Kwahiyo hoja yako ni nini baada mimi kupitia? Kwamba waarabu hawaku husika na slavery?Sasa hebu pitia hiyo link ya trans atlantic slave trade#875 halafu tukae chini tuyajenge
Waarabu walihusika wazungu walihusika sisi waafrika tulihusika,sasa kuushambulia uisilamu kwa hoja ya utumwa haijengi,jenga hoja mubashara ambazo hata wasomaji watapata faida.Kwahiyo hoja yako ni nini baada mimi kupitia? Kwamba waarabu hawaku husika na slavery?
Uyahudi umeanza lini?Hakuna uvamizi wala mini,Ibrahim hakuwa myahudi,na hawezi kuwa myahudi,kwa sababu Uyahud ni dini sio kabila,lazima uelewe.Iraq ni nchi toka zamani,tizama ramani vizuri.Uyahudi hakuwapo wakati wa Ibrahimu.
Hamna mtu alishambulia waarabu? Waarabu ambao naongelea hapa ni ambao waislamu ambao walisababisha maafa East Africa kwa utumwa. Kwanza hao waarabu wakristo wengi wamekimbia au kuuwawa nchi za kiarabu. Mkristo atafanya nini Saudi Arabia wakati makanisa haya ruhusiwi? Nchi za kiarabu kujenga makanisa hamtaki wakati nchi zakikristo it's okay!Halafu kuwashambulia waarabu kwa fikra kuwa waarabu wote ni waisilamu pia hakujengi.Arab Christians - Wikipedia
'Islamophobia' umejazwa khofu na vyombo vya habari, sio kosa lako.Tatizo ni dini yenu siyo ya kweli wala amani.
Kwani Allah ni nini? Allah is just a title kama Mungu siyo jina takatifu! Hata shetani aniatwa Mungu. Katika Isaiah 9:6 Yesu naye anaitwa Mungu. Na kwa Wayahudi nao Mungu ni Elohim.Kumshambulia allah pia hakujengi kwani sisi hatumshambulii yahwe.
Astaghfurulaah!! Toba ya allah.Mungu. Katika Isaiah 9:6 Yesu naye anaitwa Mungu.
kivipi wakati katetea hoja yake kwa mfano, tetea hoja yako kwa mfanoUkiona mtu anajibu kama wewe unavyojibu,ujuwe umeishiwa hoja.
Ndiyo Yesu anaitwa Mungu sababu sifa za kimungu anazo. Hata shetani ni Mungu, sijui unashangaa nini? Wewe uelewi kabisa maana unafikiri neno Mungu ni takatifu! Umekuwa brainwashed na Quran, you can't reason nor think for yourself! Wewe hata ufanyaje hiko siku utamtambua nani Yesu.Astaghfurulaah!! Toba ya allah.
Kwenye uzi huu nimekuja kama wengine walivyokuja ili kujadili ukweli ambao utatuweka huru. Kwani kuna sheria au condition za kuingia kwenye uzi huu? Mimi sina chuki na uislamu bali imefikia wakati tuwe wawazi bila kuoneana haibu au woga. Kwanza nusu ya familia yangu waislamu kwahiyo sioni sababu ya kuchukia uislamu bali lazima tuwe wazi juu ya hii dini kama waislamu wanavyo toa kasoro Biblia.Sasa bwana ummubiayi kwenye uzi huu umekuja kufanya nini?kama uisilamu unauchukia tu kwa sababu za utumwa au sababu zako binafsi,ni lazima uwatie watu ghadhabu,mimi huwa naheshimu imani za wengine nawewe kaa na dini yako na sisi tuwachie dini yetu.
Kwahiyo unawatambuwa walokole, kama Quran inavyotambua wayahudi na wakristo kuwa ni wacha Mungu?Huu uzi umevamiwa na walokole yaarabi hebu waongoze walokole hawa katika njia iliyo nyooka..amin..amin.
Sawa, kaeni na dini yenu na sisi tunabaki na dini yetu,wabillahi tawfiq.Kwahiyo unawatambuwa walokole, kama Quran inavyotambua wayahudi na wakristo kuwa ni wacha Mungu?
Al-Baqara 2:62. Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatohuzunika.
Huu uzi unazungumza sayansi katika uislamu,umeuliza umejibiwa na kupewa hoja zilizo sahihi.Kwenye uzi huu nimekuja kama wengine walivyokuja ili kujadili ukweli ambao utatuweka huru. Kwani kuna sheria au condition za kuingia kwenye uzi huu? Mimi sina chuki na uislamu bali imefikia wakati tuwe wawazi bila kuoneana haibu au woga. Kwanza nusu ya familia yangu waislamu kwahiyo sioni sababu ya kuchukia uislamu bali lazima tuwe wazi juu ya hii dini kama waislamu wanavyo toa kasoro Biblia.
Kwani waislamu wanapo shambulia Biblia na ukristo wanauchukia?