Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Si kweli hayo mambo Wamisri weusi wa kale waliyagundua zaidi ya miaka 5000 iliyopita! wewe unazungumzia 1400!
To a ushahidi wa maandiko unayoamini wewe,mleta uzi kaleta ishahidi wa maandiko anayoyaamini,ambayo pia wako mabilioni ya watu wanayaamini maandiko hayo(sio lazima na wewe uwamini).
 
Tatizo una panic kama utaki kua Quran imetaja vingi na science ya leo ime kuja kuvivumbua mfano miaka ya kina Albert ndo wamekuja kujua mambo ya black holes space and time ila kumbe vilikuwepo kwenye kitabu na Mungu kaeleza 1400 iliopita asa una bisha nini, umeomba ya pharaoh hio hapo aya ya kuifadhiwa kwake kama fundisho ili nyie leo mnaokufuru muogope. mpate pakujifunzia What, now! When previously you rebelled and were one of the corrupters? Today we will preserve your body so you can be a Sign for people who come after you. Surely many people are heedless of Our Signs." (Qur'an, 10:91-92)
Mi ninacho amini Quran imeelezea vitu vilivyokwisha kuwepo sasa miaka 1400
Wewe unaona ni mbali sana?
Huyo mtume alivyoandika eti na tukamvusha Israel ilihali ilikuwa ilishatokea muda mrefu!!??
Wat de hell!!??
 
Ni kweli kabisa kwamba pale Egypt sehemu ya Pyramid ya Giza na sanamu ya Simba pamewekwa au kufichwa sayansi kubwa sana duniani. Mfano ni Golden number na pai ya hesabu ambavyo ukivichanganya kidogo vinakupa speed ya mwanga.
Wa Egypt hawakuwa hawa Waarabu. Hawa waliwavamia real Egyptian na kuwafukuza maeneo hayo. Kuna kila dalili kuwa wale walikuwa Weusi na moja ya mabaki yao yanaweza kuwa ni kabila la Dogon wanaoishi Mali.
Kuna sayari ambazo Dogoni alizisema miaka mingi nyuma ndiyo kwanza Nasa wamekuja kuziona kwa kutumia powerful telescope.
Kuna story kwenye Biblia inasema kuwa kuna watu walikuja kutoka mbinguni na baada yakuwaona Mabinti wa Dunia hii wakawapenda. Wengine wanadai kuwa hawa jamaa walikuja Babylon kuja kutafuta dhahabu. Kumbuka dhahabu ni best material kwa ajili ya kupitisha joto na umeme.
Walipoona hii kazi ngumu sana basi wakawazalisha Binadanu na wale watoto wakawa ni kama binadamu ila Super natural talented. Hawa ndiyo inasemwa walikuja kujenga hizo Pyramid na vitu vingine baadaye.

Vatican hizi siri wanazo siku nyingi na ukiangalia makanisa hata ya zamani sana, walitumia Golden Ratio kujenga. Bendera ya USA imetengenezwa kwa kutumia Golden Ratio. Symbol ya Toyota vilevile.

Swali hapa ni vipi Vatican walijenga hivi? Ni lazima walijua siri hii. Ndiyo maana CIA na Vatican ni marafiki wakubwa na wao ndiyo walinzi wa siri hizi za dunia.

Mwenye hamu ya kutaka kujua hili basi aanzie kufuatilia matukio ya vifo vya wale (Samaki wakubwa?) Waliokuwa wakiokotwa wamekufa kwenye fukwe za bahari. Anzia tukio la wale waliokutwa wamekufa RSA.
Njoo angalia siri ya Pyramid ya Giza. Njoo usome au sikiliza siri ya kabila la Dogoni na hapo utapata mwanga mkubwa wa hizi habari. Dogoni wao wanathibitisha kabisa walitoka angani kwenye sayari ndogo pembeni mwa Sirius.
[emoji15] [emoji15] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Mkuu umeongea mambo makubwa sana.
Sio blabla za sijui sayansi ya miaka 1400.
Wakati zaidi ya miaka 10000 iliyopita wachina walikua wameshagundua kioo kilichokua kinafanya kazi kama X ray.
 
Hata kipindi cha mtume mwenyewe wapo makafiri walipinga wazi wazi utume wa mtume.
 
