Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Ndio nikakuambia huna maarifa,toka Yesu aje,mpaka kuja Mtume Muhammad miaka 4000 ilipita,miaka hiyo 4000,Mtume Muhammad hakuwepo na uislamu hakuwepo(kwa mujibu mnavyosema),ni Muhammad yupi aliyewazuia waarabu wasingie ukristo.Na Muhammad Yupi miaka hiyo yote 4000,anauwa watu na kuwatoa ukristo nchi za kiarabu.
 
Muhammad alichinja yoyote aliyemkataa kuwa mtume na wale walillokuwa wqnajua Allah ni Mungu wa kipagani aliwachinjilia mbali
Haluchagua wa kumchinja katika harakati za kueneza dini yake duniani
Kukaririshwa kubaya,washindwa hata kuuliza
1.Mtume Muhammad alikuja na uislamu,miaka 4000 baad ya Yesu,miaka 4000 kabla ya kuja Mtume Muhammad,kwa nini ukristo usienee nchi za kiarabu?
2.Kama ingekuwa ukrusto umeenea nchi za kiarabu,Huyu Mtume Muhammad,angweza kuwabadilisha mamilioni wa watu hawa?
 
Historia inaonyesha Mtume Muhammad,anatangaza uislamu,Yesu kaja miaka 4000 iliyopita,itakuwaje mtu aliyekuja kutangaza uislamu kwa miaka 23 tu,awashinde waliojikita katika dini yao miaka 4000?Ana nguvu za vipi awashinde watu waliojijenga kwenye dini yenye miaka 4000,ishindwe na dini yenye miaka 23.Muwe mkiambiwa kitu mnahoji,msikae kimya.
 
Ficha upoyoyo wako. Kabla ya Muhammad hata makka kulikuwa na Wakristo
Kama akili yako I gekuwa nzuri ungejua kuwepo kwa Wakristo na wayahudi ndani ya Quran ni kwa kuwa walikuwepo Makka na maeneo mengine ambayo Muhammad alikuwa ameyatembelea alipokuwa Marioo
Ni uzwazwa na kukosa ufahamu kwako kushindwa kujua kuwa Hata Makka kabla ya Muhammad kulikuwa na Wakristo wengi tu
Ficha upumbavu wako Kafir wewe
 

Yesu Na Mohammed wana tofauti ya miaka 1400 tu
 
Miaka 4000 sema miaka 600 basi Mkuu
 
Bado tu waandika miaka 4000 badili unakosea Mkuu
 
Toka Mtume Muhammad aje mpala leo ndio 1400 ,Mtume Muhammad amekuja,Yesu kisha kuja miaka,4000
I see no wonder unaamini kuwa Mungu Allah wa kipagani anakarabatiwa na kuwa Mwenyezi Mungu. Sasa 2017 AD
 
Tatitozo la nyinyi bahadhi ya waislamu sijui ni ukosefu wa elimu au logical reasoning! Badala kukaa katika hoja unatapatapa kuongelea pumzi, pua, macho kama kuku gonjwa! Sijui unamtisha nani? Hoja hapa ni kama Allah anapendelea, na kama anapendelea basi uungu wake na Quran ni wa mashaka!

Katika Quran yako ulituma Al-Anam(Livestock) 6:125 imesema " Those whom Allah wants to guide, He opens their chests to Islam; And those whom He wants to leave astray, He makes their chests constraints."

Sasa kama Allah ndiye anaye guide na kufungua vifua vya awatakao kwenda kwenye uislamu na kuwapoteza kwa kuwekea vikwazo wengine! Sasa hapo nani mwenye makosa kama Allah ndiye anaye fanya yote? Sisi ambao anatuendesha kama robots au yeye subhana wa tahallah?

Maneno hayo kwa kifupi ni ya Mungu hasiyejitambua wala kuelewa anachokiongea.. Mungu wa kweli hawezi ongea ujinga huo.
 
Tatizo lako ni uwelewa hafifu.Mfano mwepesi ninaokupa ikiwa darasani,Mwalimu anajitahidi kwa mwanafunzi,na huyo mwanafunzi haonyeshi ushirikiano,na yupo mwanafunzi anayeonyesha ushirikiano unafikiri Mwalimu atamfuatilia mwanafunzi anayefutilia masomo yake au atamfatilia mwanafunzi asiyefutilia masomo yake.
Hata kazini,unapoajiriwa,mwajiri anakupa miezi mitatu ya kuangalia jinsi unavyoipenda kazi yako,na kuifanya kwa ufanisi,ukionekana hujali kazi yako,mwajiri atakuachisha kazi.
Na uislamu ndivyo ulivyo,hakuna kubembelezana,hutaki kuwa muislamu,uislamu hauna kazi na wewe.
Sio kama wale wanaowahonga watu miyumba na chocolate ili waingie kwenye dini yao.
 
I see no wonder unaamini kuwa Mungu Allah wa kipagani anakarabatiwa na kuwa Mwenyezi Mungu. Sasa 2017 AD
Swali hujajibu,Yesu alizaliwa na kukulia nchini Israel,kwa nini dini aliyoitangaza,wafuasi ni 2.1%.Wacha kuineza katika nchi za mashariki ya kati.
Wakati,dini iliyopo Israel ni uyahudi,dini ambayo hamtambui kama alikuwapo.
 
Achana nae sio lazima, yeye kasoma saana yeye anaelemu saana, huyo jamaa ana hoja hatari dah anajua saana usibishane nae utaumbuka maana anajua saana, si unaona ana abudu picha na masanamu kanisani so umuwezi huyu jamaa nouma kweli. kifupi utaumiza kichwa kumuelewesha kwa sababu mind yake aijataka kuelewa.
 
Mpaka leo mwadanganywa kama uislamu ulienezwa kwa upanga.Iweje mtu mmoja anayeitwa Muhammad,awashinde mabilioni ya watu ulimwenguni,kwa kuwaingiza katika uislamu.Na mtu huyu amekuja miaka mingi imepita tangu Yesu aje.
 
Wee acha upohoyo wako. Mtume asiyetahiriwa ndiye aliyeanzisha kuhonga watu wajiunge na dinj yake
Huna ujuacho in karirishwa Tu
Kafir mkubwa
 
Ataelewa tu,wake wenzake,walikuwa wabishi na wameelewa.Na asipoelewa yeye wapo watakaoelewa kupitia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…