Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Itakuwa umeelewa,kidogo kidogo utaelewa.Hata sisi unaotuona ni waislamu,kabla ya kuwa waislamu,tulikuwa huko huko uliko wewe.Baada ya kusoma,na kuelewa tukahama huko.Naelewa mkuu kwamba Allah ndiye alituma Quran kwa nabii wake Muhammad swalallah huwalei wasallam. Ni kweli mwanasayansi mkuu ni Allah ndiye anawachanganya ndugu zetu waislamu! Labda atawaletea wahi kwa mtume mwingine ampendaye kuweka sayansi sawa.
Wewe umepotea unaenda motoni.Itakuwa umeelewa,kidogo kidogo utaelewa.Hata sisi unaotuona ni waislamu,kabla ya kuwa waislamu,tulikuwa huko huko uliko wewe.Baada ya kusoma,na kuelewa tukahama huko.
Mimi siwezi danganywa na Quran yenu! Quran ina migongano na kujipinga yenyewe mno!!Itakuwa umeelewa,kidogo kidogo utaelewa.Hata sisi unaotuona ni waislamu,kabla ya kuwa waislamu,tulikuwa huko huko uliko wewe.Baada ya kusoma,na kuelewa tukahama huko.
Toa maandiko ,usitoe kichwani.Wewe umepotea unaenda motoni.
Uislamu wa kwanza kwa watu wa kipindi chake.Nakupa mfano wa marais wa nchi,kila Rais atasema mimi ndio Rais wenu,nchi hata kama imepita Marais 44,lakini aliyeko madarakani kwa kipindi husika,ndiye Rais.Kwa asiyeelewa atasema kila anayekuja asema ni Rais na huyu ni wa 45.Mimi siwezi danganywa na Quran yenu! Quran ina migongano na kujipinga yenyewe mno!!
Swali hapa ni kwamba nani alikuwa muislam wa kwanza kulingana na Quran?
Al-Anam 6:14 "...... Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina."
Al-Araf 7:143 ".... na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini.
Al- Baqarah 2:127-133 pia inaonyesha Ibrahim(Abraham) submitted to Islam
Al-Imran 3:67 inasema " Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina."
Inaonyesha hapo juu kwamba Allah alisema wa kwanza kuslimu kuwa muislam alikuwa Muhammad. Pia Musa naye alikuwa muhumini wa kwanza wa kiislam. Naye pia Ibrahim ambaye alihishi kabla Musa na Muhammad alijitiisha kwenye uislamu na alikuwa muislam mwongofu.
Sasa kama Muhammad alishushiwa maneno na Allah kuwa ndiye wa kwanza katika uislamu, inakuwaje amewaambia jambo hilohilo kwa Ibrahim na Musa kwamba ni waislam wa kwanza???
Hii inaonyesha jinsi gani Allah wa Quran alivyo si mkweli. Ushaidi wa wazi huo juu alafu inadaiwa dini mwenyezi Mungu!!! Hapana.
Na wewe Tia maandiko, husitoe kichwani!Uislamu wa kwanza kwa watu wa kipindi chake.Nkupa mfano wa marais wa nchi,kila Rais atasema mimi ndio Rais wenu,nchi hata kama imepita Marais 45,lakini aliyeko madarakani kwa kipindi husika,ndiye Rais.Kwa asiyeelewa atasema kila anayekuja asema ni Rais na huyu ni wa 45.
Quran si inasema mtu yeyote akizaliwa ni muislamu. Sasa imakuaje unanikaribisha kwenye uislamu kuslimu?Mmubiayi,karibu katika uisilamu,mbona nyinyi waha huwa ni ubishi ubishi tu,njoo utulize nafsi yako.
Maandiko si umesheleta hayo hapo juu wataka maandiko gani.Soma hizo aya mwanzo wako utaona hao wote wanawaambia watu wao.Ndio ukaona kuna neno "Sema,'waambie"Na wewe Tia maandiko, husitoe kichwani!
Wapi umepata ina maana hiyo? We mweupe hamna kitu!
Kumbe unajua bhana,sasa twende tabligh fi sabililaah jumamosi hii huko mkuranga.Quran si inasema mtu yeyote akizaliwa ni muislamu. Sasa imakuaje unanikaribisha kwenye uislamu kuslimu?