Tatizo hatujifunzi historical science hii dunia ipo miaka mingi iliyopita Na kila zama walitumia technolojia yao kwa zama zao
 
[emoji15] [emoji15] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Mkuu umeongea mambo makubwa sana.
Sio blabla za sijui sayansi ya miaka 1400.
Wakati zaidi ya miaka 10000 iliyopita wachina walikua wameshagundua kioo kilichokua kinafanya kazi kama X ray.
X-rays were discovered in 1895 by Wilhelm Conrad Roentgen (1845-1923) who was a Professor at Wuerzburg University in Germany. Working with a cathode-ray tube in his

laboratory, Roentgen observed a fluorescent glow of crystals on a table near his tube. The tube that Roentgen was working with consisted of a glass envelope (bulb) with positive and negative electrodes encapsulated in it. The air in the tube was evacuated, and when a high voltage was applied, the tube produced a fluorescent glow.

Roentgen shielded the tube with heavy black paper, and discovered a green colored fluorescent light generated by a material located a few feet away from the tube.

He concluded that a new type of ray was being emitted from the tube. This ray was capable of passing through the heavy paper covering and exciting the phosphorescent materials in the room. He found that the new ray could pass through most substances casting shadows of solid objects.

Roentgen also discovered that the ray could pass through the tissue of humans, but not bones and metal objects. One of Roentgen's first experiments late in 1895 was a film of the hand of his wife, Bertha. It is interesting that the first use of X-rays were for an industrial (not medical) application, as Roentgen produced a radiograph of a set of weights in a box to show his colleagues.
>>>>Naomba niwekee hiyo ya wachina nayo niione.
 
Asante mkuu nimelifuatilia bandiko lako na link uliyonipa. Nimelazimika kuchimba mambo kadhaa na kugundua kuwa hinduism inakuwa termed as oldest religion on earth nadhani wanatumia kigezo kuwa ukristo ulianzishwa baada ya kuja yesu na uislam umeanzishwa na muhammad miaka takribani 600 baadae wakati huo hinduism ilikuwa hata kabla ya kristo.

Inasemekana kwamba hinduism ilianza wakati wa zama za chuma "iron age". Nikitumia quran kama reference yenyewe inaonyesha kuwa chuma kilianza kutumika enzi za nuhu A.S(kama sijakosea) ambaye hata yeye pia habari zake zinapatikana katika quran. Huoni kama kuna uwezekano kuwa embryology ilifahamika mapema hata huko mashariki ya kati?.

Pia naomba nikukumbushe kuwa quran ni muunganiko wa vitabu vi4 ambavyo ni injili, taurati, zaburi na furqan hivyo muingiliano wa maandiko kutoka kwenye moja wapo ya hivyo vitabu vi4 hapo juu usikukanganye. ALAMSIKI
Umeelewaje walivyosema Hinduism ni dini ya zamani kuliko zote katika hizi dini za sasa?
 
Kuna mbingu saba kwenye universe kweli?Mtume muongo na amefeli kama walivyo wenzake akina Yesu na Saibaba nk...mtu sio mwanasayansi anajifanya anajua sayansi,what a shame to mtume...

Yaani wanadamu sijui lini tutakataa kudanganywa na mmoja wapo wa wanaadamu wenzetu eti anajifanya kuna "mungu" somewhere kampa "maono".

Uwongo uwongo tu!
Sawa mfuasi wa jay z. Naona mtume wenu Jay Z na wenzake huwa wanadai hamtokufa(wajenzi huru). Si bora anayesema Kuna mbigu saba! Endeleeni kuota! Mjenzi huru mkubwa we!
 
Toa evidence za kipekee na isionekane imetajwa ktk vitab vlvyotangulia kama taurat na manabii,ikionekana bac atakuwa ame cop na kupest maana hvyo vtab vlitangulia miaka mingi kabla yke
We kweli kituko braza/sister
 
Nadhani ungetumia lugha nyepesi kama aliyotumia mkuu kituko ningekuelewa pia. Anyway, hiyo kiraza naiweza itafasiri kama ******?.
Mzee kitu nilichokwambia si lugha ngumu au ya matusi sema Nimelenga ukweli uliopo, Na mara zote ukweli huuma! Hamtaweza kufika Conglusion hapa sababu wewe umebase kwenye mambo ya kuamini (Imani) (Hata kama hayapo sawa unatakiwa kuamini sababu ni imani) na wengine wote hapa wamekaa kwenye Fact (Ukweli ulio wazi kabisa) We mwenyewe ungekuwa na Hekima usingeanza kunichora kwa Username yangu! kwani unadhani nilishindwa kuchagua Username Nyingine!

