Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Nyingi ya hizo dini unazotaja,zlikuwa hazina vitabu,Hinduism ndio wana kitabu kinaitwa Gita,hiki kitabu hakina mambo yoyote ya kisayansi,zaidi ya nyimbo na maumbo ya wanyama na watu wanaowaabudu na visa vyao tu.
Hiki kitabu jina lake kwa urefu ni Bhagavad Gita(The song of the Lord),mwandishi wa kitabu hiki hakijulikani mwandshi wa uhakika,japo wapo wanaosema mwandishi anaitwa Vyasa.Kinakisiwa kitabu hiki kiliandikwa kati ya 400BCC na 200CE.
Buddha wana kitabu kinaitwa Tiptaka,ni kitabu kilichoandika kuhusu matendo aliyokuwa akiyafanya Buddha ,maana ya Tiptaka ni vikapu vitatu.Yaani kimegawanyika mara tatu.Na kuna mafunzo ya kuishi kwa kikundi cha dini.
Jews wana kitabu kinaitw TANAKH,mna mchanganyiko wa vitabu ,vikiwemo Taurat,kwa maana ya Agano la kale,lakini tofauti ya tafsiri na Agano la kale la wakristo.
Vitabu vyote hivyo,havifanani kanisa na yaliomo ndani ya Qur'an.
Kwani Muhammad aliandika kitabu? Amekufa hajawacha kitabu! Tunajuaje kama hii Qur'an ni maneno ya mtume?
 
Soma Qur'an 2:2
"Hiki ni KITABU kisichokuwa na shaka ndani yake;ni uongozi kwa wamchao Mwenyezi Mungu".
 
Qur-an 10:94… “Ukiwa na shaka katika haya tuliyo kutelemshia nenda ukawaulize
watu wasomao vitabu kabla yako…………….”
Hoja za msingi
Ikiwa Qur-an ni kitabu chenye kujitosheleza chenyewe kuna haja gani ya kuwauliza waliyosoma vitabu vya kabla ya Qur-an?
Qur an 16:43 … Nendeni mkawaulize wenye kumbukumbu za vitabu vya
MwenyeziMungu vya kale ikiwa ninyi hamjui

swali kwanini mjifunze kwenye vitabu vingine vya wakristo tena ambavyo hamviamini kama quruani ni kitabu kisicho na shaka?
 
Tatizo kubwa mnaleta vitu ambavyo vimeandikwa juzi juzi Tunataka rejea kutoka kitabu chenye miaka zaidi ya miaka ya Quran.Hayo yalipndikwa hapo hayana chanzo cha rejea.Weka chanzo cha rejea,chenye miaka kupita miaka ya Qur'an.
hahaha nilikuwa sijaelewa threed kumbe mnataka ligi na BIBLE KIUFUPI! Kwa Mantiki Hii Sidhani Kama Tutaendelea!
Cc: Mseza Mkulu Anayo threed inayozungumzia hizo invension za kwenye bible!!
 
Elewa Mtume Muhammad,hakujuwa kusoma wala kuandika,kwa hiyo si rahisi mtu ambaye hajapitia kusoma na kuandika,ukiueezea kitu cha kisomi akiweke kichwani,halafu aje akiseme kwa watu kama ulivyomuelezea.Huo ni ushahidi tosha kama Qur'an imetoka kwa Muumbaji wa Dunia na vilivyomo,na ndiye huo Muimbaji akimuelezea Mtume Muhammad kuhusu hivyo alivyoviumba.Na Allah kumchaguwa Mtume Muhammad kuwa mtume,mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika,ni ili watu kama wewe,wasije wakasema amesoma Muhammad ndio akayajuwa yote haya.
Hata Mtoto Anaweza Akakariri Matusi Lakini Asijue Maana Yake! So sishangai Kwa mtume Kwni alishushiwa na wala hakugundua kwani shida ipo wapi?! Mbona tunakalia Upuuz?!
 
Uislamu ulikuja kipindi ambacho wanasayansi walisha anza kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali.
Hivyo kilicho fanyika ni kwa wale waandishi wa Quran kuchukua baadhi ya tafiti hizo na know ziweka kwenye Kitabu chao.
Pia walichukua baadhi ya vitabu vya kwenye biblia na kuviingiza kwenye Quran, waliweza kubadilisha baadhi ya hadithi ziendane na matakwa yao.
Kimsingi uislamu ni dini ya kutengenezwa
Mkuu Wala Usipate Tabu Hilo Ni Tawi La VATICAN I SWEAR TENA!
 
Qur-an 10:94… “Ukiwa na shaka katika haya tuliyo kutelemshia nenda ukawaulize
watu wasomao vitabu kabla yako…………….”
Hoja za msingi
Ikiwa Qur-an ni kitabu chenye kujitosheleza chenyewe kuna haja gani ya kuwauliza waliyosoma vitabu vya kabla ya Qur-an?
Qur an 16:43 … Nendeni mkawaulize wenye kumbukumbu za vitabu vya
MwenyeziMungu vya kale ikiwa ninyi hamjui

swali kwanini mjifunze kwenye vitabu vingine vya wakristo tena ambavyo hamviamini kama quruani ni kitabu kisicho na shaka?
Hakuna kitabu cha kikiristo kilichotajwa,Biblia.Vitabu vilivyotajwa ndani ya Qur'an ni
1.Zaburi Ya Nabii Daud(sio mkristo)
2.Taurat ya Nabii Musa(sio mkristo)
3.Injili Ya Nabii Issa(sio mkristo)
Aya haijataja dini ya kikristo,imetaja vitabu vilivyotangulia.
 
hahaha nilikuwa sijaelewa threed kumbe mnataka ligi na BIBLE KIUFUPI! Kwa Mantiki Hii Sidhani Kama Tutaendelea!
Cc: Mseza Mkulu Anayo threed inayozungumzia hizo invension za kwenye bible!!
Hakuna ligi na Biblia,hapa palitajwa Sayansi iliyotajwa ndani ya Qur'an,hizo sayansi kama zimetajwa kwenye kitabu chochote,kabla ya Qur'an sio lazima kiwe kitabu cha dini.
 
