Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kwahiyo hoja yako ni nini baada mimi kupitia? Kwamba waarabu hawaku husika na slavery?
Waarabu walihusika wazungu walihusika sisi waafrika tulihusika,sasa kuushambulia uisilamu kwa hoja ya utumwa haijengi,jenga hoja mubashara ambazo hata wasomaji watapata faida.
 
Kumshambulia allah pia hakujengi kwani sisi hatumshambulii yahwe.
 
Hakuna uvamizi wala mini,Ibrahim hakuwa myahudi,na hawezi kuwa myahudi,kwa sababu Uyahud ni dini sio kabila,lazima uelewe.Iraq ni nchi toka zamani,tizama ramani vizuri.Uyahudi hakuwapo wakati wa Ibrahimu.
Uyahudi umeanza lini?
 
Halafu kuwashambulia waarabu kwa fikra kuwa waarabu wote ni waisilamu pia hakujengi.Arab Christians - Wikipedia
Hamna mtu alishambulia waarabu? Waarabu ambao naongelea hapa ni ambao waislamu ambao walisababisha maafa East Africa kwa utumwa. Kwanza hao waarabu wakristo wengi wamekimbia au kuuwawa nchi za kiarabu. Mkristo atafanya nini Saudi Arabia wakati makanisa haya ruhusiwi? Nchi za kiarabu kujenga makanisa hamtaki wakati nchi zakikristo it's okay!
Kwahiyo hamna mtu aliyeshambulia mwarabu. Kwani waarabu wote wabaya? Tatizo ni dini yenu siyo ya kweli wala amani.
 
Kumshambulia allah pia hakujengi kwani sisi hatumshambulii yahwe.
Kwani Allah ni nini? Allah is just a title kama Mungu siyo jina takatifu! Hata shetani aniatwa Mungu. Katika Isaiah 9:6 Yesu naye anaitwa Mungu. Na kwa Wayahudi nao Mungu ni Elohim.
Kwa kifupi:-
Kiarabu Mungu ni Allah
Kiingereza ni God
Hebrews ni Elohim
Greek ni Theos
Swahili ni Mungu

Mungu muumba wa kila kitu ulimtaja jina lake binafsi takatifu ambalo ni Yahweh au Jehovah au kiswahili Yehova, huyo ndiye Mungu wa kweli mwenye jina!

Mungu alimwambia Mussa "Naye Mungu akaendelea kusema na Musa na kumwambia: “Mimi ni Yehova. Nami nilikuwa nikimtokea Abrahamu, Isaka na Yakobo kama Mungu Mweza-Yote, lakini kuhusu jina langu Yehova sikujifanya nijulikane kwao. (Kutoka 6:3)

Zaburi 83:18 "Ili watu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Yehova, Wewe peke yako ndiye Uliye Juu Zaidi, juu ya dunia yote."

Kwahiyo huyo ndiye Mungu tunaye muabudu mwenye kutambulika kwa jina pekee siyo title. Jehovah ndiye Mungu muuamba aliye hai na shetani akilisikia hilo jina anatetemeka.
 
Sasa bwana ummubiayi kwenye uzi huu umekuja kufanya nini?kama uisilamu unauchukia tu kwa sababu za utumwa au sababu zako binafsi,ni lazima uwatie watu ghadhabu,mimi huwa naheshimu imani za wengine nawewe kaa na dini yako na sisi tuwachie dini yetu.
 
Astaghfurulaah!! Toba ya allah.
Ndiyo Yesu anaitwa Mungu sababu sifa za kimungu anazo. Hata shetani ni Mungu, sijui unashangaa nini? Wewe uelewi kabisa maana unafikiri neno Mungu ni takatifu! Umekuwa brainwashed na Quran, you can't reason nor think for yourself! Wewe hata ufanyaje hiko siku utamtambua nani Yesu.
 
Nimefuatilia sana uzi huu na comment yangu ni kuwa, "usibishane na mpumbavu asije kukushusha katika level yake na kukushinda kwa uzoefu wake"
Pia napenda kumwelewesha mtoa hojakuwa,
Mungu anaweza kushusha sayansi kwa namna yoyote kwa binadamu wake
pia shetani anapenda kujilinganisha na mungu, hivyo anaweza kushusha jambo ili mladi binadamu aamini ni mungu afuate. yeye hufanya mambo yake kwa hila na njia zake mbeleni zina utata ambao ndio hutumika kuchanganya na kuangamia, kwani KUANGAMIZA NDIO NIA YAKE. BALI NIA YA MUNGU NI KUOKOA.
sasa kwa upande wangu nikiona utabili katika maandiko sishangai mana hata shetani anaweza kushusha, CHA MSINGI NI KUANGALIA CONTENT ZIMA INAAMINIKA AU KUNA VITU VINANIPOTOSHA.
Hapo ndipo utajua wapi pa kuegamia.
 
Huu uzi umevamiwa na walokole yaarabi hebu waongoze walokole hawa katika njia iliyo nyooka..amin..amin.
 
Sasa bwana ummubiayi kwenye uzi huu umekuja kufanya nini?kama uisilamu unauchukia tu kwa sababu za utumwa au sababu zako binafsi,ni lazima uwatie watu ghadhabu,mimi huwa naheshimu imani za wengine nawewe kaa na dini yako na sisi tuwachie dini yetu.
Kwenye uzi huu nimekuja kama wengine walivyokuja ili kujadili ukweli ambao utatuweka huru. Kwani kuna sheria au condition za kuingia kwenye uzi huu? Mimi sina chuki na uislamu bali imefikia wakati tuwe wawazi bila kuoneana haibu au woga. Kwanza nusu ya familia yangu waislamu kwahiyo sioni sababu ya kuchukia uislamu bali lazima tuwe wazi juu ya hii dini kama waislamu wanavyo toa kasoro Biblia.
Kwani waislamu wanapo shambulia Biblia na ukristo wanauchukia?
 
Huu uzi umevamiwa na walokole yaarabi hebu waongoze walokole hawa katika njia iliyo nyooka..amin..amin.
Kwahiyo unawatambuwa walokole, kama Quran inavyotambua wayahudi na wakristo kuwa ni wacha Mungu?

Al-Baqara 2:62. Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatohuzunika.
 
Sawa, kaeni na dini yenu na sisi tunabaki na dini yetu,wabillahi tawfiq.
 
Kwenye uzi huu nimekuja kama wengine walivyokuja ili kujadili ukweli ambao utatuweka huru. Kwani kuna sheria au condition za kuingia kwenye uzi huu? Mimi sina chuki na uislamu bali imefikia wakati tuwe wawazi bila kuoneana haibu au woga. Kwanza nusu ya familia yangu waislamu kwahiyo sioni sababu ya kuchukia uislamu bali lazima tuwe wazi juu ya hii dini kama waislamu wanavyo toa kasoro Biblia.
Kwani waislamu wanapo shambulia Biblia na ukristo wanauchukia?
Huu uzi unazungumza sayansi katika uislamu,umeuliza umejibiwa na kupewa hoja zilizo sahihi.
Kuna nyuzi za kikristo ,wakristo wanavyobatizwa mpaka kwa kinyagwa miili,kupigwa viboko,kushikwa shikwa,wengine wanalishwa majani kama wanyama,lakini hakuna muislamu anayeingilia hizo nyuzi.
 
Back
Top Bottom