Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Mbona viwanda tunavyo.Au hutembei.okay!, kikishapatikana kuna tunzo yoyote hile?! Au mimic na wewe kama watanzania wa kawaida tutafaidika na nini irihali hata kiwanda che nyembe hatuna?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona viwanda tunavyo.Au hutembei.okay!, kikishapatikana kuna tunzo yoyote hile?! Au mimic na wewe kama watanzania wa kawaida tutafaidika na nini irihali hata kiwanda che nyembe hatuna?!
uislam ni project iliyofanywa na VATICANTawi haliwezi kuwa tofauti na shina,tawi liwe muembe na shina mnazi.Haiwezekani.
Nimeshakujibu.uislam ni project iliyofanywa na VATICAN
hahaha!!!!, okay coz hili c jukwAA la poltc!Mbona viwanda tunavyo.Au hutembei.
haujani jibu bali umeonesha ukanushi! Nahisi wewe bado sana katika kujua mambo!! Na mtu kama wewe inahitaji hekima ya juu kukuelimisha!Nimeshakujibu.
Toa ushahidi wako kimaandiko.haujani jibu bali umeonesha ukanushi! Nahisi wewe bado sana katika kujua mambo!! Na mtu kama wewe inahitaji hekima ya juu kukuelimisha!
MAANDIKO YAPI?! Kama ya dini mimi sina coz siyo mfia DINI! Kuhusu Uislam na vatican now sina mdaa mpaka nitakapo pata likizo kazini! Coz wengi wAtakuw na maswali mengi kutokan na ufia dini!Toa ushahidi wako kimaandiko.
Injili maana yake nini? Nani alimpa jina Yesu mwana wa Mungu nabii Issa? Nipe maandiko.Injili ya Nabii Issa alipewa Nabii Issa kwa ajili ya watu aliotumwa kwao kuwa Mtume wao.
Kaka acha kubisha tuh mambo mengine ya mwe gunduliwa asaivi ndio vilikuwepo ila watu awakujua till science with technology ya sasa watu wameweza kujua.
Wewe utachanganya mada,mada yetu ni Sayansi katika Qur'an.Na nimekuambia Nabii Issa,sijakutajia Yesu.Injili maana yake nini? Nani alimpa jina Yesu mwana wa Mungu nabii Issa? Nipe maandiko.
Unauhakika gani kua ulichokishare hapo ndio sahihi?
Ili uwe na constructive urgument lazima uje na references na ushahidi wa ku support hoja yako. Pendekezo lako halina uzito. Na unakataa ushahidi wa pekee unaosadikika na mabilioni ya watu. Hivi unategemea watu wakisikie wewe???Na kuandikwa kwenye Quran hakufanyi hizo dhana kuwa ukweli, mi silazimishi bali wewe na kitabu chako mnataka kulazimisha ili kuficha makosa yaliyomo kwenye hicho kitabu
Huyo Mtoa maada kasema kuna mwili wa pharaoh umeokotwa baharini na kuthibitisha ukweli wa Quran na ndio mimi nikamwambia huo ni uongo, hakuna Mwali wa pharaoh uliowahi okotwa baharini
Ili uwe na constructive urgument lazima uje na references na ushahidi wa ku support hoja yako. Pendekezo lako halina uzito. Na unakataa ushahidi wa pekee unaosadikika na mabilioni ya watu. Hivi unategemea watu wakisikie wewe???
Wewe unaonaje?Ninachokieleza hapa na kilichoelezwa humo kwenye kitabu kipi kina ushahidi?
Naona kwenye Quran kuna dhana na copying ya bitu vilivyokuwepoWewe unaonaje?
NuruNaona kwenye Quran
Tupe ushahidi wa kudhitibisha firka zako na utoe vielelezo vilivyokufanya ufikirie hivyo.Naona kwenye Quran kuna dhana na copying ya bitu vilivyokuwepo
Ushaidi Quran! Unataka nini zaidi?Tupe ushahidi wa kudhitibisha firka zako na utoe vielelezo vilivyokufanya ufikirie hivyo.
Kaka umesema uongo wa kimatabaka.Naona wengi wanakizungumia kitabu cha Qur'an pasi na elimu.Bali wengi wanakizungumzia kwa chuki,na chuki ukungu katika ile njia ya kuitafuta haki.Kwa ufupi ngoja nikupe habari kwa uchache juu ya kitabu hichi kitufu.Naona kwenye Quran kuna dhana na copying ya bitu vilivyokuwepo
Kaka Qur'an haikuandikwa katika magome ya miti wala ngozi.Iliandikwa kwenye karatasi tena kwa maelekezo ya mtume Muhammad alayhi salaam baada ya kufariki rasul amani ya Allah iwe juu yake ndio maswahaba Allah awaridhie wakaikusanya sehemu moja na kuwa msahafu.Upangiliaji wa aya na sura ulikuwa unafata maelekezo kutoka kwa mtume wa Allah amani juu yake.Hii ni kwa sababu kwanza Qur'an ilikuwa inashuka kwa matukio na mtume amani iwe juu yake sababu alikuwa hajui kusoma wala kuandika,pale aya inapo teremka alikuwa ana muamuru mmoja kati ya waandishi waandike aya fulani sehemu fulani.Mathalani labda leo hii kutokana na tukio fulani Allah akamtuma malaika Jibril amani ya Allah iwe juu yake kumfikishia mtume amani iwe juu yake,basi mtume anamuita muandishi wake anamwambi aya hii nenda kaiandike pale ambapo aya fulani ilipo ishia.Kwa ufupi hivyo ndivyo Qur'an ilikuwa inaandikwa.Qur'an ilikuwa imeandikwa kwenye ngozi,unajua jua lilivyo kuwa kali huko jangwani,na qur'an ilikuwa imeandikwa kwenye magome,baada ya kifo cha nabii muhammad s.a.w,maswahaba wakaona nibora kukusanya ngozi na magome na kuzitengenezea folder."wahyi" kutoka kwa muumba ukawa katika kitabu. qur'an kareem.