Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Madaktari wanakuja kutoka Saudia nchi ya kiislamu,kuja kutibu moyo wagonjwa Muhimbilli bila kupasuwa kifuwa cha mgonjwa wala kusimamisha moyo.Hiii operesheni kama hii alifanyiwa Mtume Muhammad,na akailezea miaka 14000 iyopita,alifanyiwa na malaika walitotumwa na Allah.Leo miaka 14000 imepita ndio inafanyika,na madaktari wanaokuja kuifanya ni madaktari waislamu wanatoka nchi aliozaliwa na kuishi Mtume Muhammad(SAW).
Hawa madaktari waliwahi kuja may 2015 kutoka Prince Sultan Cardiac Centre,iliyoko Riyadhi Saudia.
Na wanakuja tena mwezi huu pia,kwa tiba ya moyo,bila kupasua kifua wala kusimamisha moyo.
Sahihi Muslim,Book 001,Number 0314:
"Then a golden basin containing the water of Zamzam was brought to me and my heart (not chest)was opened up to such and such part."
 
Uislamu ulikuja kipindi ambacho wanasayansi walisha anza kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali.
Hivyo kilicho fanyika ni kwa wale waandishi wa Quran kuchukua baadhi ya tafiti hizo na know ziweka kwenye Kitabu chao.
Pia walichukua baadhi ya vitabu vya kwenye biblia na kuviingiza kwenye Quran, waliweza kubadilisha baadhi ya hadithi ziendane na matakwa yao.
Kimsingi uislamu ni dini ya kutengenezwa

1. TUPE HIVYO VITABU! NA TAFITI MBALI MBALI.
HAKUNA HATA KITABU KIME SEMA NYUKI MWANAMKE NDO ANATENGENEZA ASALI.

2. KAMA TUMECHUKUA KWENYE BIBLE MBONA BIBLE ENYEWE INA MAKOSA KIBAO NA HATA SCIENCE IMEIMBUA SAANA TUH, ASA MTU UNA COPY VIPI PAPER LA MAKOSA ALAFU UJE KUFAUHULU MTIHANI INAINGIA AKILINI????

3. HADITHI GANI? TUPE HIZO HADITHI ACHA KUPOTOSHA WATU.

4. TUPE USHAHIDI UMETENGENEZWAJE???????
 
TATIZO NYINYI MNA JUDGE UISLAM KUPITIA WATU. kisa mtu muislam basi na tabia zake mnafanya ndo ui islam.
soma uislam mtajua mengi.
 
Hivyo vitabu ni vya Allah pia,sio vitabu vingine vyovyote
Qur'an 57:25
"
Kwa hakika tuliwapeleka Mitume wetu kwa dalili waziwazi na tukaviteremsha VITABU na uadilifu pamoja nao,ili watu wasimamie uadilifu..."
Vitabu hivyo ni
1.Suhufi kwa Ibrahim
2.Taurati kwa Musa
3.Zaburi kwa Daudi
4.Injili kwa Issa
5.Qur'an kwa Muhammad
Unashangaa nini kwa yeye Muhammad kudesa habari humo na kujifanya ni habari mpya!
 
Aja desa, na kama kudesa una desaje kwenye vitabu ambavyo kuna uongo????? bible imekua proved mara kibao ina makosa!!!!!!!
 
TATIZO NYINYI MNA JUDGE UISLAM KUPITIA WATU. kisa mtu muislam basi na tabia zake mnafanya ndo ui islam.
soma uislam mtajua mengi.
Hebu kuwa serious japo kidogo! Tuna judge Uislam kupitia mtu kisa muislam. Muhammad alikuwa mtu au mungu?
usikasirike kutajwa Muhammad jibu tu swali alikuwa nani. kifuatacho utatueleza vizuri tuujue uislam.
 
Unatoka nje ya Mada,jibu Science ulizotumiwa,zilizopo ndani ya Qur'an.Kama ziliwahi kutajwa katika vitabu,kabla Qur'an kutaja.
 
Madaktari wanakuja kutoka Saudia nchi ya kiislamu,kuja kutibu moyo wagonjwa Muhimbilli bila kupasuwa kifuwa cha mgonjwa wala kusimamisha moyo.Hiii operesheni kama hii alifanyiwa Mtume Muhammad,na akailezea miaka 14000 iyopita,alifanyiwa na malaika walitotumwa na Allah.Leo miaka 14000 imepita ndio inafanyika,na madaktari wanaokuja kuifanya ni madaktari waislamu wanatoka nchi aliozaliwa na kuishi Mtume Muhammad(SAW).
Hawa madaktari waliwahi kuja may 2015 kutoka Prince Sultan Cardiac Centre,iliyoko Riyadhi Saudia.
Na wanakuja tena mwezi huu pia,kwa tiba ya moyo,bila kupasua kifua wala kusimamisha moyo.
Sahihi Muslim,Book 001,Number 0314:
"Then a golden basin containing the water of Zamzam was brought to me and my heart (not chest)was opened up to such and such part."

Ona sasa, tunaposema mnakariri sana mnakuwa wakali.
hapo kwenye nyekundu. unasema hawapasui kifua kama alivyofanyiwa Qathem(Muhammad). Hadith yako, muhammad anasema kifua changu kifunguliwa kutoka kutoka hapa mpaka hapa? au kiingereza mimi sijui?
mbona hujielewi??
 
