Tatizo lako ni uwelewa hafifu.Mfano mwepesi ninaokupa ikiwa darasani,Mwalimu anajitahidi kwa mwanafunzi,na huyo mwanafunzi haonyeshi ushirikiano,na yupo mwanafunzi anayeonyesha ushirikiano unafikiri Mwalimu atamfuatilia mwanafunzi anayefutilia masomo yake au atamfatilia mwanafunzi asiyefutilia masomo yake.
Hata kazini,unapoajiriwa,mwajiri anakupa miezi mitatu ya kuangalia jinsi unavyoipenda kazi yako,na kuifanya kwa ufanisi,ukionekana hujali kazi yako,mwajiri atakuachisha kazi.
Na uislamu ndivyo ulivyo,hakuna kubembelezana,hutaki kuwa muislamu,uislamu hauna kazi na wewe.
Sio kama wale wanaowahonga watu miyumba na chocolate ili waingie kwenye dini yao.