Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kwani waislamu wanapo shambulia Biblia na ukristo wanauchukia?
Mimi nimeushambulia ukristo?hapa tulikuwa tunamsifu nabii muhammad saw,kama nyinyi hamumkubali kipenzi cha mungu,fungueni uzi wenu watakuja walokole wenzenu mtapeana darsa zenu mbalimbali.
 
Huu uzi unazungumza sayansi katika uislamu,umeuliza umejibiwa na kupewa hoja zilizo sahihi.
Kuna nyuzi za kikristo ,wakristo wanavyobatizwa mpaka kwa kinyagwa miili,kupigwa viboko,kushikwa shikwa,wengine wanalishwa majani kama wanyama,lakini hakuna muislamu anayeingilia hizo nyuzi.
Wafungue nyuzi zao kama watatuona,labda tutaingia na kusoma tu,lakini kumkashifu yesu kwetu mwiko,sisi sio wapagani au heathens,wahadha salaam aleikum ndugu zetu walokole.
 
Hawa wakristo,pakifunguliwa Uzi wa kiislamu lazima wudandie.Uzi huu wazungumza sayansi katika Qur'an,uzi haujataja dini yoyote,isiokuwa ya kiislamu.Wala kutaja kitabu cha dini nyingine.lakini wameuvamia uzi,utafikiri uzi umekashifu dini yao.
 
Ingawa nimezaliwa mkristo Na natambulika hvo ila hamna dini ambayo imeonyesha hekima Na maarifa kama uislamu kuanzia uumbaji wa ulimwengu kila kitu kiko accurate kabisa
asante, kukubali hivyo hakubadilishi imani yako, ila watu wanashindwa kuelewa wanakua against bila hoja asa sijui ni chukitu au mindset kuhusu uislam kua ni ovyo, kuna hizi issue ukipata muda wako google them search word ni "Misconceptions about islam" utaona nyingi tuh wanaelezea kwa kina hasa za Dr Naik. Stay blessed
 
Soma uislamu uelewe.Mtume Muhammad hana ugomvi na Yesu.Mtume Muhammad ni Mtume wa Allah na na Yesu ni Nabii wa Allah.Hawana ugomvi.Tatizo lako wachanganya mambo katika uislamu.Hakuna mahali Mtume Muhammad na Yesu watapigana.
Katika uislamu,siku Yesu alipokuwa anataka kusulubiwa,aliomba kwa Mungu,amuepushe na kikombe kile cha umauti.Aliomba sana.Mungu akamkubalia ombi lake,akamuokoa kumchukuwa mbinguni,hawakumsulubu wala hawakumuuwa,hayo ndio maelezo ndani ya Qur'an.Fikiria ikiwa Yesu,aliomba kikombe cha kifo kimuepuke na Mungu hakumkubalia,kwa nini asimkubalie?Kumbuka Yesu aliomba sana.Na aliyoko mbinguni hai si Yesu tu,hata Enock,ambaye alichukuliwa na upepo wa kisuli suli(naye pia wakati wake ukifika atakufa).Yaonyesha Biblia husomi na Qur'an unaitafuta kwenye website za maadui wa uislamu.Wanaopindisha ukweli.Katika uislamu sahihi hakuna mtu anayesubiriwa anayeitwa Mahad,hizo ni itikadi za wasio waislamu,wakajiita waislamu.Nina hakika itakuwa wafunguwa website zinazoanzishwa na wasiokuwa waislamu,wakajifanya ni website za uislamu.
Ni sawa muislam,afunguwe website ya Mormonism,kutafuta habari za ukristo.Kwa asiye jua ataona Mormonism ni wakristo wana musmini Yesu,lakini kumbe wako tofauti sana na ukristo.
nice response...
 
Saasa tunaweza kuendelea na darsa,Qur'an ni muujiza mkubwa kabisa,hata wakati ukiwa unaisoma roho inapoa baridii,na kuna sura nyingine zinazo ongelea adhabu ya jahanam,khofu inakuingia mpaka unaanza kutetemeka..
 
