Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipati picha raia watakavyopigana vikumbo kuigombea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii inazuia kabisa au nayo kama ya covid 9 ukichoma unaweza pata pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ilivyo covid ukichoma unavaa barakoa hata hii chanjo ya HIV utatakiwa kuvaa ndom kama kawa
#Source JoanahNews [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie nahisi hivyo pia lolKama ni kweli tutegemee mauzo ya kinga (condom) kushuka kwa kasi.
Napata hisia kwamba ni hiyo hiyo chanjo ya Uviko 19 imegeuzwa kuwa ya HIV, watu wapigane vikumbo kuchanja.
Hello chap.......hii inaanza lini ikiwezekana nikapange kabisa foleni