Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?

Quran inasema hivi:-
10:90-92
90.
Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!

91.
Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!

92.
Leo, basi, TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO, ili uwe ISHARA kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.

Sio Pharao mmoja ndio aliyekaushwa, Mapharao na watu wote waliokuwa na heshima zao walikaushwa na wapo mpaka leo, huyo story yako ya kwenye Quran inaelezea hali halisi ya vitu vilivyokuwepo hapo Egypty wala sio ufunuo au kitu kipya kutokea, so Quran imeelezea vitu vilivyokuwepo
 
Tatizo ukiwa na chuki hautaendelea ss myoa mada kama alivyosema mambo hayo mtume aloyataja miaka 1400 nyuma na kipindi hicho sayansi ilikuwa bado duni sana yaani kulikuwa hamna satelites(artificial satellites) na pia vipimo vingine ila yy aliweza kuyajua hayo sasa alijua juaje???

Sio kweli kaka, Muhamad kaja kakuta Dunia imeshaendelea sana tu, hapo Uarabuni kulikuwa na WanaSayansi wengi mno, kulikuwa na wataalamu wa Anga, madawa, Chemistry, Physics nk, Kilichoandikwa kwenye Quran kilikuwepo muda mrefu kabla ya huyo Muhamad
 
Habari, mengi yameandikwa na yapo wewe chagua topic gani katika hio list then nitakupa aya zote zimeeleza wazi. na nita refere kwa upande wa science na utaona facts kabisa wazi wazi. Quran is a miracle
Toa evidence za kipekee na isionekane imetajwa ktk vitab vlvyotangulia kama taurat na manabii,ikionekana bac atakuwa ame cop na kupest maana hvyo vtab vlitangulia miaka mingi kabla yke
 
Sio Pharao mmoja ndio aliyekaushwa, Mapharao na watu wote waliokuwa na heshima zao walikaushwa na wapo mpaka leo, huyo story yako ya kwenye Quran inaelezea hali halisi ya vitu vilivyokuwepo hapo Egypty wala sio ufunuo au kitu kipya kutokea, so Quran imeelezea vitu vilivyokuwepo
Tafadhali ungetoa kabisa na picha za hao mafarao waliokaushwa kabla ya huyo aliyetajwa kwenye qur-an tukufu
 
Kwa hiyo tuseme yesu hakutahiriwa????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nauliza 2

Nani anaongelea Habari za Yesu hapa?, hata kama Yesu alitahiliwa, hicho kitendo kilianzia egypty miaka mingi kabla ya yeye Kuzaliwa
 
Sio kweli kaka, Muhamad kaja kakuta Dunia imeshaendelea sana tu, hapo Uarabuni kulikuwa na WanaSayansi wengi mno, kulikuwa na wataalamu wa Anga, madawa, Chemistry, Physics nk, Kilichoandikwa kwenye Quran kilikuwepo muda mrefu kabla ya huyo Muhamad
Hamna evidence inayoonyesha kuwa hapo awali kulishakuwa na chemists kama wa hivi morden
 
Sio Pharao mmoja ndio aliyekaushwa, Mapharao na watu wote waliokuwa na heshima zao walikaushwa na wapo mpaka leo, huyo story yako ya kwenye Quran inaelezea hali halisi ya vitu vilivyokuwepo hapo Egypty wala sio ufunuo au kitu kipya kutokea, so Quran imeelezea vitu vilivyokuwepo
Yep imeeleza vitu vilivyokuepo na vijacho. Yaani ukitaka kujua na vijacho vimo huo farao wa Mussa Jaribuni kuutokomeza mwili wake. Fanya uharibifu wa aina yoyote ile uone kama utafanikisha. Ukifanikisha Quran itakua ya uongo!! Maana hilo andiko utakua umelibadili.
 
Nani anaongelea Habari za Yesu hapa?, hata kama Yesu alitahiliwa, hicho kitendo kilianzia egypty miaka mingi kabla ya yeye Kuzaliwa
Mi najua m2 wa kwanza kujitahiri alikuwa ibrahim sasa hao wa africa sijui?
 
Hamna evidence inayoonyesha kuwa hapo awali kulishakuwa na chemists kama wa hivi morden

Kaka kwani Chemistry ni nini?
Kwa taarifa yako kufua udongo mpaka upate chuma ni Chemistry
Kuweza kuuhifadhi mwili kwa miaka zaidi ya miaka 6000 ni Chemistry imetumika
Kulikuwa na perfume za kila aina hiyo ni Chemistry
 
Tuongeleeee kuhusu alluminium mkuu kwa nn imeanza kutumika 20th century na kwa nn watu wa zamani walikuwa hawaitumii na ilikiwa ipo nyingi tu kwa ardhi?
 
Tuo
Hao mbona wameoza mzee mcheki yule aliyetajwa kuwa mungu atamuhifadhi
Tuonyeshe huyo aliyetajwa kwenye Quran, umeshawahi kumwona?

Usiwe mtumwa wa kujinyima elimunkwa kungangania hicho kitabu chako pekee, hii dunia ilishafika mbali sana Kimaendeleo ya Kitabibu, Kisayansi, na Kiutamaduni

Soma soma soma kaka
 
Kama ilishafika mbali kitambo hicho naomba unipe evidence ya artificial satellite kipindi hicho na kwa nn walishindwa?
 
ooooh unapotea kijana, kadanganywa nani hapo? mbona una hasira saana punguza munkari soma topic juu vizuri hapo
 
Tatizo una panic kama utaki kua Quran imetaja vingi na science ya leo ime kuja kuvivumbua mfano miaka ya kina Albert ndo wamekuja kujua mambo ya black holes space and time ila kumbe vilikuwepo kwenye kitabu na Mungu kaeleza 1400 iliopita asa una bisha nini, umeomba ya pharaoh hio hapo aya ya kuifadhiwa kwake kama fundisho ili nyie leo mnaokufuru muogope. mpate pakujifunzia What, now! When previously you rebelled and were one of the corrupters? Today we will preserve your body so you can be a Sign for people who come after you. Surely many people are heedless of Our Signs." (Qur'an, 10:91-92)
 
Kama ilishafika mbali kitambo hicho naomba unipe evidence ya artificial satellite kipindi hicho na kwa nn walishindwa?
usibishane nae huyo anajua ukweli ila anajifanya bila bila ila ukweli anajua. atoe mstari wowote kwenye bible ambao ume kua proved scientific kua kweli alafu aseme mie namtolea aya hapa kibao ya mambo yamekua proved katika hi century ya 20
 
Back
Top Bottom