Ushahidi kuwa mwili wa Pharao ulielea majini umepewa kwenye Quran. Wewe unalazimisha iwe ni uwongo kwa kigezo gani?? Kutokuamini kwako maneno ya Quran haifanyi kuwa kauli za Quran ni uwongo. Sasa unapolazimisha kitu bila kuwa na ushahidi au bila hata ya kutumia common sense unakuwa unasababisha senseless conversion ambayo sio madhumuni ya huu uzi. Watu tunataka tuelimike kwa kila mtu kuchangia information yenye ushahidi kamili. Quran is The only book inayotupa authentic information about the past bila ya contradiction.Kaka Quran imeandika vitu vilivyokuwepo na vilivyokuwa vinazungumzwa, hiyo habari ya Kukaushwa kwa Pharaoh sio laana ya Mungu, bali ni utaratibu wa Mapharaoh na watu wenye heshima kubwa kukaushwa na kuzikwa kwenye Masanduku,
Jakobo baba ya wana 12 wa Islael, alifia Misri kwa Mwanae Yusuph, na Yusuph aliwaambia Madaktari wa Kimisri wamkaushe Baba yake na wamuweke kwenye Sanduku kama walivyokuwa wanafanywa Mapharaoh na watu maarufu, na kweli walifanya hivyo na akabebwa kuja kuzikwa kwao (Kutoka 50), hivyo basi hata Mwili wa Jacobo upo umekaushwa sehemu na ipo siku utaonekana tu,
Kwà taarifa tu, Hakuna mwili wa Pharaoh uliokutwa unaelea Baharini, huo ni uongo na wewe umeumeza bila kufikiria wala
Ishallah!!Kumbe unajua bhana,sasa twende tabligh fi sabililaah jumamosi hii huko mkuranga.
1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Hii imeshajibiwa,soma nyuzi zilizopita.Mtume Muhammad hakusema jua linazama kwenye tope wala Qur'an haikuandikwa hivyo.Aliwahi kusa eti jua huwa linaenda kuzama kwenye Matope,,
Alikuwa muongo sn huyo jamaa,, alikuwa akisimuliwa habr za kwenye Bible kesho yke anakuja kuwadanganya watu wake eti kapata maono.
Nyingi ya hizo dini unazotaja,zlikuwa hazina vitabu,Hinduism ndio wana kitabu kinaitwa Gita,hiki kitabu hakina mambo yoyote ya kisayansi,zaidi ya nyimbo na maumbo ya wanyama na watu wanaowaabudu na visa vyao tu.Kuna Dini nyingi(Buddhism,Hinduism,Sanatana Dharma,Buddha Dharma,Taoism,Shamanism,Sphinx,Zoroastrianism, Judaism,...)nyingine kutoka B.C.E.(before common era) zilikuwepo kabla ya hizi zetu za christian na moslem,na walikuwa na vitabu na maandiko mengi tu,jaribu kuchunguza ni maandiko gani yameamishwa kutoka kwenye vitabu vya asili kabla ya hivi vyetu?,tambua hata kama alikuwa ajui kusoma na kuandika je alikuwa asikilizi hadithi na yeye kuhadithia wengine?kumbuka kule mapangoni alitokewa na nini kiasi akaweza soma?je kuna watu wangapi leo hii hawajui kiingereza/kijerumani/kiarabu au lugha za asili kabisa ila akiwa na JINN anakuwa na uwezo wa kuongea mambo ya ajabu kabisa?Tusiwe Stagnant na kuona tuko bora kuliko wengine naamini kuna mafundisho,mavumbuzi mengi tu ya asili abayo yalivumbuliwa na mazuri/mabaya kwa dunia hii ya leo na wenye GAP wanaamua kuchukulia ujiko kuwa wavumbuzi.....NAWAKILISHA!
Ushahidi kuwa mwili wa Pharao ulielea majini umepewa kwenye Quran. Wewe unalazimisha iwe ni uwongo kwa kigezo gani?? Kutokuamini kwako maneno ya Quran haifanyi kuwa kauli za Quran ni uwongo. Sasa unapolazimisha kitu bila kuwa na ushahidi au bila hata ya kutumia common sense unakuwa unasababisha senseless conversion ambayo sio madhumuni ya huu uzi. Watu tunataka tuelimike kwa kila mtu kuchangia information yenye ushahidi kamili. Quran is The only book inayotupa authentic information about the past bila ya contradiction.
Hebu tuanze na swali hili ili iweze kuelewa Mfumo wa Mungu.kama upeo na uwezo wa mwanadamu kutenda chochote unatoka kwa Mungu inakuwaje Mungu huyo huyo umwadhibu mwanadamu kwa kutenda kitu kilicho nje ya uwezo wake,pia Mwenyezi Mungu anasema kuwa anakujua wewe hata kabla hajakuumba-kwa maana hyo Mungu alijua fika kuwa hao wafarao wangewatesa wana wa Israel na bado akawaumba ni Nani mwenye makosa hapo hao mafarao au Mungu??
Hebu nioneshe katika Biblia kipengele kinachoongelea habari baada ya kifo cha firauni baharani. yaani Yule aliiojiita Mungu baada ya kufa Majini nini kilitokea ili tujue je kweli inarudia ama inakamilisha maelezo.Quran imerudia mambo ambayo yaliandikwa kwenye Biblia 2500 years before Quran. Kama swala la kuhifadhi miili lilikuwepo kabla hata Mohammed au Quran kuwepo! Pyramid zilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi miili ya wafalme Mafarao/Firauni kabla Quran kuwepo. Quran imeandika mambo yaliyo kuwepo tayari hamna jipya just ya Pharaohs. Danganya kungine.
hahaha hakupewa na mashetani, bali hilo night tawi la VATICAN nina ushaidi mkuu!!Inaonyesha jinsi upeo wako ulivyomdogo wa kuchanganua mambo.....akili yako imezimwa na kufungwa na hadithi za mudi alizopewa na mashetani