mtemi well said kimtindo ila imani ndo msingi imani zina onesha tunako toka tulipo na tunapo elekea. asa science wanadamu wamekua akiamini saana kisa in deal na facts asa ukichukua science kuja kupima vitu vya imani science ina kuja kushanga kumbe kitu flani na flani ni true so inaongeza imani zaidi.every thing is in the mind....that's where it starts by knowing what you want....tuache imani kama zilivo ili waamini wasivunjike mioyo
ndo maana kuna modern science . mbona hawo wa misri awa kutengeneza rocket au robot au hata bulp? science and technology sio static ni dynamic mkuu naona povu lina kutoka, ebu soma history of science vizuri utanielewa na manisha niini. unajua ila una act kama ujui.
ndo maana kuna modern science . mbona hawo wa misri awa kutengeneza rocket au robot au hata bulp? science and technology sio static ni dynamic mkuu naona povu lina kutoka, ebu soma history of science vizuri utanielewa na manisha niini. unajua ila una act kama ujui.
Si kweli hayo mambo Wamisri weusi wa kale waliyagundua zaidi ya miaka 5000 iliyopita! wewe unazungumzia 1400!1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Alikua mtume kajua kutoka kwa Mungu wake aliokua akimuongoza na mengine alikua akiyaona njiani mfano safari ya miraaji alitumia wormholes, alipita mbingu zote saba na kadhalikaTatizo ukiwa na chuki hautaendelea ss myoa mada kama alivyosema mambo hayo mtume aloyataja miaka 1400 nyuma na kipindi hicho sayansi ilikuwa bado duni sana yaani kulikuwa hamna satelites(artificial satellites) na pia vipimo vingine ila yy aliweza kuyajua hayo sasa alijua juaje???
Kama ilishafika mbali kitambo hicho naomba unipe evidence ya artificial satellite kipindi hicho na kwa nn walishindwa?
Hivi technology na Mungu kip kilianzasija sema havikuwepo vilikuwepo ila 1400 iliopita technology ilikua duniiiii saaana tuseme kulikua hakuna ila technology ya sasa ndo wamekuja kuvigundua.
Tuambie ni kina nani na tupe ushahidSio kweli kaka, Muhamad kaja kakuta Dunia imeshaendelea sana tu, hapo Uarabuni kulikuwa na WanaSayansi wengi mno, kulikuwa na wataalamu wa Anga, madawa, Chemistry, Physics nk, Kilichoandikwa kwenye Quran kilikuwepo muda mrefu kabla ya huyo Muhamad
Kagoogle ru kaka UtapataTuambie ni kina nani na tupe ushahid