Saasa tunaweza kuendelea na darsa,Qur'an ni muujiza mkubwa kabisa,hata wakati ukiwa unaisoma horo inapoa baridii,na kuna sura nyingine zinazo ongelea adhabu ya jahanam,khofu inakuingia mpaka unaanza kutetemeka..
ni kweli kabisa na hata ikiongelewa pepo nafsi inatulia inatamaniii, mfano mzuri nenda youtube search expriment on Quran, jamaa anatoka na Quran na play ana mpa mtu sio muislam asikilize jamaa wazungu wanalia wanaulizwa unajisikiaje baada yakusikiliza anakuambia peace,amani utulivu na awajui nini na jamaa ana wambia hio ni Quran.
 
Saasa tunaweza kuendelea na darsa,Qur'an ni muujiza mkubwa kabisa,hata wakati ukiwa unaisoma horo inapoa baridii,na kuna sura nyingine zinazo ongelea adhabu ya jahanam,khofu inakuingia mpaka unaanza kutetemeka..
Endeleeni kutupa mawaidha wakuu hekima muhimu sana dunia hii
 
ni kweli kabisa na hata ikiongelewa pepo nafsi inatulia inatamaniii, mfano mzuri nenda youtube search expriment on Quran, jamaa anatoka na Quran na play ana mpa mtu sio muislam asikilize jamaa wazungu wanalia wanaulizwa unajisikiaje baada yakusikiliza anakuambia peace,amani utulivu na awajui nini na jamaa ana wambia hio ni Quran.
Nilileta mada kuhusu qur'an kuwa mwanzo kabisa ilikuwa inaandikwa kwenye ngozi,baada ya kuchimba kidogo nimegundua kwa msaada wa ulamaa,kuwa qur'aan iliandikwa pia kwenye papyrus,mifupa ya mbavu za ngamia,na tablets za mawe meupe,na kuna vitu kama nyuzi nyuzi kama gunia kutoka katika mti wa mtende na vipande vya mbao.
 
Katika Qur'an ndio kulianza kufanya research,utaona aya nyingi katika Qur'an zinasema
1.Angalia(fanya research) ngamia kaumbwa vipi
2.Angalia chakula unachokula
3.Angalia mbingu ilivyoumbwa(angalia tena)
4. Angalia(fanya research) mwanadamu alivyoubwa nk
Kwa hiyo hata kufanya practical,ili upate uhakika wa ufanyacho,lazima kufany research.
Mambo haya ya 'systematic investigation into a study of materials and sources in order to establish facts and reach conclusions',yapo ndani ya Qur'an.
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Kwanza kabla huja comment ni lazima ujue history ya Mtume(S.W.A). Tokea alivyo zaliwa na maisha yake. Yaani uwe na atleast simple Biographical background of the Most important and influencial person on Earth. Once you know who is he then you may comment accordingly. Simply, you commented blindly without knowing any historical back ground of the Prophet's life.

Just simple briefing; Prophets was an orphan from a noble family. He was poor and uneducated, the one who didnt know how to read or write. He was a Shepherd just like all other Prophets were. So Simply the Knowledge in the Holy Book and the knowledge brought by his physical teachings were directly inspired to him by The Almighty, The Supreme, The All-Knowing. An illiterate man has no chance in producing such a miraculous Book and have no capability of becoming the best example of human kind on earth. Simply impossible. If you do not agree with me then give me a single example of an Illiterate Man who have achieved as much as the achievement of The Prophet.

Your second claim of saying that Quran has come to kill Science is Non-sense. Do you know what is The first devine message from Allah to our beloved Prophet?.....he was asked to READ. Reading or searching for Knowledge is a MUST for All Muslims. Quran is a direction and gives Clue to almost every thing. Its for us to study and research.
 
