Fungua TV,mlidanganywa zamani wakati hakuna TV,lakini dunia ya leo bado wadanganywa,dunia yenye technologia,kinachotokea Maka unaona live.Funguka akili uchukuwe hatua.
 
Ni mambo ya kushangaza kuna watu dunia ya Leo,
Iliyiendelea kitechnologia,bado anakaa kwenye vijiwe vya viroba ,na kidanganywa kama waislamu wanahiji uchi.Fungua TV,hija inarushwa live,huna TV ,nenda You tube,tafuta hija,utaona watu walivyovaa nguo,zimewapendeza.
Acha kudanganywa,dunia ya Leo ni ya technological.
 
Samahani mmekarabati kidogo badala ya kuzunguka uchi ninyi mnavaa shuka nyepesi.
Nikesema yalikuwa matendo ya wale walioporwa Allah Mkuu wa miungu. Na Alkaaba yao. Wewe unasema habari za TV kwani TV inaonyesha walivyokuwa wanafanya makuraish enzi hizo ?
Mmepora mila na teatibu za ibada za wafuasi wa Allah moon god Mkuu wa miungu ya Alkaaba na kuingizwa kwenye dini ya Allah mkqrabatiwa Islam

Ficha upoyoyo wako Kafir mkubwa wewe
Once a fake god always a fake god
Hence Allah is a fake god
 
Watangulizi wenu walizunguka wakiwa uchi wa myama ninyi mnakuwa katika uchi wa kiislam.
MTU akivaa mnavyovaa mkiwa mnazunguka Alkaaba mara saba aikiwa mtaani mtasema yiko uchi ila akiwa Makka kavaa
Makafir wakubwa
 
Hakuna shuka nyepesi,ni blanket nzito nyeupe ,imetengenezwa kama taulo,na ni nyeupe na wanawake wanavaa nguo zao kama kawaida na juu wanajifinika nguo nyeupe
1.Kwanza ushangae Mtume Muhammad,alijuwaje nguo nyeupe ana akisi mwanga(hainyonyi mwanga)kutokana na hali ya joto ya nchi za mashariki ya kati.
Tunarudi kule kule kwenye uzi huu,aliyajuwaje haya?Hii pia ni sayansi.Kwa nini asitumie nguo za rangi kali,kama nyeusi,amvazo zinanyonya mwanga,na kufanya mwili uwe na joto.
Usipate tabu google utafute picha za hija,uone wanavyovaa.Acha kukaririshwa na watu wa vijiwe vya viroba,hii sio dunia ya kidanganyana,ukiingia Google hata picha za zamani za hija utaona watu wamevaa nguo vizuri tu..Fikiria uchukuwe hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…