Haya kama Unadhani nakudanganya kuwa wewe umekaa hapa kiimani zaidi nipe Uthibitisho na mistari inayoelezea Bing bang kwenye kitabu chako.
 
To a ushahidi wa maandiko unayoamini wewe,mleta uzi kaleta ishahidi wa maandiko anayoyaamini,ambayo pia wako mabilioni ya watu wanayaamini maandiko hayo(sio lazima na wewe uwamini).
Mzee mimi sipo kwenye hii maada kiimani! nipo Hihistoria! Ni Prove gani aliyoitoa mtoa maada kimaandiko, Ameulizwa hapa alete kifungu kinachozungumzia Blackhole kwenye maandiko tuone!
 
Mzee kitu nilichokwambia si lugha ngumu au ya matusi sema Nimelenga ukweli uliopo, Na mara zote ukweli huuma! Hamtaweza kufika Conglusion hapa sababu wewe umebase kwenye mambo ya kuamini (Imani) (Hata kama hayapo sawa unatakiwa kuamini sababu ni imani) na wengine wote hapa wamekaa kwenye Fact (Ukweli ulio wazi kabisa) We mwenyewe ungekuwa na Hekima usingeanza kunichora kwa Username yangu! kwani unadhani nilishindwa kuchagua Username Nyingine!

Haya kama Unadhani nakudanganya kuwa wewe umekaa hapa kiimani zaidi nipe Uthibitisho na mistari inayoelezea Bing bang kwenye kitabu chako.
Big Bang in Quran

Mkuu nilitaka tufunzane na kueleweshana tu na si vinginevyo. "Imani" haina maana kuwa ukumbatie tu jambo hata lile ambalo halina ushahidi au mashiko. Kujifunza kwa mijadala kama hii kunaleta hamasa zaidi ya kujifunza hasa katika kile unachokiamini na kutafuta ukweli zaidi.
Anyway samahani kama umekwazika mkuu, ni katika jitihada tu za kujifunza. Amani iwe juu yako.
>>>>>>>>>Wassalaam<<<<<<
 
Asante mkuu nimelifuatilia bandiko lako na link uliyonipa. Nimelazimika kuchimba mambo kadhaa na kugundua kuwa hinduism inakuwa termed as oldest religion on earth nadhani wanatumia kigezo kuwa ukristo ulianzishwa baada ya kuja yesu na uislam umeanzishwa na muhammad miaka takribani 600 baadae wakati huo hinduism ilikuwa hata kabla ya kristo.

Inasemekana kwamba hinduism ilianza wakati wa zama za chuma "iron age". Nikitumia quran kama reference yenyewe inaonyesha kuwa chuma kilianza kutumika enzi za nuhu A.S(kama sijakosea) ambaye hata yeye pia habari zake zinapatikana katika quran. Huoni kama kuna uwezekano kuwa embryology ilifahamika mapema hata huko mashariki ya kati?.

Pia naomba nikukumbushe kuwa quran ni muunganiko wa vitabu vi4 ambavyo ni injili, taurati, zaburi na furqan hivyo muingiliano wa maandiko kutoka kwenye moja wapo ya hivyo vitabu vi4 hapo juu usikukanganye. ALAMSIKI

Kaka hapo tunazungumzia Hindu, ambayo inashahabiana kwa kiasi fulani na Buddhism, hoja yako ina mapungufu kidogo, kama unasema Quran ni muuanganiko wa vitabu vinne,Torati-Musa, Zaburi-Daudi, Injili-Yesu na hiyo Furkan- Mohammad! Wapi katika hivyo vitabu vitatu vya Musa, David na Yesu kumezungumziwa mambo ya Embryology? Unakuta hakuna zaidi ya kwenye Furkan ambacho ni kitabu kichanga sana cha mambo ya Dini ukiringanisha na vitabu vya Hindu