Soma vizuri,hapakutajwa kifua.
 
Unatoka nje ya Mada,jibu Science ulizotumiwa,zilizopo ndani ya Qur'an.Kama ziliwahi kutajwa katika vitabu,kabla Qur'an kutaja.
Wewe na mimi nani ametoka kwenye mada?
ukiwa muongo usiwe msahaulifu. sentensi yako mwenye unaikana !!
Usitoke nje ya Mada,umepewa science zilizotajwa katika Qur'an,na ni nyingi sana,lakini hujaijibu hats moja,kama ilitwa kabla Qur'an haijaitaja.
wewe quran yako unayong'ang'ania imekuja mwaka gani??? unatuchosha sisi.
unaambiwa Muhammad ni mzee wa C&P unabisha.
nikuulize swali moja tu.
Piramidi za Misri zilijengwa wakati wa Muhammad wakitumi science hiyo ya quran?
 
Soma vizuri,hapakutajwa kifua.
kweli sasa hapa umedhirisha ukilaza wako. sasa hilo beseni la gold lilikujaje na mtima wa Muhammad? na kutoka wapi? na kwanini uwe wazi?
inaelekea lugha iliyotumika ni Classic Arabic na mie sijui kuongea kiarabu.
 
Hebu kuwa serious japo kidogo! Tuna judge Uislam kupitia mtu kisa muislam. Muhammad alikuwa mtu au mungu?
usikasirike kutajwa Muhammad jibu tu swali alikuwa nani. kifuatacho utatueleza vizuri tuujue uislam.
Ni mtu kama watu wengine, ni binadamu wakawaida kama yesu vile alivyokua.
 
Wewe na mimi nani ametoka kwenye mada?
ukiwa muongo usiwe msahaulifu. sentensi yako mwenye unaikana !!

wewe quran yako unayong'ang'ania imekuja mwaka gani??? unatuchosha sisi.
unaambiwa Muhammad ni mzee wa C&P unabisha.
nikuulize swali moja tu.
Piramidi za Misri zilijengwa wakati wa Muhammad wakitumi science hiyo ya quran?
Wewe unakazana na mapramidi,tunakupa modern science ,iliyotajwa katika Qur'an miaka 1400 iliyopita.Ndio sasa wataalamu wamegundua.
Mapiramidi yamejengwa sehemu nyingi duniani sio Misri tu,na mpaka sasa yanaendeleya kujengwa duniani.
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Akili kubwa hii! The GT.
 
Ni mtu kama watu wengine, ni binadamu wakawaida kama yesu vile alivyokua.
Asante.
nikurekebishe kama ulikuwa hujui.
Usimfananishe Yesu na Muhammad wal binadamu yeyote yule unayemjua wewe.
Yesu kazalia na BIKIRA, Muhammad no.
Yesu ni NENO la MUNGU, Muhammad no.
Yesu ni ROHO wa MUNGU, Muhammad no.
Yesu hakufanya DHAMBI, Muhammad alifanya sanaa,( quran yake mwenye inasema tumekusamehe zambi zako ulifanya na utakazofanya baadae)
Hayo yote hapo juu quran ya Muhammad inathibitisha.

Sasa turudi kwenye hoja ya kuujua uislam, na kumlingana na matendo yake ambayo yanamfanya kuwa ndio uislam ama tofauti. Unajifunza kutoka kwa nani kati yako na Muhammad?
 
Wewe unakazana na mapramidi,tunakupa modern science ,iliyotajwa katika Qur'an miaka 1400 iliyopita.Ndio sasa wataalamu wamegundua.
Mapiramidi yamejengwa sehemu nyingi duniani sio Misri tu,na mpaka sasa yanaendeleya kujengwa duniani.
Duuuh!!
Wewe unaelewa kweli au ndio kukaririshwa kunakufanya unashindwa kujibu swali?
Rudi kwa shekh Kipoozeo akaupe darsa tena uje na majibu.
mtu gani unashindwa kutofautisha kati ya 2000yrs na 1400yrs which one is oldest!!
unaleta umburula hapa eti morden science.
Someni muelewe siyo kila kitu ni kukariri tu.
nakuliza swali tena.
wewe na babako nani mkubwa/alitangulia kuzaliwa?
 
Madaktari wanakuja kutoka Saudia nchi ya kiislamu,kuja kutibu moyo wagonjwa Muhimbilli bila kupasuwa kifuwa cha mgonjwa wala kusimamisha moyo.Hiii operesheni kama hii alifanyiwa Mtume Muhammad,na akailezea miaka 14000 iyopita,alifanyiwa na malaika walitotumwa na Allah.Leo miaka 14000 imepita ndio inafanyika,na madaktari wanaokuja kuifanya ni madaktari waislamu wanatoka nchi aliozaliwa na kuishi Mtume Muhammad(SAW).
Hawa madaktari waliwahi kuja may 2015 kutoka Prince Sultan Cardiac Centre,iliyoko Riyadhi Saudia.
Na wanakuja tena mwezi huu pia,kwa tiba ya moyo,bila kupasua kifua wala kusimamisha moyo.
Sahihi Muslim,Book 001,Number 0314:
"Then a golden basin containing the water of Zamzam was brought to me and my heart (not chest)was opened up to such and such part."
Appollo siku hizi ipo Saudia. India na Saudia zimeungana siku hizi.
kweli nyie vilaza.
 
Back
Top Bottom