Vipi na yeye atoe salamu za rambirambi za kejeli kama alivyofanyiwa pale mahakamani?!!

Vipi na yeye atoe salamu za rambirambi za kejeli kama alivyofanyiwa pale mahakamani?!!

Thibitisha kama zilikuwa za kejeri
Mkuu, salamu za rambirambi, tena kutoka kwa Mwenyekiti, haziwezi kutoka kienyeji vile Huku mtoaji hizo salamu anatabasamu tu kama vile ni harusi. Nitahitimishaje kama si kebehi?!!
 
Nyie kama mmefurahi sherehekeeni,hii nchi ni huru toka 1961 siyo mnatafuta uhalali wa kizandiki.

Hamhitaji sababu kusherekea.
 
kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
Mkuu, salamu za rambirambi, tena kutoka kwa Mwenyekiti, haziwezi kutoka kienyeji vile Huku mtoaji hizo salamu anatabasamu tu kama vile ni harusi. Nitahitimishaje kama si kebehi?!!
Basi na nyie; mjibuni hivyo hivyo kuna shida gani. Mwambie azitoe siku ya hukumu.
 
Kweli braza? Au tumewachezea rafu za sirin sana mpaka kuwafikisha stage hii
Na rafu kali zaid tunamalizia Nov. 6.
Hahahahaaaaaaa!
Karibuni sana! Mtajulishwa maana ya rafu maana umejua kuitamka tu lakini hata hujui maana yake.
 
Back
Top Bottom