Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Mkuu acha kuchanganya muumba na viumbe vilivyoasi.
Allah hakuumba chochote. Kama angeumba angependa uhai wa binadamu zake, badala yake analeta Quran na kumtuma Muhammad kuua watu kwa upanga, kukata mikono na miguu, kuua wanawake ambao wamekuwa raped na waarabu kwa mawe, kuwafanya watumwa waafrika, jihad na terrorist. Muumba wako Allah hakuitaji kujichanganya maana ni Sheitwaan mkuu.
 
Nisaidie kunifafanulia kuwa mtume ndo kaiua sayansi na sayansi ipi iliibwa misri?
Eti ufafanuzi? Wewe zumbukuku wa wapi?Jamaa kaeleza vizuri, kama uelewi nenda kasome Quran yako, hamna unachokielewa. Mwambie maalimu au sheikh ubwabwa akufafanulie.. narabuk!
 
Lete maandiko sio maandishi
 
Soma upate faida
Eti ufafanuzi? Wewe zumbukuku wa wapi?Jamaa kaeleza vizuri, kama uelewi nenda kasome Quran yako, hamna unachokielewa. Mwambie maalimu au sheikh ubwabwa akufafanulie.. narabuk!
 
Kumbe maelezo yako ni kwenye quran. Kitabu kilichoshuwa na Allah ambaye hawezi kuongea na mtume wake tena kipenzi,bali anamtuma jibril mpelekee kitabu hiki yule kijana wakiarabu pale kwenye mapango umbwambie mimi nimekutuma. quran hiyo hiyo inatwambia Allah aliongea ana kwa ana na Musa, Issa , Ibrahim nk. lakini hakufanya hivyo kwa Muhammad.
 
Kwahiyo technology yote iliyopo ni ileile iliyokuwa awali
Kuna ambayo mpaka leo hatujawahi ifikia na tunajiuliza iliwezekanaje, kuna ambayo tumeiboresha na kuna ambayo tunatumia idea zake kufanya mambo makubwa kabisa

Mfano chukulia umeme umegundulika kwenye karne ya 18 na ikaonekana kuwa ni ugunduzi mkubwa na umeleta mapinduzi makubwa, lakini kwenye Mapiramidi kuna picha zinazoonyesha kuwa hao wa egpty walikuwa wana hiyo technolojia ya umeme

Hiyo picha inaonyesha kabisa Battery na Balbu, lakini kulikiwa na technology gap kutoka hapo mpaka karne ya 18 ndio ikaonekana ni ugunduzi mpya
 
Mkuu hawa jamaa ukianzia kuwaletea vitu kabla ya Muhammad hajaibuka hawewezi kuelewa wala kukubali. wanataka uanzie alipoanzia Mtume wao, maana ndiyo Dunia iliumbwa hapo. kabla ya 1400AD hakukuwa na viumbe hata babake alikuwa hayupo!
by the way mzee Abdullah alikufa akiwa kafir/mpagani na yupo kwenye bwawa la Moto. Muhammad anasema.
 
Mtume Muhammad sio kuongea tu na Allah,alikwenda mbinguni,na akatembezwa sehemu zote za mbinguni.Soma Qur'an uelewe
Qur'an 17:1
"Ametakasika,Aliyemchukuwa mja Wake usiku mmoja kutoka Msikiti mtukufu mpaka Msikiti wa mbali,ambao Tumevibariki vilivyouzunguka,ili Tumwonyeshe baadhi ya Ishara zetu.Hakika ni Mwenye Kusikia na mwenye kuona."
 
Mumeishiwa maswali?
 
Uthibitisho gani unaoutaka zaidi ya hii picha?, nimeiweka zaidi ya mara elfu humu JF
Hiyo picha ni zaidi ya miaka 4000 kabla ya Muhammad

View attachment 464038
Hii picha hainyoshi kama mtu anatahiriwa,mtu akitahiriwa hasimami,hapa pana mambo mengine.
Halafu uislamu kwa suala la kutahiriwa halikuanza kwa Mtume Muhammad,Qur'an imetaja wazi,imeanza toka wakati wa Nabii Ibrahim
 
Hii picha hainyoshi kama mtu abatahiriwa,mtu akitahiriwa hasimami,hapa pana mambo mengine.
Halafu uislamu kwa suala la kutahiriwa halianza kwa Mtume Muhammad,Qur'an imetaja wazi,imeanza toka wakati wa Nabii Ibrahim
Usiwe mtu wa Kubishabisha hovyo na Kukariri vitu pasipo na maana, unasemaje mtu akitahiriwa huwa hasimami nani aliyekwambia hivyo, kutahiri kila culture na utamaduni wake, wapo wanaolala, wanaochutama na wanaosimama
 
Muhimu ujuwe,mambo ya kutahiri katika uislamu,yalianza toka wakati wa Nabii Ibrahim.
 
Hii picha hainyoshi kama mtu anatahiriwa,mtu akitahiriwa hasimami,hapa pana mambo mengine.
Halafu uislamu kwa suala la kutahiriwa halikuanza kwa Mtume Muhammad,Qur'an imetaja wazi,imeanza toka wakati wa Nabii Ibrahim
Wewe kikwajuni hamna kitu! Una matatizo sana. Kwani nani alikwambia waarabu walitahiri kabla miaka 1400 iliyopita? Muhammad mwenyewe hakutahiri mpaka aliposhushiwa Quran! Muhammad ndiye mwarabu wa kwanza kutahiri ingawa hamna ushaidi nani alimtahiri! Kwanza wewe babu zako kabla kuja uislamu kwenu wallijua kutahiriwa zaidi ya kuabudu mababu, wanyama na mimea? Hamka umelala usingizi kama jendaheka!
 
Tatizo lako uelewa mdogo,nimekuambia ktahiri kumeanza toka wakati wa Ibrahim.Ibrahim alizaliwa Iraq,Iraq ni nchi ya kiarabu.Miaka 8000 iliyopita ndio alizaliwa.Wewe wafikiri Ibrahim alikuwa Myahud?Ibrahim alizaliwa Iraq na aliishi Iraq.Aliondoka Iraq pamoja na Luwtw,katika mji unaoitwa Aur ,kisha Haraan,kisha tena Falastina(Palestina).Akaelekea Misri.
 
uislam umeanza na Muhammad, huko kwingine ni kutafuta namna ya kujinasibishq na uyahudi
Ibrahimu sio Yahud,kumbe wakristo hivi mnaposema Ibrahim ni baba wa Imani wajuwa ni Yahud?Ibrahim kazaliwa Iraq,mwarabu,alikwenda Palestina ,na baadaye Misri na akaenda Hijaz,aliptoka Hijaz akarudi Palestina ,amefariki ana miaka 175,amezikwa Palestina katika mji uliyoitwa Khaliyl.Someni mpate maarifa.
 
Hii picha hainyoshi kama mtu anatahiriwa,mtu akitahiriwa hasimami,hapa pana mambo mengine.
Halafu uislamu kwa suala la kutahiriwa halikuanza kwa Mtume Muhammad,Qur'an imetaja wazi,imeanza toka wakati wa Nabii Ibrahim
Muhammad alitahiriwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…