Saizi ya Quran ni hapa
 
Ni kweli kabisa kwamba pale Egypt sehemu ya Pyramid ya Giza na sanamu ya Simba pamewekwa au kufichwa sayansi kubwa sana duniani. Mfano ni Golden number na pai ya hesabu ambavyo ukivichanganya kidogo vinakupa speed ya mwanga.
Wa Egypt hawakuwa hawa Waarabu. Hawa waliwavamia real Egyptian na kuwafukuza maeneo hayo. Kuna kila dalili kuwa wale walikuwa Weusi na moja ya mabaki yao yanaweza kuwa ni kabila la Dogon wanaoishi Mali.
Kuna sayari ambazo Dogoni alizisema miaka mingi nyuma ndiyo kwanza Nasa wamekuja kuziona kwa kutumia powerful telescope.
Kuna story kwenye Biblia inasema kuwa kuna watu walikuja kutoka mbinguni na baada yakuwaona Mabinti wa Dunia hii wakawapenda. Wengine wanadai kuwa hawa jamaa walikuja Babylon kuja kutafuta dhahabu. Kumbuka dhahabu ni best material kwa ajili ya kupitisha joto na umeme.
Walipoona hii kazi ngumu sana basi wakawazalisha Binadanu na wale watoto wakawa ni kama binadamu ila Super natural talented. Hawa ndiyo inasemwa walikuja kujenga hizo Pyramid na vitu vingine baadaye.

Vatican hizi siri wanazo siku nyingi na ukiangalia makanisa hata ya zamani sana, walitumia Golden Ratio kujenga. Bendera ya USA imetengenezwa kwa kutumia Golden Ratio. Symbol ya Toyota vilevile.

Swali hapa ni vipi Vatican walijenga hivi? Ni lazima walijua siri hii. Ndiyo maana CIA na Vatican ni marafiki wakubwa na wao ndiyo walinzi wa siri hizi za dunia.

Mwenye hamu ya kutaka kujua hili basi aanzie kufuatilia matukio ya vifo vya wale (Samaki wakubwa?) Waliokuwa wakiokotwa wamekufa kwenye fukwe za bahari. Anzia tukio la wale waliokutwa wamekufa RSA.
Njoo angalia siri ya Pyramid ya Giza. Njoo usome au sikiliza siri ya kabila la Dogoni na hapo utapata mwanga mkubwa wa hizi habari. Dogoni wao wanathibitisha kabisa walitoka angani kwenye sayari ndogo pembeni mwa Sirius.
Mkuu endeleza kuhusu hao samako na hiyo jamii ua dogon,kwani mimi nilisikia kuwa ni wayaud walishuka tona ktk sayari flan ila ni zamani sana jata siikumbuki vizuri
 
HUNA ADABU WE! NDIO YESU KAKUFUNDISHA KAULI HIZI KWA WALE WANAOKUZIDI KATIKA JAMII. KUWA NA ADABU KAMA HUWEZI KUJIZUIA KAA KIMYA.
Mbona nawe wataka kuwa na akili kama zake??tumieni hekima kwa mitume wa mungu,mafundisho yenu yasiwe kufuru kwa mitume,
 
image.jpg image.jpg image.jpg image.jpg

Kaka huo ndio ukweli, kuna Farsi mwenye mbawa (Ibraq) amezungumzwa kwenye vitabu kuwa alimbeba Mtume, kwa taarifa tu hizo zilikuwa hadithi za zamani za watu wa Misri

Mi ninacho amini Quran imeelezea vitu vilivyokwisha kuwepo sasa miaka 1400
Wewe unaona ni mbali sana?
Huyo mtume alivyoandika eti na tukamvusha Israel ilihali ilikuwa ilishatokea muda mrefu!!??
Wat de hell!!??

Kaka huo ndio ukweli, kuna Farasi mwenye mbawa (Ibraq) anazungumzwa kuwa alimbeba Mtume, hizo zilikuwa hadithi za zamani za watu wa Misri
 
1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
io ni miujiza ya Mungu mkuu ye nod mwenye ulimwengu
 
Back
Top Bottom