Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Rafiki yangu unabishana bure.Huku kutokukubalika mtu na watu wa kwao ni utata mkubwa.Haizekani miaka yote aliookuwa nao Hawa watu wa kabila lake,wasimuelewe na wasimguate,uje umuelewe wewe uliyeletewa dini na mzungu
Kwanza lazima ujuwe hapo,wazungu kuchukuwa ukristo na kuutangaza wao,badala ya waisrael au watu wa mashariki ya kati,kwa sheria za kimataifa,hapo kuna kitu kinaitwa haki miliki.Kama ingekuwa waisrael wanamtambuwa,wangeshtaki kwenye vyombo vya kimataifa,walipwe fidia.