Hata Mtoto Anaweza Akakariri Matusi Lakini Asijue Maana Yake! So sishangai Kwa mtume Kwni alishushiwa na wala hakugundua kwani shida ipo wapi?! Mbona tunakalia Upuuz?!
Kukariri matusi,na kukariri sayansi ni vitu viwili tofauti.Sayansi ni somo,na linafundishwa kwenye vyanzo maalumu.Matusi sio somo,na hakuna vyanzo vinavyofundisha matusi.
 
Mkuu Wala Usipate Tabu Hilo Ni Tawi La VATICAN I SWEAR TENA!
Uislamu na Vatican ni kama mbingu na Ardhi.
Uislamu hauabudu Sanamu na pia Mungu kwa waislamu hana mwana ,hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wakati Vatican wanaabudu sanamu na Wanasema Mungu ana mtoto.Nk
 
Hakuna ligi na Biblia,hapa palitajwa Sayansi iliyotajwa ndani ya Qur'an,hizo sayansi kama zimetajwa kwenye kitabu chochote,kabla ya Qur'an sio lazima kiwe kitabu cha dini.
sasa ndugu yangu hivyo vitabu ni nadra sana kuvipata coz havikuahidiwa ULINZI na allah!!, but machapisho ya kina arstostl unaweza yapata! Ambayo yaliandikwa kwa mikono yao! Nenda pardue university yote utayaona ila baadhi! Ila kuhux hizi myth za uchina na babylon itakuwa ngumu sana! Atleast misri waliamua kuhifadhi kwa njia ya michoro! But nenda kwenye mapiramid flan hivyo yapo misri nadhani utata utaishia hapo! But hiyo DINI MBONA NI BRANCH YA VATICAN! Na hilo linajulikana wazi tuuu! Sema ndiyo MMEFUNGWA MSIKUBALI KUJUA UKWELI!
But tuachana nayo coz DINI NI IMANI!
 
Kwani Muhammad aliandika kitabu? Amekufa hajawacha kitabu! Tunajuaje kama hii Qur'an ni maneno ya mtume?
Qur'an ilikuwa imeandikwa kwenye ngozi,unajua jua lilivyo kuwa kali huko jangwani,na qur'an ilikuwa imeandikwa kwenye magome,baada ya kifo cha nabii muhammad s.a.w,maswahaba wakaona nibora kukusanya ngozi na magome na kuzitengenezea folder."wahyi" kutoka kwa muumba ukawa katika kitabu. qur'an kareem.
 
Uislamu na Vatican ni kama mbingu na Ardhi.
Uislamu hauabudu Sanamu na pia Mungu kwa waislamu hana mwana ,hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wakati Vatican wanaabudu sanamu na Wanasema Mungu ana mtoto.Nk
POLE SANA Kikwajuni! Ama Kweli usilolijua litakusumbua!
But tuachane nayo coz DINI NI IMANI!
 
Hakuna kitabu cha kikiristo kilichotajwa,Biblia.Vitabu vilivyotajwa ndani ya Qur'an ni
1.Zaburi Ya Nabii Daud(sio mkristo)
2.Taurat ya Nabii Musa(sio mkristo)
3.Injili Ya Nabii Issa(sio mkristo)
Aya haijataja dini ya kikristo,imetaja vitabu vilivyotangulia.
iko wapi hiyo Injili ya Nabii Issa ambayo mna iamini na walipewa kina nani na walikuwa wapi wakati mtume anakuja?
 
sasa ndugu yangu hivyo vitabu ni nadra sana kuvipata coz havikuahidiwa ULINZI na allah!!, but machapisho ya kina arstostl unaweza yapata! Ambayo yaliandikwa kwa mikono yao! Nenda pardue university yote utayaona ila baadhi! Ila kuhux hizi myth za uchina na babylon itakuwa ngumu sana! Atleast misri waliamua kuhifadhi kwa njia ya michoro! But nenda kwenye mapiramid flan hivyo yapo misri nadhani utata utaishia hapo! But hiyo DINI MBONA NI BRANCH YA VATICAN! Na hilo linajulikana wazi tuuu! Sema ndiyo MMEFUNGWA MSIKUBALI KUJUA UKWELI!
But tuachana nayo coz DINI NI IMANI!
Kinachotakiwa ni kitabu kuhusu sayansi iliyomo ndani ya Qur'an,kitabu hicho kiwe kabla ya Qur'an.Kuhusu Vatican na uislamu ni mbigu na ardhi tofauti yao.Na nimeshajibu,utofauti wao.
 
iko wapi hiyo Injili ya Nabii Issa ambayo mna iamini na walipewa kina nani na walikuwa wapi wakati mtume anakuja?
Injili ya Nabii Issa alipewa Nabii Issa kwa ajili ya watu aliotumwa kwao kuwa Mtume wao.
 
Kinachotakiwa ni kitabu kuhusu sayansi iliyomo ndani ya Qur'an,kitabu hicho kiwe kabla ya Qur'an.Kuhusu Vatican na uislamu ni mbigu na ardhi tofauti yao.Na nimeshajibu,utofauti wao.
okay!, kikishapatikana kuna tunzo yoyote hile?! Au mimic na wewe kama watanzania wa kawaida tutafaidika na nini irihali hata kiwanda che nyembe hatuna?!
 
Back
Top Bottom