Teknolojia duni hipi unayoizungumzia?
Mpaka leo Dunia inajiuliza hayo Mapiramidi ya Misri yalijengwaje imebakia dhana tu
Mapharao walikufa maelfu ya miaka lakini Mapaka leo mabaki yao ya soft na hard tissue yapo, wewe unataka science na teknolojia hipi?
Elewa kuwa dini haikuanzia kwa Mtume Muhammad(S.W.A). Kwa hiyo pia Knowledge hakuanzia kwake. Kwa hiyo sio kitu cha ajabu kuona strange things in Ancient time. Mitume yote ilikuja na Knowledge lakini hizo knowledge hazikuwa properly documented and lost as generation passes by. Somehow Eqyptians managed to retain some knowledge from the past by also vanished with its ancient people. They were a generation(Lost generation of AD) who used to build sky scapers, tall buildings but that generation has vanished with their knowledge as well. The knowledge our Prophet brought from Quran is Unique and most of it unknown to previous generations. Infact our Science discover things now and only they come to see that they were either mentioned in the Quran or taught by The Prophet(S W.A) 1,400 yrs ago. Not only Science, there are massive historical knowledge of which are not found in any other book on earth but only in Quran. There is knowledge of economics of which is found to be the most secured and stable form of Macro and Micro economics. Now plenty of international banks are adopting Islamic Banking. Infact, you will find knowledge in every aspect in Quran and Prophet teachings.
 
View attachment 454967
Mtume kaja juzi tu ndio akawapa Waarabu ustaarabu wa kupata tohara kwa wanaume, miaka maelfu yaliyopita Watu weusi wa Misri, Sudan na Ethipoia walikuwa wanapeana Tohara
Mbona unatumia maneno ya kuashiria UWEUSI UWEUSI. Keep in mind racist theology would drive away any knowledge you are bound to achieve. Kwani hakuna Waarabu WEUSI?? Plenty plenty plenty. My advice dont limit yourself with skin colour or tribe. Seek knowledge.
 
Mbona unatumia maneno ya kuashiria UWEUSI UWEUSI. Keep in mind racist theology would drive away any knowledge you are bound to achieve. Kwani hakuna Waarabu WEUSI?? Plenty plenty plenty. My advice dont limit yourself with skin colour or tribe. Seek knowledge.
Walokole wamesha tuacha na darsa letu,mbona unawapa sababu yakurudi tena humu,wakirudi malumbano yao ya kutia ghadhabu wewe unayafurahia?hata sisi ghadhabu za allah subhana wataallah zinatushukia.
 
Kuna mbingu saba kwenye universe kweli?Mtume muongo na amefeli kama walivyo wenzake akina Yesu na Saibaba nk...mtu sio mwanasayansi anajifanya anajua sayansi,what a shame to mtume...

Yaani wanadamu sijui lini tutakataa kudanganywa na mmoja wapo wa wanaadamu wenzetu eti anajifanya kuna "mungu" somewhere kampa "maono".

Uwongo uwongo tu!
Wewe mtoto mdogo sana. Kwa kauli yako tu unadhihirisha hilo. Tazama mbele yako unapoelekea. Usichukulie maisha kwa kuiga wazungu bila ya kuelewa chochote. Utaelekea pabaya.
 
Amaa kwa hakika isiyokuwa na shaka yoyote Muhammad rasuul lullaah saw ni mjumbe wa allah.
 
Ukitazama kisa cha watu wa pangoni,katika Al - Kahf (18:18)
Q. 18:Na unawadhani wa macho na hali wamelala.NA TUNAWAGEUZA UPANDE WA KULIA NA UPANDE WA KUSHOTO,........
Hapa panafunzo makubwa sana kwa wanaoguza wagonjwa wanaolala kitandani,wasioweza kujigeuza wenyewe.Inabidi wageuzwe geuzwe ili wasipate vidonda.
Mafunzo hayo yametajwa katika Qur'an miaka 1400,iliyopita,haya ni maajabu makubwa sana.
 
Back
Top Bottom