Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Watu wanazaliwa na akili, vipawa maarifa. Shule huwa ni nyongeza tu.
 
every thing is in the mind....that's where it starts by knowing what you want....tuache imani kama zilivo ili waamini wasivunjike mioyo
 
every thing is in the mind....that's where it starts by knowing what you want....tuache imani kama zilivo ili waamini wasivunjike mioyo
mtemi well said kimtindo ila imani ndo msingi imani zina onesha tunako toka tulipo na tunapo elekea. asa science wanadamu wamekua akiamini saana kisa in deal na facts asa ukichukua science kuja kupima vitu vya imani science ina kuja kushanga kumbe kitu flani na flani ni true so inaongeza imani zaidi.
 
Ni kweli kabisa kwamba pale Egypt sehemu ya Pyramid ya Giza na sanamu ya Simba pamewekwa au kufichwa sayansi kubwa sana duniani. Mfano ni Golden number na pai ya hesabu ambavyo ukivichanganya kidogo vinakupa speed ya mwanga.
Wa Egypt hawakuwa hawa Waarabu. Hawa waliwavamia real Egyptian na kuwafukuza maeneo hayo. Kuna kila dalili kuwa wale walikuwa Weusi na moja ya mabaki yao yanaweza kuwa ni kabila la Dogon wanaoishi Mali.
Kuna sayari ambazo Dogoni alizisema miaka mingi nyuma ndiyo kwanza Nasa wamekuja kuziona kwa kutumia powerful telescope.
Kuna story kwenye Biblia inasema kuwa kuna watu walikuja kutoka mbinguni na baada yakuwaona Mabinti wa Dunia hii wakawapenda. Wengine wanadai kuwa hawa jamaa walikuja Babylon kuja kutafuta dhahabu. Kumbuka dhahabu ni best material kwa ajili ya kupitisha joto na umeme.
Walipoona hii kazi ngumu sana basi wakawazalisha Binadanu na wale watoto wakawa ni kama binadamu ila Super natural talented. Hawa ndiyo inasemwa walikuja kujenga hizo Pyramid na vitu vingine baadaye.

Vatican hizi siri wanazo siku nyingi na ukiangalia makanisa hata ya zamani sana, walitumia Golden Ratio kujenga. Bendera ya USA imetengenezwa kwa kutumia Golden Ratio. Symbol ya Toyota vilevile.

Swali hapa ni vipi Vatican walijenga hivi? Ni lazima walijua siri hii. Ndiyo maana CIA na Vatican ni marafiki wakubwa na wao ndiyo walinzi wa siri hizi za dunia.

Mwenye hamu ya kutaka kujua hili basi aanzie kufuatilia matukio ya vifo vya wale (Samaki wakubwa?) Waliokuwa wakiokotwa wamekufa kwenye fukwe za bahari. Anzia tukio la wale waliokutwa wamekufa RSA.
Njoo angalia siri ya Pyramid ya Giza. Njoo usome au sikiliza siri ya kabila la Dogoni na hapo utapata mwanga mkubwa wa hizi habari. Dogoni wao wanathibitisha kabisa walitoka angani kwenye sayari ndogo pembeni mwa Sirius.
 
kwa hiyo hivyo vitu havikuwepo au ye ndo kugundua
hivyo vitu vili kwepo yeye aja gundua, sema alikua ana vijua na science yetu imekuja kugundua kati kati hapo na mengine kwenye karine hiii.
 
image.jpg

Hivyo ndivyo vyomba vya Anga vya Ancient Egypt kabla ya Muhammad

ndo maana kuna modern science . mbona hawo wa misri awa kutengeneza rocket au robot au hata bulp? science and technology sio static ni dynamic mkuu naona povu lina kutoka, ebu soma history of science vizuri utanielewa na manisha niini. unajua ila una act kama ujui.
 
asante mkuu napenda science na mysteries hizi hasa za egypt thanks umeni fungua kidogo, history ina mambo mengi vile vile nakushauri au na sema fatilia na story ya mji wa babylon na utume wa solomon kuna mambo mengi hapo yame tajwa, iman ni pana saana tatizo atusomi kuna viumbe ma jinn/mapepo ila wazungu wana jifanya awamini ila wanatuletea gear za kua kuna aliens nakadhalika ila mambo yako wazi tusomeni jamani.
 
Hizi ndio Bulb ulizokuwa unaulizia, hizi zilikuwa na miaka zaidi ya 7000 Kabla ya Quran na kabla ya Muhammad, hicho kipicha cha Chini kinaonyesha kabisa kuwa kuna Betri na waya zinazowasha hizo taa

image.jpg

ndo maana kuna modern science . mbona hawo wa misri awa kutengeneza rocket au robot au hata bulp? science and technology sio static ni dynamic mkuu naona povu lina kutoka, ebu soma history of science vizuri utanielewa na manisha niini. unajua ila una act kama ujui.
 
1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Si kweli hayo mambo Wamisri weusi wa kale waliyagundua zaidi ya miaka 5000 iliyopita! wewe unazungumzia 1400!
 
Tatizo ukiwa na chuki hautaendelea ss myoa mada kama alivyosema mambo hayo mtume aloyataja miaka 1400 nyuma na kipindi hicho sayansi ilikuwa bado duni sana yaani kulikuwa hamna satelites(artificial satellites) na pia vipimo vingine ila yy aliweza kuyajua hayo sasa alijua juaje???
Alikua mtume kajua kutoka kwa Mungu wake aliokua akimuongoza na mengine alikua akiyaona njiani mfano safari ya miraaji alitumia wormholes, alipita mbingu zote saba na kadhalika
 
Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe. Mungu mwenyewe kasema (2:6) Quran
 
sija sema havikuwepo vilikuwepo ila 1400 iliopita technology ilikua duniiiii saaana tuseme kulikua hakuna ila technology ya sasa ndo wamekuja kuvigundua.
Hivi technology na Mungu kip kilianza
 
Sio kweli kaka, Muhamad kaja kakuta Dunia imeshaendelea sana tu, hapo Uarabuni kulikuwa na WanaSayansi wengi mno, kulikuwa na wataalamu wa Anga, madawa, Chemistry, Physics nk, Kilichoandikwa kwenye Quran kilikuwepo muda mrefu kabla ya huyo Muhamad
Tuambie ni kina nani na tupe ushahid
 
Kaka acha kubisha tuh mambo mengine ya mwe gunduliwa asaivi ndio vilikuwepo ila watu awakujua till science with technology ya sasa watu wameweza kujua.
 
Back
Top Bottom