Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

every thing is in the mind....that's where it starts by knowing what you want....tuache imani kama zilivo ili waamini wasivunjike mioyo
Munataka kuiga idiology thoughts za wazungu bila ya kuelewa wamefikia vipi huko. Soma utoe ujinga.
 
Ni vizuri utoe comment uweke na proper reference ya information yako. Hapo umeongea hadithi ya Alfu lela ulela.
 
AN NISAA :56 Inathibitisha kuwa uchungu wa maumivu uko kwenye ngozi.juzijuzi tu imegunduliwa na maulamaa wa kitiba.
 
View attachment 455064
Hivyo ndivyo vyomba vya Anga vya Ancient Egypt kabla ya Muhammad
Kumbuka historia ya Moses alivyokwenda kwa pharao alitupa mti wake ukageuka nyoka na Pharao akawaita Wachawi wake wawili wakaja nao wakatupa miti yao ikageuka nyoka. Inamaanisha tokea enzi hizo Misri ilikuwa ina elimu ya hali ya juu especially katika supernatural powers and beliefs. Kwa hiyo hizo picha za vielelezo vya ndani ya Pyramid sio ajabu kuziona. Je elimu hiyo waliyokuwa nayo ilimfanya Pharao kuwa na Nguvu zaidi ya Moses??? Jibu ni hapana. Moses alikuwa na Elimu zaidi ya hao Wamisri kwa sababu he was a Prophet from God Whom belongeth All Knowledge. Vile vile Muhammad(S.W.A) is The Prophet from God, Who is God for Adam, Abraham, Moses and Jesus. Ni Mungu ambaye ametuletea hii elimu. Its undeniable facts that the knowledge of The Prophet was direct Inspiration from Allah.
 
Hizi ndio Bulb ulizokuwa unaulizia, hizi zilikuwa na miaka zaidi ya 7000 Kabla ya Quran na kabla ya Muhammad, hicho kipicha cha Chini kinaonyesha kabisa kuwa kuna Betri na waya zinazowasha hizo taa

View attachment 455066
Huwenda hao walikuwa wachawi wa Pharao wakitabiri future. Utabiri ulikuwepo tokea zamani.
 
Si kweli hayo mambo Wamisri weusi wa kale waliyagundua zaidi ya miaka 5000 iliyopita! wewe unazungumzia 1400!
Kwanini useme Wamisri WEUSI. Kwani ukisema Wamisri unabadilika nini mpaka utie UWEUSI??? Hizi mentality potofu kabisa.
 
Kuna khatari ya walokole kuturudia hapa, ya rabbi tuepushe na adhabu zako..aamin aamin.
 
Mkuu hawa vilaza Bible iliyoshushwa na Allah kupitia Jibril inakitabu kimoja tuu, TAURAT ya Musa. haya uliyoongea are too far deep for them to understand. na hiyo Taurat ya Allah imemaliza.
Huoni wanavyojichanganya eti Isa bin Mariam alizaliawa na Mariam dadaye Haroun(Imran) nduguye Musa!!

Shida yao ni Copy & Paste.
 
Clearly unaonekana kuwa wewe sio mtu ambaye anajua hesabu maana kama ungejuwa hilo basi uungetambua kuwa haisemwi golden number ni golden ratio.Wewe unaonekana ni mtu ambaye anasoma blog za wazungu wanaochanganya mambo ya ajabu ajabu.Wamisri waliweza jenga pyramid kwasababu walikuwa wamendelea katika geometry na astronomy Na sio kuhusu malaika kushuka toka mbinguni.Nakushauri kasome chaos mathematics Ndo uone jinsi gani hata hesabu yeneyew inavyodhirirsha Uwepo wa mungu.Pia kafuatilie godels incompleteness theorem ambayo ina imply kuwa Kuna vitu ambavyo vinaweza kuwa kweli lakini hesabu haitaweza kuvi prove.Kwa hyo science nayo ambayo ina base kwenye hesabu iko limited Kuna vitu ni kweli Na haitaweza kuvi proove.kila kitu kinamtukuza mungu Adi hesabu yenyewe
 
Angalia siyo "fanya research." Angalia ni observe au look. Rekebisha hiyo siyo kutudanganya sisi waislamu.
 
Naisi kiliza hapa aise acha tuh
Haswa! Ila kuna jamaa yetu hapa kazi yake ni kuwaalika walokole wenye hasira,sijui ni madhhebu gani yaarabi.mimi najiandaa na jumuah.
 
Munataka kuiga idiology thoughts za wazungu bila ya kuelewa wamefikia vipi huko. Soma utoe ujinga.
Na wewe unaiga idiology za watanzania au waarabu? Watanzania ni wenye amani na nchi zote za kiislamu ni vita na terrorism. Bahati yako uko Tanzania! Nenda Libya uone terrorist watakufanya nini?
 
Na wewe unaiga idiology za watanzania au waarabu? Watanzania ni wenye amani na nchi zote za kiislamu ni vita na terrorism. Bahati yako uko Tanzania! Nenda Libya uone terrorist watakufanya nini?
Fuatilia historia vzuri uone hvo vikundi vimeanzishwa Na nani na ni nani anaewapa ela ya kununua adi vifaru Ndo utaelewa vzur kabla hujaanza kuongea propaganda
 
yaani wewe ni kilaza kuliko maelezo.
Nakubaliana na wewe kweli mnamfuata Ibrahim wa kwenye Quran.
Kama ni Abraham wa kwenye Bible inayomuongelea Mungu Yehova, sikubaliani nawe.
Hapo kwenye nyekundu, ni nani alikuwa anatoa amri kumwambia nani awaambie waseme tumemwamini?
Kwanini/ nini kilitokea mpaka hiyo amri/agizo likatolewa?
 
Kuna khatari ya walokole kuturudia hapa, ya rabbi tuepushe na adhabu zako..aamin aamin.
Hamna hatari yoyote, wote sisi hapa yumejitiisha na tunataka kujifunza zaidi kwa ndugu zetu waislamu. Lakini, mkisema uwongo tutawakosoa.

Al baqarah 2:42 42. Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…